data

  1. JamiiForums Tanzania Msaada:kuokoa data zangu kwenye hard drive

    Kwenye hard disk ya computer yangu kuna partition ina 197 GB ina files zangu nyingi sana.Nilikuwa najaribu kufanya installation ya Windows 10 kwenye partion nyingine ya hard disk hiyohiyo yenye takriban 50 GB sasa kilichokuja kutokea hii partition ya 197 GB inasomwa kama unallocated space hivyo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi CHADEMA wamhoji Kitila Mkumbo ''mnatoa wapi izo data zenu jamani''?

    02 April 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa zinaongezeka kutokana na upungufu wa bidhaa siyo serikali inavyofikiri watu wanapesa nyingi mifukoni ndiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania: Joseph Gidion Complaints of Data Protection Violation

  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wasitumie mfumo wa data base wa muda mrefu?

    Kwema wadau? Naomba nitoe wazo kwa hawa jamaa utumishi, ni kwamba wanatakiwa kutambua kwa sasa uchumi wa nchi na hususani vijana ni kusuasua hivyo kuna mambo mengi tumepitia hata kabla ya kumaliza chuo na hata baada wengi wa wanafunzi wamesoma kwa pesa za serikali na hata ukiwaangalia maisha...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina MB's za kutosha kwenye smartphone yangu, ila mobile data haifanyi kazi

    Habarini Natumia simu ya itel A05 mpya tu haina hata mwaka, laini ya voda nayo ni mpya haina mwaka, hili tatizo limeanza juzi, mb nakuwa nazo tena zaidi ya 800, ila nikiwasha mobile data sipati chochote, sasa najiuliza hili tatizo ni kwangu kwenye simu yangu, au ni watoa huduma wa voda Wana...
  6. JamiiForums Tanzania Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

    Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB? Please ushauri wenu...
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi DCI na makampuni ya simu wanavyopata taarifa za maeneo ya Wakenya hata kama GPS na Data zikiwa zimezimwa

    Vyombo vya usalama na makampuni ya simu wanaweza kutumia teknolojia kupata mahali ulipo kwa madhumuni mbalimbali. Katika mazingira ambayo teknolojia ya kidijitali yanabadilika kila wakati, uwezo wa kubainisha eneo la mtu umekuwa zana muhimu kwaajili ya utekelezaji wa sheria kwenye idara kama...
  9. JamiiForums Tanzania Data Protection Officer at Equity Bank February, 2024

    Position: Data Protection Officer Department/ Division: Compliance Job Grade: Assistant Manager Reports to: Head of Compliance Job Responsibilities/ Accountabilities: Implementing measures and a privacy governance framework to manage data handling and use in compliance with all the relevant...
  10. JamiiForums Tanzania Aibu sana: IDF wagundua data center ya HAMAS nchini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa (UNRWA)

    Jamaa waliwekeza data center yenye mitambo mikali chini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa ambalo lilibuniwa kwa ajili ya kuwasaidia Wapalestina maskini. Mazombi mnasaidiwa kwenye njaa zenu ilhali hapo hapo kwenye shirika la msaada la kuwapa chakula ndio mnaona mjenge makao makuu ya...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA ukweli mnaujua lakini mnajizima data

    Salaam, Binafsi nikiri kuwa nilikuwa navutiwa sana na sera za CHADEMA miaka ya nyuma haswa 2005 hadi 2015. Miaka hiyo CHADEMA ilikuwa ya moto ikiibua mambo mazito yaliyoishutua Nchi, ilikemea ufisadi mpaka kufikia hatua ya kuwataja wahusika wa ufisadi serikalini. Watu wengi walikuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Data Clerk at Sustainable Agriculture Tanzania January, 2024

    Position: Data Clerk Job Description Sustainable Agriculture Tanzania (SAT) is a leading organization that is devoted to organic farming and sustainable community development. Our aim is to empower communities and build resilient environmental systems. SAT is registered as a local organization...
  13. JamiiForums Tanzania Data Analyst and GIS Specialist at FAO January, 2024

    Job Posting: 19/Jan/2024 Closure Date: 03/Feb/2024, 1:59:00 AM Organizational Unit: FRURT – FAO Representation in Tanzania Job Type: Non-staff opportunities Type of Requisition: NPP (National Project Personnel) Grade Level: N/A Primary Location: Tanzania, United Republic of-Dar Es Salaam...
  14. JamiiForums Tanzania Data Analyst and Computer Technician (DACT) at HelpAge Tanzania (HAT) January, 2024

    Position: Data Analyst and Computer Technician (DACT) Job purpose The Data Analyst and Computer Technician will provide support on programme data analysis and learnings, IT technical support and proactively leading and implementation of our HAT Data Protection and General Data Protection...
  15. JamiiForums Tanzania 🔒 Backups ni Muhimu: Jipatie Flash Drives kwa Jumla na Reja Reja!

    Katika enzi ya teknolojia, ulinzi na usalama wa data zako ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Picha, nyaraka muhimu, na mafaili ya kazini vyote vinahitaji kutunzwa na vizuri kuwa na backup. Na USB Flash Drive, inakupa suluhisho unalolihitaji. 📁 Nafasi Kubwa ya Hifadhi: Hifadhi picha, video, na...
  16. JamiiForums Tanzania Najihisi nimekuwa mraibu, Wangapi mmeweza kutumia smartphone / laptop siku nzima bila kutumia internet ?

    Tangu mwaka huu uanze sikumbuki siku ambayo nilikuwa offline, Nina biashara zangu na kazi sio kwamba nipo idle. Yani uwe na smartphone halafu ukose data waweza kuhisi unakosa mahitaji ya msingi, ukifika hii stage jijue ushaanza kuwa mraibu. Matumizi ya data napenda kuingia Youtube kufatilia...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaohonga na kunuunua wanawake wana ugonjwa wa akili ama wanajizima data?

    Umewahi kuwaza hawa watu wana ugonjwa gani?? Umeshawahi kujua wengi wanaonunua wana ugonjwa wa kuangalia Porto I Jamaa ananunua mzigo..jmosi ananunua mzigoooo jpili anashindaa sikunzima anaangalia Porto Hawa huwa wanajua kabisa mabinti wanataka maokoto so huwa wanajipanga kipesa na pale...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna huduma ya data recovery? Inagharimu kiasi gani?

    Habari wakuu sana. Hivi hapa kwetu huduma ya data recovery kitaalamu ikitokea mtu disk yake imeroga inapatikana wapi? Inagharimu kiasi gani huduma hiyo?
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira ya uingizaji wa taarifa (data clerk) na ukusanyaji wa taarifa (data collection)

    Habari wanajamii, naombeni connection za upatikanaji wa ajira za data clerk, data collection na zingine zinaxohusiana na maswala ya data. Ninauzoefu wa matumizi ya komputer na elimu ya diploma ya project management. Asanteni
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Diploma ya IT, Dereva, Data Clerk na Graphic Designer

    Tayar
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…