Kwanini Utumishi wasitumie mfumo wa data base wa muda mrefu?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,552
2,992
Kwema wadau?

Naomba nitoe wazo kwa hawa jamaa utumishi, ni kwamba wanatakiwa kutambua kwa sasa uchumi wa nchi na hususani vijana ni kusuasua hivyo kuna mambo mengi tumepitia hata kabla ya kumaliza chuo na hata baada wengi wa wanafunzi wamesoma kwa pesa za serikali na hata ukiwaangalia maisha yao sasa ni ya kubangaiza hii tabia ya kuwaita watu interview na kuwaweka kwenye database mwaka au miaka miwili haina tija kwa vijana ambao wanajitafuta wengi wetu tunatafuta pesa ili tuendeshe maisha huku tukifatilia huo utaratibu wa kupata kazi kuchoma nauli kila baada ya miezi ,lakini ni bado kuna mfumo mbovu wa kiutendaji haujawekwa sawa.

Kwanini tusitengeze mfumo wa database kuwa ni wa mda mrefu ili kuacha kusumbuka? Ila baada ya kujiridhisha kuwa mtu flani anafaa kulinganma na post mufanye video calling au kwa yeyote ambaye hana simu munamtaarifu kwenda kituo cha karibu na anapoishi kwa lengo la kumfanyia assessment labda oral?

Wenye shida ni wengi ila mifumo ya Utumishi ni migumu kupitiliza.
 
FB_IMG_1698848692201.jpg

Hawa hapa wakulungwa.
 
Mbona sasa wamejitahid ni mwaka mzima
 
Back
Top Bottom