Kuna tofauti gani kati ya masters degree na postgraduate diploma? Je, kwenye ajira faida zina utofauti gani?

GOSSO MZEKEZEKE

Senior Member
Dec 13, 2013
142
165
Habari wanaJF.

Kama kichwa kinavyosema, huwa naona ukitaka kwenda masters au postgraduate diploma ni lazima uwe na degree? Ukiangalia qualification za kujiunga zinafanana, ukiangalia namna ya usomaji chuoni kunafanana, ukiangalia kwenye prospectus vyuoni ni vitu ambavyo ni vinafanana kila kitu.

Sasa naomba kujua utofauti wake ni upi mpaka moja iwe masters na nyingine iwe postgraduate diploma?
 
Habari wanaJF.

Kama kichwa kinavyosema, huwa naona ukitaka kwenda masters au postgraduate diploma ni lazima uwe na degree? ukiangalia qualification za kujiunga zinafanana, ukiangalia namna ya usomaji chuoni kunafanana, ukiangalia kwenye prospectus vyuoni ni vitu ambavyo ni vinafanana kila kitu. Sasa naomba kujua utofauti wake ni upi mpaka moja iwe masters na nyingine iwe postgraduate diploma?
Mimi siyo mtaalamu sana ila nina kidogo cha kuchangia, 1. postgraduate diploma inatumika kubadili fani,: mfano umesoma Bsc chemistry unataka uwe mwalimu itabidi usome postgraduate diploma ili uweze kuwa mwalimu 2. sifa za kujiunga na masters kwa hapa nchini ni GPA ya 2.7 kama haitoshi utatakiwa kusoma postgraduate diploma na ufaulu vizuri ili uweze kuwa na sifa stahiki. ONYO: Postgraduate diploma au certificate siyo sawa na masters!
 
mimi siyo mtaalamu sana ila nina kidogo cha kuchangia, 1. postgraduate diploma inatumika kubadili fani,: mfano umesoma Bsc chemistry unataka uwe mwalimu itabidi usome postgraduate diploma ili uweze kuwa mwalimu 2. sifa za kujiunga na masters kwa hapa nchini ni GPA ya 2.7 kama haitoshi utatakiwa kusoma postgraduate diploma na ufaulu vizuri ili uweze kuwa na sifa stahiki. ONYO: Postgraduate diploma au certificate siyo sawa na masters!
Asante, na nashukuru kwa onyo kali.
 
Mada iishie hapa.
 
Mimi siyo mtaalamu sana ila nina kidogo cha kuchangia, 1. postgraduate diploma inatumika kubadili fani,: mfano umesoma Bsc chemistry unataka uwe mwalimu itabidi usome postgraduate diploma ili uweze kuwa mwalimu 2. sifa za kujiunga na masters kwa hapa nchini ni GPA ya 2.7 kama haitoshi utatakiwa kusoma postgraduate diploma na ufaulu vizuri ili uweze kuwa na sifa stahiki. ONYO: Postgraduate diploma au certificate siyo sawa na masters!
Umemaliza mkuu
 
Postgraduate Diploma (PGD) ni daraja la kubadili fani. Mathalani umesoma Bachelor Degree ya Utawala na ungependa kuingia katika tasnia ya Fedha na Uhasibu, basi utasoma PGD ya Fedha/Uhasibu ambayo itakupa vigezo vya:​
  • Kujiendeleza kimasomo (Master’s Degree nk) katika fani ya Uhasibu/Fedha; au​
  • Kuajiriwa katika tasnia ya Uhasibu/Fedha.​
Academically, PGD ina uzito sawa na Bachelor’s Degree husika, lakini katika ajira inakuwa termed katika category moja na Master’s Degree.

Meaning, aliyehitimu PGD akiwa kazini, atapandishwa daraja kwa ngazi moja na mhitimu wa Master’s Degree katika fani husika. Vivyohivyo hufanana katika maslahi (promotion/remmuneration)​
 
Back
Top Bottom