Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Kwa wanaofuatilia historia ya nchi yetu tangia uhuru, ambapo baada ya uhuru makampuni, viwanda, mashamba makubwa, shule, benki nyingi zilikuwa chini ya sekta binafsi.
Nyerere kwa uelewa wake akataifisha vitega uchumi hivi na kuvifanya mali ya Serikali.
Uchumi wa Tanzania ukayumba sana, viwanda...
Ulifanyika uchaguzi 2020, Chama Cha mapinduzi kilimpa Magufuli na sa100 ilani waliyopitia nayo Nchi nzima kuinadi Kwa wananchi.
Katika ilani hiyo ya 2020, hakuna mahala popote CCM ilimuelekeza Magufuli na Sa100 kuuza au kukodisha bandari yetu ya Dar Kwa Miaka 100 au zaidi, Bali ilielekeza...
Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata.
Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya...
Bunge letu ni taasisi na muhimili wa kidola usiopaswa kuegemea mihimili mingine ya kidola katika taifa.
Kwa nini Bunge la JMT lielekezwe kubariki badala ya kusimamia (dhibiti) na kutoa mwongozo (rule of procedure) kuhusu namna ya serikali kuingia mikataba kama huu wa TPA?
Wadau tunaamini Bunge...
Siku hizi RC Chalamila kila akipata fursa ya kuzungumza mbele ya rais, haachi kutoa data zenye ukakasi kuhusu suala la maji jijini Dar es salaam.
Amekuwa mara kwa mara akitoa data kuwa rais katoa fedha kujenga miundo mbinu ya maji hapa na pale jijini, hata hivyo hanukuu ni bajeti ipi hizo pesa...
MHE. CECIL MWAMBE - MRADI WA LNG WAWEKEZAJI WATUMIE BANDARI NA UWANJA WA NDEGE WA MTWARA NA LINDI BADALA YA DAR ES SALAAM
Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Mhe. Cecil David Mwambe wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati amesema ni vyema wawekezaji wa mradi wa LNG badala ya kutumia Bandari ya Dar...
Miaka ya nyuma mabati yalipigwa mhuri kuonyesha gauge au viwango (mf G32, G28), sasa hivi sio hivyo. Unanunua mabati ya mgongo mpana na kofia kwa bei ghali.
Haipiti muda kutu tayari. Unaende kiwandani unalipia mabati ya kukunja, wanakunja na kusababisha uharibufu (kuchanika), bado...
Waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji wa Serikali ya Zambia Mhe. Frank Tayali ameipongeza Serikali ya Tanzania na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania-TPA kwa maboresho makubwa ya kimiundombinu yanayotekelezwa katika Bandari ya Dar es Salaam.
Akizungumza wakati akifungua Kongamano la...
Serikali imesema majaribio ya SGR (Dar es Salaam-Morogoro) hayakuanza Mei 2023 kama ilivyopangwa kwa sababu vichwa vya treni havikukamilika kwa wakati.Kutokamilika kumetokana watengenezaji kutopata baadhi ya vipuri kutokana na athari za UVIKO19 na vita ya Ukraine na Urusi.
Soma pia: Uzi mkuu...
Nina mgeni wangu anakuja kutoka mahali fulani, sitaki afikie kwangu. Nataka nitafute Beach House nzuri, sea viewing.
Sio mbaya hata kama nikipata çlassic jungle House eneo tulivu. Iwe imezungukwa na bustani nzuri, miti, na sio mbaya ikiwa na ka swimming pool.
Au nyie wenzangu huwa mnapumzika...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi Bwawa la Kidunda litakalojengwa mkoani Morogoro na kugharimu sh bilioni 335. Bwawa hilo litakua na uwezo wa kuhifadhi maji kwa miaka mitatu mfululizo.
Akiwasilisha taarifa...
Tahadhali ubungo stendi ya daladala si salama.
Stend ya daladala njia ya ngazi inayounganisha stend yq juu na chini sio salama. Sio usiku mchana Wala jioni watu ni wengi sana.
Lete watu wenu wananusalama wasaidie yaani msongamano madhara makubwa yatatokea.
Wizi.
Magonjwa.
KERO.
Nktafadhalini
Habari ndugu zangu leo sina mengi naomba mwenye ramani ya mkoa wa dar es salaam inayoonesha mipaka ya wilaya na mitaa yake aniwekee hapa kwa mfumo wa PDF au picha kwa mfumo wa JPGE/PNG nina uhitaji nayo muhimu sana, nitashukuru sana kwa msaada huo. Mungu awabariki, karibuni sana canada.
Mmoja ni Mshambuliaji, Mmoja ni Kiungo na mwingine ni Winga wa Kushoto.
Baada ya GENTAMYCINE kuipata hii Taarifa naanza kuona Timu Moja ikifungwa hata Goli 7
Ni Mwendo wa Kuwakera tu JF.
Hellow africa
Acheni sifa ambazo wengi mnazibeza kuhusu wanaume wa dar japo nyingi ni za uongo msingekuwa mnatoka mkoani kuja kufwata penzi dar
Il uwe mwanaume wa dar must having money
Sifa za mwanaume wa dar
Kwaza tupo smart kuliko kawaida na wasafi sana yaani tunapiga pamba kali af kwa bei...
UTANGULIZI
Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni moja ya bandari kubwa na muhimu zaidi barani Afrika, imekuwa chanzo cha fursa na maendeleo kwa Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na mazungumzo kuhusu ubinafsishaji wa bandari hii ili kuongeza ufanisi, kupanua huduma, na kuchochea ukuaji wa uchumi...
Ninachokishuhudia hapa benjamini mkapa ni rekodi ya aina yake kwa nyomi ya mashabiki waliojazana hapa, na bado barabara ziko bize uelekeo ni benjamini mkapa, hakika ni mechi ya kihistoria,
Serikali walipaswa kufungua mageti kuanzia saa 2 asubuhi ili kuepusha maafa yanayoweza kutokea hapa, watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.