degree

An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

    Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa. Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala...
  2. partsonamani

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimemaliza (UDOM) Bachelor degree in instructional design and information technology(IDIT).

    Kazi ambazo naweza kufanya ni: ✅Graphics Design(Logo design, posters design....nk) ✅Motion graphics ✅Video editing ✅Photography ✅2D animation ✅Design learning content for adults ✅Online courses development ✅Mobile maintenance ✅Computer maintenance ✅Maintain daily website activities Email...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri wanafunzi mliomaliza form 6. Degree za sanaa /social science mkazisomee open university huku mnafanya mishe zingine.

    Habari wadau. Naona vijana waliomaliza form 6 mwaka huu 2023. Wana heka heka na admission za chuo zilizoanza kutoka. Ushauri wangu kwao watambue ajira zipo chache sana zama hizi kama sio hakuna. Ulimwengu huu watu wana ku value kwa kupima unachokijua ama kukifanya kwa uhalisia. Hawaku value...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ndani na nje ya Tanzania, nina elimu ya Degree ya Education

    Habari wana jamvi, Natafuta kazi yoyote ya halali, Elimu: Bachelor degree (shahada) ya ualimu masomo kiswahili na Geography Umri: Miaka 28 Eneo nilipo: Dae Es Salaam, Goba Lugha: kiswahili na English fluently (speaking and writing) Uzoefu: Nina uzoefu wa mambo mbalimbali ikiwa ni ufundi wa...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaombe wafanyabiashara wakubwa waende vyuo vikuu wakafundishe wahitimu angalau unit 1 ili kukamilisha degree ya biashara

    Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika. Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio Elimu Bali uhaba wa Fursa

    Nchi yetu Ina uhaba wa Fursa hata watu waliosoma skills From Vocational training , bado hawana opportunities za Kazi. So tujikite kuzalisha fursa na sio kuwapa lawama vijana.
  7. Jasuma

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba (mwanamke)

    Naitwa Alex, Elimu yangu ni Degree pia ni mwajiriwa natafuta Mchumba yaani mwanamke wa kuoa. SIFA Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea. Awe mweupe au maji ya kunde. Asiye kunywa pombe. Awe mwenye hofu na Mungu. Awe hajazaa na Kama amezaa asiwe na zaidi ya mtoto mmoja. Awe mrefu au mfupi Ni...
  8. Palina

    JamiiForums Tanzania Kusomea Bachelor Degree ingine

    Hello habari Nilikua nauliza mtu ambaye ana bachelor degree moja na Advanced level alisoma CBG anaeza soma bachelor ingine ya afya mfano pharmacy , Radiotherapy, MD etc? And je cheti cha bachelor kinaeza saidia kwenye admission kutokana na hio CBG? Inawezekana?
  9. kipara01

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya Kilimo, natafuta kazi

    Habari wana JF, natafuta kazi. Nina degree ya horticulture nimeipata chuo Cha SUA. Umri: Miaka 25 Experience: 1 year Jinsia: Me Mkoa: Mbeya Pia Nina uzoefu na ujuzi mkubwa wa computer yaani software maintenance na kutumia application (Microsoft office"excell, word, publisher", Photoshop )
  10. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Unaweza soma Degree Huku ukiwa Kazini

    Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima. Naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu au walishapitia naomba Mnisaidie hapa. Mfano mtu amemaliza Diploma then akapata kazi akaajiriwa, je anaweza soma Degree akiwa...
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

    Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani? Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya masters degree na postgraduate diploma? Je, kwenye ajira faida zina utofauti gani?

    Habari wanaJF. Kama kichwa kinavyosema, huwa naona ukitaka kwenda masters au postgraduate diploma ni lazima uwe na degree? Ukiangalia qualification za kujiunga zinafanana, ukiangalia namna ya usomaji chuoni kunafanana, ukiangalia kwenye prospectus vyuoni ni vitu ambavyo ni vinafanana kila...
  13. Mayova

    JamiiForums Tanzania Mshahara pamoja na makato kwa Mwalimu mwenye Degree

    Naomba kujua kwa mwalimu mwenye degee anapoanza kazi mshahara wake ni Tsh ngapi na makato ni kiasi gani na take home inakua ni Tsh ngapi?
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Apata Degree ya kwanza akiwa na miaka 78

    ✍🏿Mwanamama/Bibi Victoria Adhar mwenye umri wa miaka 78 amepokea Bachelor's degree yake pale University of Juba, South Sudan🇸🇸 . Picha: Bibi Victoria Adhar --- A member of the national parliament graduated from the University of Juba on Saturday at the age of 78, becoming the second oldest...
  15. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona muhitimu wa degree ya TEHAMA (ICT) hajui kutumia Google Map

    Nikiwa dukani kwangu napitia mahesabu ya mapato na matumizi ya wiki iliyopita, akaja mteja anataka madawa fulani, madawa hayo ni slow moving items hivyo huwa yanakaa store, hayapangwi dukani. Basi nikaona si mbaya huyo mteja akiwa anahudumiwa (akisubiri dawa zake) aje ofisini kwangu anywe walau...
  16. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "WICLIFFE MOENGA" kijana, aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kunilipa mshahara

    "WICLIFFE MOENGA" kijana,aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kujilipa mshahara kwa muda wa mwaka mmoja bila serikali kujua. Aliongeza Jimbo nchini kenya na kuwa MBUNGE, na kuendelea kupokea Mshahara pasipo kujulikana. Elimu,imemkomboa japokuwa yupo mikono salama kwa Sasa.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kazi kwenye nchi za Kiarabu

    Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko. Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya halali, umri miaka 24.
  18. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana mwenye degree tatu ninaeuza nyanya Karatu

    Asikwambie mtu, biashara ni ngumu sana, isitoshe pesa hakuna. Vyuma vimekaza ilihali mama yangu anamiliki "garage" iliyosheheni makopo kibao ya grisi Nina shahada tatu nilizozisotea kwa muda mrefu sana. Mbali na kujibana bana kwenye matumizi ya boom langu ambalo nilihitaji kumega nusu ya pesa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Titles za degree za bongo zinatisha na zina maneno mazito ila ndani ya vichwa vya waliosoma hamna kitu, msitishwe na titles

    Kuna midigree inatisha ukisikia mpaka unajiuliza huyu mtu kweli namvyomjua ni kilaza hivi amewezaje kuviweka kichwani. Kumbe ukianza kuongea naye hamna kitu ila Cheti chake kinatisha. Mfano banking na financial services, sijui highway engineering sijui educational policies and planing etc...
  20. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wenye degree wasiwe walimu tu shule za msingi au Sekondari?

    Tuna vijana wengi wako wanasubiri viti vya kuzunguka na wako na Elimu zao ila ajira hakuna. Na waliomaliza 4 wakaenda chuo 2 years wako na kazi wanazidi kula shavu. Mwenye degree anaona upuuzi kuwa Mwalimu, vijana elimu zenu ziko na maana gani sasa - ni wazo lakini.
Back
Top Bottom