data

  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Analyst Procurement Master Data at Kilombero Sugar June, 2024

    Position: Analyst Procurement Master Data Specific Duties and Responsibilities • Maintains Master Data on an on-going basis to support the Purchasing Function in accordance with the Group Procurement Strategy i.e. ensures no duplicates and no remapped MIDs exist in an active state for more than...
  2. the_pythonman2016

    JamiiForums Tanzania Python for Data Analysis

    Habari, Natoa Training ya Python for data analysis. Modules to be discussed 1.Pandas 2.Numpy 3 Matplotlib 4.Seaborn Tutatumia dataset kutoka sources mbalimbali Training Period: 30 days Training Platform: Zoom Contacts: Phone:+255622071858/+255766047800 Email: infonet20th@gmail.com...
  3. the_pythonman2016

    JamiiForums Tanzania Python for Data Analysis

    Habari, Natoa Training ya Python for data analysis. Modules to be discussed 1.Pandas 2.Numpy 3 Matplotlib 4.Seaborn Tutatumia dataset kutoka sources mbalimbali Training Period: 30 days Training Platform: Zoom Contacts: Phone:+255622071858/+255766047800 Email...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Impact of the Personal Data Protection Act on businesses in Tanzania

    As the number of organizations that process personally identifiable information increases, so does the need for such organizations to ensure the safety and privacy of data. It is essential for organizations to implement a data protection framework that provides guidance on the protection of...
  5. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Abdullah Mwinyi ailalamikia Vodacom kwa wizi wa Data, 50000 bila matumizi yeyote imeisha

    Labda hawa viongozi wakisema tutasikilizwa ila kiukweli hii mitandao imekua ni kero.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bando sasa ziwe bila ukomo wa muda wa matumizi

    Salam kwenu. Kufuatia changamoto ya internet tunayoendelea kuipata niiombe TCRA kuyaagiza makampuni yote yanayotoa huduma za internet. 1. Kufidia wateja wote kwa kurejesha bando zilizolika ama ku expire kipindi hiki cha tufani la internet. 2. Vifurushi vyote vya internet sasa visiwe na ukomo...
  7. mbarakasaidi

    JamiiForums Tanzania FLASH YANGU INAANDIKA usb corrupted tap to fix ! Inaweza kupona? Na data zisipotee?

    Flash inawaka ila nikiichomeka kwenye PC inalazimisha niifomat. Ila notification inasema tap to fix na signal ya flash inawaka ,hii wadau inaweza kupona na DATA zikaendelea kubaki?
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Senior Data Visualization at USAID / T-MELA April, 2024

    USAID TANZANIA MONITORING, EVALUATION, LEARNING AND ADAPTATION ACTIVITY (USAID T-MELA) POSITION DESCRIPTION: SENIOR DATA VISUALIZATION / GEOMAPPING EXPERT Office Location: Tanzania – USAID T-MELA Office, Block No. 6, Mlimani City Office Park. Contact: Please send your application by e-mail to...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unatumia muda mwingi na bando kubwa zaidi ya data kwenye platform ipi ya mtandao wa kijamii?

    kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani, mathalani Facebook, X, Instagram, JF nakadhalika? na unatumia sana platform hiyo na data kubwa sana kwa...
  10. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Msaada:kuokoa data zangu kwenye hard drive

    Kwenye hard disk ya computer yangu kuna partition ina 197 GB ina files zangu nyingi sana.Nilikuwa najaribu kufanya installation ya Windows 10 kwenye partion nyingine ya hard disk hiyohiyo yenye takriban 50 GB sasa kilichokuja kutokea hii partition ya 197 GB inasomwa kama unallocated space hivyo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi CHADEMA wamhoji Kitila Mkumbo ''mnatoa wapi izo data zenu jamani''?

    02 April 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa zinaongezeka kutokana na upungufu wa bidhaa siyo serikali inavyofikiri watu wanapesa nyingi mifukoni ndiyo...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Joseph Gidion Complaints of Data Protection Violation

  13. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wasitumie mfumo wa data base wa muda mrefu?

    Kwema wadau? Naomba nitoe wazo kwa hawa jamaa utumishi, ni kwamba wanatakiwa kutambua kwa sasa uchumi wa nchi na hususani vijana ni kusuasua hivyo kuna mambo mengi tumepitia hata kabla ya kumaliza chuo na hata baada wengi wa wanafunzi wamesoma kwa pesa za serikali na hata ukiwaangalia maisha...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina MB's za kutosha kwenye smartphone yangu, ila mobile data haifanyi kazi

    Habarini Natumia simu ya itel A05 mpya tu haina hata mwaka, laini ya voda nayo ni mpya haina mwaka, hili tatizo limeanza juzi, mb nakuwa nazo tena zaidi ya 800, ila nikiwasha mobile data sipati chochote, sasa najiuliza hili tatizo ni kwangu kwenye simu yangu, au ni watoa huduma wa voda Wana...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
  16. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

    Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB? Please ushauri wenu...
  17. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi DCI na makampuni ya simu wanavyopata taarifa za maeneo ya Wakenya hata kama GPS na Data zikiwa zimezimwa

    Vyombo vya usalama na makampuni ya simu wanaweza kutumia teknolojia kupata mahali ulipo kwa madhumuni mbalimbali. Katika mazingira ambayo teknolojia ya kidijitali yanabadilika kila wakati, uwezo wa kubainisha eneo la mtu umekuwa zana muhimu kwaajili ya utekelezaji wa sheria kwenye idara kama...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Data Protection Officer at Equity Bank February, 2024

    Position: Data Protection Officer Department/ Division: Compliance Job Grade: Assistant Manager Reports to: Head of Compliance Job Responsibilities/ Accountabilities: Implementing measures and a privacy governance framework to manage data handling and use in compliance with all the relevant...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Aibu sana: IDF wagundua data center ya HAMAS nchini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa (UNRWA)

    Jamaa waliwekeza data center yenye mitambo mikali chini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa ambalo lilibuniwa kwa ajili ya kuwasaidia Wapalestina maskini. Mazombi mnasaidiwa kwenye njaa zenu ilhali hapo hapo kwenye shirika la msaada la kuwapa chakula ndio mnaona mjenge makao makuu ya...
  20. Bromensa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ukweli mnaujua lakini mnajizima data

    Salaam, Binafsi nikiri kuwa nilikuwa navutiwa sana na sera za CHADEMA miaka ya nyuma haswa 2005 hadi 2015. Miaka hiyo CHADEMA ilikuwa ya moto ikiibua mambo mazito yaliyoishutua Nchi, ilikemea ufisadi mpaka kufikia hatua ya kuwataja wahusika wa ufisadi serikalini. Watu wengi walikuwa na...
Back
Top Bottom