degree

An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Degree ya Insurance Tanzania

    Wadau nasalimia kwa jina la Aliyeko juu ya kila kitu na kila jambo. Naomba ushaur naipataje degree ya masuala ya Bima nikiwa dar. Hasa kwa njia ya non full time studies! Ili nisiathiri utafutaji wa from hand to mouth. [Kwa maana licha ya kuwa na Nida ya utaifa sijapewa mgawo wowote kwenye...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hata uhudumu wa mabasi unatakiwa uwe na degree

    Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo. Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration. Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Maboresho katika sekretarieti ya ajira: Kwanini mtu wa 'degree' asiruhusiwe kuomba kazi za wenye 'diploma'?

    Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi. Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu...
  4. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Tanzania Jamani eti TRCS salary scale 3 ni shilingi ngapi kwa ngazi ya degree na diploma?

    Natamani kujia hizi salary scale wanazo calculate vipi na ni kiasi Gani?
  5. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba baadae awe mke

    Habari za wakati huu, Nahitaji mchumba miaka 23-27, awe mweusi, dini yoyote. Umri wangu ni miaka 22, mwanafunzi wa Degree.
  6. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

    Haya ndugu zangu wapambanaji. Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja. Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwa
  7. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma diploma ya IT au computer science, Je! aweza kusoma degree ya telecommunication?

    Okay marafiki wa JF....... naomba kujuzwa kuhusu swala hili kama inawezekana kusomea degree ya telecommunication kutokea deploma tajwa!
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanafanyaje mpaka Watoto wadogo chini ya miaka 13 wanahitimu degree kwenye vyuo vikuu majuu

    Habari wadau. Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu. Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc. Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto. Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

    Degree ambazo zimesambaa mtaani na wengine WANAFUNGUA MADUKA NA KUJIAJIRI KWA PAMOJA TUNAITA KUPAMBANA: DEGREE ZENYEWE NI HIZI: Ualimu, Human Resource Economics Law Procurement and supply, Secretary Banking and Finance, Community Development, Public Relation, Business Administration, Record...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

    Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana? hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge Education...
  11. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa darasa la saba ndo wanaonekana wako na akili kuzidi hawa wenye degree, nini tatizo?

    Naomba kufahamu au ndio kauli ya Kishimba (Wasomi wengi wanajua kusoma na kuandika ila hawako na Maarifa) Mwananchi wa darasa la saba yupo kijijini analima mpunga, mahindi na kufuga ng"ombe na maisha yanaenda. Huyu mwenye degree yupo anaishi Masaki kila siku anapiga simu home bado natafuta...
  12. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kufanya mtihani wa ACSEE kama Private Candidate kwa mtu mwenye diploma au degree?

    Habari wana JF, Karibuni nataraji kujiunga na diploma ya computer science,nimelazimika kusoma diploma kutokana na majukumu yangu kwa sasa japokuwa form four nilifaulu vizuri tu namshukuru mola. Swali langu ni kuwa, je naweza kufanya mtihani wa ACSEE kwa baadae kama private candidate sawa...
  13. Winga dalali

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati mmoja au tofauti?

    Habari, wana JF ninaomba kupata ufahamu wa kuhusu elimu ya vyuo tanzania kuanzia vyuo vya kati na vyuo vikuu. Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati mmoja au tofauti. Kwa mfumo rasmi kabisa wa TCU au NACTE Mfano. Mr Frank anasoma degree ya sheria UDSM...
  14. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Kati visipandishwe kutoa Degree

    Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na wimbi la kupandisha Vyuo vingi kutoka hadhi ya kutoa cheti na Diploma hadi ngazi ya kutoa Degree. Vijana wengi wa kidato cha nne na cha sita wakipikwa kwa Ngazi ya Diploma kwa miaka mitatu wanatoka wakiwa watendaji/ wazalishaji wazuri sana. Hiyo Ngazi ndiyo...
  15. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anamaliza degree hajui kuongea English?

    Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania TCU inatambua degree na diploma za mtandaoni?

    Naomba kujua kama hizi degree na diploma zinazotolewa mtandaoni na vyuo vya nje kama TCU inazitambua.
  17. aka2030

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

    Inashangaza sana hii
  18. chuma gama

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi: Finance, accountant, commerce, marketing au sales

    Natafuta kazi. Nina miaka 27 natafuta kazi katika industry ya biashara na fedha. Nina degree ya commerce in finance, 0764355802. I'm productive.
  19. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nianze degree nyingine au niendelee masters then PhD

    Mods naomba msihamishe huu uzi kwenye hili jukwaa naona ndo nitapata msaada kirahisi. Ndugu WanaJF nilikuwa naomba ushauri Mimi nimesomea shahada ya uhasibu na fedha ila nawaza kusomea Mambo mengine maana nna interest na Mambo ya uhandisi, nawaza nianze diploma ya engineering then degree hasa...
  20. Street brain

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini siku hizi serikalini wanaaajiri hasa wenye elimu ya diploma? Vipi kuhusu walioanzia degree?

    Jamani siku hizi nafasi nyingi zikitolewa au serikali wakihitaji waajiriwa Mara nyingi diploma ndo imekuwa kipaumbele,. Hiyo imekaaje ndugu zangu
Back
Top Bottom