Salaam leo jumapili siku ya Bwana.
Kwenye mada.
Kwa hali hiyo sitegemei kusikia wanafunzi wa degree wamekosa ufadhili huu muhimu wa mkopo wa elimu ya juu.
Kwa sababu kama sikosei hili ndio lengo kuu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu.Kuanzia degree kwenda juu.Kama ipo ya ziada basi sawa na wengine wa level ya kati ni sawa wapate lkn basi uwe umejitosheleza kwa wale wa elimu ya juu.
Kama wa elimu ya juu wanakosa wakapata wa elimu ya kati hapo siwezi kukuelewa vinginevyo labda una lengo jingine.
Ndio maana inaitwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
Ni matumaini yangu kuwa bodi watazingatia hili.Ni muhimu ndoo moja ijae kwanza ndio ije nyingine.Vinginevyo huwezi kunishawishi.
J2 njema.