degree

An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu kati ya CPA au degree ya accounts nianze kipi?

    Wakuu habari za leo! Natumai mu wazima wa afya. Wapendwa naomba niwashirikishe jambo kidogo kwa ufupi mimi ni IT Professional nafanya kazi moja ya kampuni za private hapa mjini Dar, nimekua nikipitia changamoto sana katika kazi yangu ya IT yaani natumia nguvu kubwa sana kufanikisha majukumu...
  2. Ngufumu

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Kozi zaidi ya 40 zinazoweza kusomwa na Muuguzi mwenye Diploma

    Zijue Kozi 40+ za degree ambazo Muuguzi/Nurse wa Diploma anaweza kuzisoma Tanzania kwa mujibu wa Guidebook ya TCU 2024/2025 If your a Nurse Midwifery with an ordinary Diploma save this👇🏾 1. Bachelor of Science in Nursing - MUHAS, UDOM, St. John, Kcmc, KiU, Kairuki, Agakhan, ZU, miaka 2.5 - 4...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyetoka diploma ya afya akapata digrii MUHAS?

    Hivi kuna mtu ashawah kwenda muhas kutoka diploma , mfano course ya nurse na kama alienda alienda na GPA ya ngap?? Embu waliofanikiwa kwenda walete mrejesho ili wawasaidie na wadogo zetu wasikate tamaa
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wanaotoka Diploma kwenda Degree Mathena Physics wanachemka

    Wanaotoka diploma kwenda degree muhas wengi form 4 hawakupata matokeo mazuri mathe ,na physic Leo niliamua kupitia waliokuwa selected muhas pale 2022/2023 nimekuta wengi waliotoka diploma kwenda degree matokeo yao ya form 4 wana had 3 wengine wana 2 ambazo mathe na physoce wamefeli vibaya mno...
  5. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Hivi Open University Hapa Tanzania kinatoa Degree ya Sheria?

    Assalamu alyekum Kichwa Hapo juu cha husika. Kûna mdogo wàngu anataka kusoma degree ya sheria lakini yupo kazini. Sasa ameona atumie Open University. Nauliza hicho chuo kinatoa hiyo programme? Weñye kujua Asanteni
  6. mrPhysics

    JamiiForums Tanzania Je ni mashirika gani Tanzania yanatoa scholarship for continuing students wa bachelor degree?

    Habari Nipo na interest ya kufanya scholarship application zilizopo hapa hapa Tanzania, Je ni mashirika yani ukiachana MO foundation and Samia scholarship , yanatoa scholarship kwa continuing students if you first year GPA is more than 4.0 and you are a science student Thanks in advance, any...
  7. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Naenda bariadi kusomea degree ya uchawi wenye faida nitaleta mrejesho mwaka 2026 mwezi wa kwanza

    Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi. Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi Nitaleta mrejesho.
  8. Journalists

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kujitolea, nina shahada ya Uandishi wa Habari

    Habari, Mimi ni mvulana natafuta nafasi ya kujitolea shirika lolote Nina degree ya Journalism nipo mkoa wa Iringa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Degree Programmes za Literature Vyuo Vikuu unasababisha uhaba wa Walimu wataalamu wa Literature mashuleni

    Habari wakuu. Tunapozungumzia kufundisha Literature tunazungumzia walimu wabobevu wa lugha ya kiingereza kwasababu hakuna fasihi bila lugha. Kwa muda mrefu nimekua nikitatizwa na upungufu wa walimu wa somo la English literature mashuleni. Hivyo nimesukumwa kufuatilia suala hili kwa undani na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye masters na hana degree ya hiyo kozi aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira?

    Habari wadau wa JF, Hivi mtu mwenye masters lakini hana undergraduate degree ya hiyo course aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira sekta binafsi au serikalini?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kama aliyesoma diploma ana G.P.A chini ya 3.0 anafanyaje kuingia degree?

    Habari wanaJF. Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0, ila sijaona alternative kwa aliyepata G.P.A chini ya hapo? Kama mtu ana G.P.A ya 2.7 anafanyaje kuingia degree? Kwa mfano mtu mwenye G.P.A chini ya 2.7...
  12. athumani mfaume jr

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi, nina degree ya IT

    habari za muda huu ndugu zangu, mimi kijana wenu mkazi wa Ubungo, Dar es salaam na muhitimu wa shahada ya habari mawasiliano na biashara (IT with Business) mwaka 2020. Nimejikita zaidi kwenye web application na graphics design. Nilikuwa naomba msaada wenu wa kuniwezesha kupata kazi iwe kazi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fani nyepesi kutoboa kwa upande wa IT kwa ngazi ya Masters degree

    Salam wanajamii Forums! Tunaomba msaada kwa wenye uzoefu je kwa upande wa fani za IT, Ni fani ipi nyepesi kutoboa kwa ngazi ya Masters Degree? Kijana anaomba msaada!.
  14. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Msomi wa degree mbili kagongwa na gari hii inawezekanaje ?

    Huu uzito wa ukoloni sijuhi ulikuwa ni mzito kiasi gani mpaka kufanya mswahili kuchukua kabisa lugha yake nzuri ya kiswahili. MADA Jana nilipokea taarifa za kusikitisha sana ambazo zilinipa sonona taarifa ambazo ni mbaya, msomi tena wa degree mbili amegongwa na gari na kufariki papo hapo...
  15. daizouh

    JamiiForums Tanzania Chuo Gani Tanzania kinatoa Master degree in electrical engineering by coursework and dissertation

    Jamani nahitaji kujua chuo kilichopo Tanzania kinachotoa master degree in electrical engineering by coursework and dissertation
  16. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atunukiwa Udaktari wa Uchumi (Doctorate of Economics Degree) Uturuki

    Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷 Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Uchumi kwa kutambua uongozi wake wa kipekee katika kuendeleza mageuzi ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana mtu ana masters degree ila hawezi hata kujilipia kodi ya chumba kimoja. Elimu ya juu imesababisha wategemezi wengi wenye umri mkubwa

    INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI. Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto...
  18. blackdread

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa na shahada ya kwanza zaidi ya moja nchini?

    Je, sheria ya elimu ya juu Nchini inamruhusu mtu kumiliki shahada mbili katika tahasusi mbili tafauti yaani niwe na degree ya Civil engineering kutoka UDSM halafu niende zangu CBE kuchukua bachelor ya Business Management Naomba kufahamu kwa watu wanaoifahamu au kujua watu ambao washawahi...
  19. Optimists

    JamiiForums Tanzania Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

    Wakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa, naona ni wakati wa kuwaza nje ya box. Kwenye Ili Chaka nimekuta watu wapo zaidi ya miaka 10 lakini...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Unaweza ukawa na PhD ya Bongo na Performance yako ikawa sawa au Chini ya Mtu Mwenye Degree Moja

    Nimefanya kazi na watu watu wenye elimu (academic performance)mbalimbali na uzoefu mbalimbali (working experiences) kwenye fani mbalimbali (faculties). Kwa sasa ninaweza kuthibisha kati ya waliofanya kazi na mimi basi wale waliokuwa na PhDs walikuwa na ufahamu na ufanisi mzuri (competency and...
Back
Top Bottom