data

  1. wa kibondemaji

    JamiiForums Tanzania Data management

    Habari wakuu naombeni mimi ni CO muajiriwa serikalin kutokana na kuwa na muda mwingi kazin kwangu nimewaza kusoma kozi ya data management pale open university bika kuomba ruhusa kazin,vipi kuhusu upatikanaji wa ajira au recategorization nitakapomaliza degree yangu?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane nondo kwa waliowahi fanya usaili nafasi za data analyst na system developer

    Naombeni msaada mfano wa maswali kwenye written interview kwa waliowahi kufanya interview kama data analyst, pia system developer angalau tupate pa kuanzia
  3. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kurudisha file la mobile data Icon kwa juu ya simu Galaxy A15 yangu

    Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in computer skills and accessories. Jaman mm natumia simu aina ya Samsung galaxy A15 nimei UPDATE jana...
  4. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Africa: Estimated financial needs by SDG (Latest Data Year) by Mo Ibrahim Foundation Report

    World Poverty Statistics 2024 Facing the harsh reality of extreme poverty, over 700 million individuals globally survive on under $1.90 per day, a crisis that disproportionately affects children. The goal to eradicate this by 2030 underlines the vital global effort of Sustainable Development...
  5. Mwambatz1

    JamiiForums Tanzania Data nafuu kwa mfanyabiashara (airtel sme menu)

    OFFLINE ❌ ❌ 🥶
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nini cha kuzingatia ukitaka kununua gari kwa mtu (used)?

    Wakuu. Mbali na kuagiza gari kutoka nje ya nchi, au kununua showroom kuna option ya tatu ya kununua gari ambalo Mtanzania mwenzako analitumia. Hii inaweza kua njia salama zaidi lakini pia ya hatari zaidi usipokua makini. Sasa kuna vitu vya kuzingatia unavyotaka kununua, tutaviweka kwenye...
  7. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania kama kuna software developer na data engineer anayeweza kufanya yafutatayo naomba anipe namba yake PM nimconnect na client

    We are looking for a software developer and a data engineer who can perform the following functions *Design and implemented ETL pipelines for processing low-resource language data(Yoruba) ● Develop data cleaning and transformation scripts to prepare datasets for machine translation models ●...
  8. F

    JamiiForums Tanzania University and college graduates assistance to scholarships, research planning, job application and grant, thesis organization data analysis.

    We're a registered Non-Governmental Organization dedicated to fostering professional collaboration, career advancement and job creation among Tanzanian professionals. ResearchLink International welcomes you to explore various opportunities. Do you have any research and grant proposals? Do you...
  9. F

    JamiiForums Tanzania University students: ResearchLink inatoa usaidizi katika mambo mbalimbali ikiwapo data analysis, thesis planning, scholarhip application, etc

    Fuatilia link ya shirika la ResearchLink International kupata usaidizi kwenye mambo mbalimbali ya kitaaluma na hata scholarship application assistance.
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna data recovery centre?

    Nimekuja kuuliza tena hii ishu. Kuna data za muhimu sana zimekufa na hard drive. Je kuna hapa tuna data recovery centre? Centre ya wale wataalamu wenye maabara kabisa. Kama hawa jamaa. https://youtu.be/eyr14_B230o?si=snGt5qwNJNgUkj9q
  11. Thesis

    JamiiForums Tanzania Natafuta Data Collectors Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida

    Habari, Nina kazi ya kukusanya data kwa wakulima wa alizeti katika Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida. Natafuta jumla ya vijana sita waliomaliza degree lkn hawana ajira kwaajili ya kukusanya data katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo. NOTE: MUHUSIKA AWE ANAPATIKANA WILAYA YA IRAMBA Malipo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Data Analysis & Reports

    Kindly allow me to add value in your activities by financial data analytics and reports by the use of advanced excel tools and other applications. This can be done remotely from my office at reasonable charges, this can be Tax reports like EFD reports, Incomes, Stocks, Expenses, Data import...
  13. President of China

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

    CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GPA ya 3.0 as Data analyste kwenye ajira?

    Wakubwa nilikuwa naomba kujuzwa kwa mtu aliesomea Bachelor of science In Information System GPA inasoma 3.0 na anaujuzi wa data analytics. Anauwezekano wa kupata Ajira in goverment or private sectors?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum mnataka tuwashe data (Internet) muda wote?

    Sio kila mtu anapenda kuwasha data muda wote anapoperuzi mtandao, JF zamani kama unasoma bandiko refu basi ulikuwa na uwezo wa kuzima data
  16. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Msaada Wa Jinsi Ya Kuwasha Data kwenye simu ya Sony SOV39

    Msaada tutani wakuu nimsaidie jamaa yangu Sehemu ya data ipo on lakini kwenye screen haionekani kuwa on, hata ukiingia mtandaoni hapafunguki
  17. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu bado zinatumia 3G mfumo data japo zinashindwa ku update minara Tanzania acha nieleze ukweli hapa

    Ili jambo lipo afrika na linaigizwa kwa mtindo wa kudanganywa kuwa kifaa chako sasa kina 4g au 5g. Ghalama za kuendana na hiyo mifumo nikubadilisha vifaa vyote kwa wakati ili kumudu vifaa hivyo. Leo niko kijiji X kina mnara tokea wa 3G ila hakuna changamoto ya kuharibika kifaa kina niambia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa data scientist

    Wakubwa nilikua naomba kufahamu mshahara anaopatiwa data scientist kwa upande wa goverment na private sector?
  19. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuna VPN zinapunguza ulaji wa bundle la Data

    Wakuu huku kitaa kuna vpn nyingi ambazo wadau wanadai zinapunguza data kuisha au kutumika zingine wanasema ukiwa nayo unatumia data bure
  20. mkorinto

    JamiiForums Tanzania Bando za data Vodacom zinaisha kwa kasi ya ajabu, tatizo ni nini?

    Wadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida? Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa matumizi ya muda mwingi wa simu, ni nadra sana kunikuta instagram, ticktock, au youtube ikiwa nitakuwa...
Back
Top Bottom