Miungurumo ya Majenerata Upanga na Posta jijini Dar

ChawaWaMama

JF-Expert Member
Jan 16, 2023
1,509
2,792
GTs,

Kwa wakazi kama mimi wa mitaa ya posta mpya au Upanga ni mashuhuda hizo kelele za majenerata yaani ni kama alivyotabiri Dkt Magufuli kuwa akiondoka madarakani hakuna atakayeweza kuisimamia serikali.

Viongozi waadamizi wengi ni wezi na hakika imetokea yaani hata huwezi jua jenerata lipi linalia.

Hii sisi kwa Dkt Makonda na Dkt Dotto Biteko, hakikisheni waliohujumu tanesco wakanakufa wote kisiasa wasiibuke tena wafe kabisa kabisa
 
GTs,

Kwa wakazi kama mimi wa mitaa ya posta mpya au Upanga ni mashuhuda hizo kelele za majenerata yaani ni kama alivyotabiri Dkt Magufuli kuwa akiondoka madarakani hakuna atakayeweza kuisimamia serikali kwani viongozi waadamizi wengi ni wezi na hakika imetokea yaani hata huwezi jua jenerata lipi linalia. Hii cc kwa Dkt Makonda na Dkt Dotto Biteko, hakikisheni waliohujumu tanesco wakanakufa wote kisiasa wasiibuke tena wafe kabisa kabisa
Agizo lako halitekelezeki..
 
Vipi shida sio January Makamba tena?
 
GTs,

Kwa wakazi kama mimi wa mitaa ya posta mpya au Upanga ni mashuhuda hizo kelele za majenerata yaani ni kama alivyotabiri Dkt Magufuli kuwa akiondoka madarakani hakuna atakayeweza kuisimamia serikali.

Viongozi waadamizi wengi ni wezi na hakika imetokea yaani hata huwezi jua jenerata lipi linalia.

Hii sisi kwa Dkt Makonda na Dkt Dotto Biteko, hakikisheni waliohujumu tanesco wakanakufa wote kisiasa wasiibuke tena wafe kabisa kabisa
Biashara ya Genereta ni ya kina KIPARA na wenzake, tuanze na hao...
 
GTs,

Kwa wakazi kama mimi wa mitaa ya posta mpya au Upanga ni mashuhuda hizo kelele za majenerata yaani ni kama alivyotabiri Dkt Magufuli kuwa akiondoka madarakani hakuna atakayeweza kuisimamia serikali.

Viongozi waadamizi wengi ni wezi na hakika imetokea yaani hata huwezi jua jenerata lipi linalia.

Hii sisi kwa Dkt Makonda na Dkt Dotto Biteko, hakikisheni waliohujumu tanesco wakanakufa wote kisiasa wasiibuke tena wafe kabisa kabisa
Mm nashindwaga kuielewa serikali yetu kabisa kwann swala la nishati ya umeme wanalichukulia mzaa sana since 1980s hakuna seriousness kwenye hili swala ili hali wanaelewa kabisa bila umeme hakuna maendeleo ni kudanganyana tu..
Hawa wawekezaji tunaojidai nao kuwa tunamikakati ya kuwaleta watawekeza nini sasa wakati sisi wenyewe tumeshindwa kujimudu kinishati..

Hawa viongozi wetu wanapataje usingizi kwenye nchi km hii yetu hata kujilikana kwake huko ulimwenguni tu ni kupapasapapasa..
Iseeee!
 
Mm nashindwaga kuielewa serikali yetu kabisa kwann swala la nishati ya umeme wanalichukulia mzaa sana since 1980s hakuna seriousness kwenye hili swala ili ali wanaelewa kabisa bila umeme hakuna maendeleo ni kudanganyana tu..

Daaah maeneo mengi ya jiji la Dar Hayana umeme!
 
Mm nashindwaga kuielewa serikali yetu kabisa kwann swala la nishati ya umeme wanalichukulia mzaa sana since 1980s hakuna seriousness kwenye hili swala ili ali wanaelewa kabisa bila umeme hakuna maendeleo ni kudanganyana tu..

Hawa viongozi wetu wanapataje usingizi kwenye nchi km hii yetu hata kujilikana kwake huko ulimwenguni tu ni kupapasapapasa..
Iseeee!
Wao wanayamudu makali ya maisha ndiyo maana wanakaa na kulichukulia poa poa tu hili janga la ukosefu wa umeme, lakini kama wangejua suala hili linavyotuumiza watu wa kipato cha chini hakika wangelitafakari usiku na mchana ili lipatikane suluhusho la kudumu. WALAANIWE WATU WOTE WALIOPEWA NAFASI KWENYE OFISI ZA UMMA WA KULETA MABADILIKO CHANYA KWA TAIFA HILI LAKINI WAMEGEUKA KUWA WATU WA KUJIJALI WAO NA FAMILIA ZAO HUKU WAKIENDELEA KUIBA.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom