dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Aokota Gari kwenye Mafuriko Dar

    ANGALIA VIDEO HAPA Magari yamesombwa, nyumba zimesombwa, baadhi ya Watu wamebebwa juujuu kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Jijini Dar es salaam na kusababisha maafuriko katika baadhi ya maeneo ikiwemo Tegeta na Kunduchi. Baadhi ya Wakazi wa maeneo hayo wameomba Serikali...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Wananzengo, usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima. Soon kunakucha. Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha . Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
  3. big dreamer

    JamiiForums Tanzania Wabongo tungekuwa tunaaminiana vijana tungepata fursa hii kwenye majiji yenye foleni mfn. Dar

    Kwenye folen kuna fursa hii pia.
  4. ward41

    JamiiForums Tanzania Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana

    Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Mke na mume wafikishwa Mahakamani kwa kumjeruhi jirani yao

    KESI inayowakabili mkazi wa Dar es Salaam, Bharat Nathwani (57), maarufu kwa jina la Chiku na mke wake Sangita Bharat Nathwani (54) inatarajiwa kuanza kusikilizwa ushahidi Februarri 19 mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ambako wakituhumiwa kwa mashitaka manne...
  6. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua mgahawa kwa ajili ya mabasi ya mkoani njia ya Mbeya - Dar

    Habari, Naomba ushauri, Nataka kufungua mgahawa wa kulisha mabasi kwa njia ya Dar - Mbeya, Nimeona kuna changamoto ya vyakula vibaya katika njia hii. Mtaji ninao 120milion, Nina migahawa ya kawaida (restaurant Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam inayojulikana kwa jina la ifood hivyo nina uzoefu na...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Usije Dar kwasababu ya kuolewa

    Kumekuwa na Tabia ya wanawake wa Mkoani wanapokuja Dar kutaka kupata Mume wa kumuoa. Hii tabia ipo sana kwa Wanafunzi wa Vyuo vikuu na Mabeki 3. Ningependa kuwaambia kuwa hilo lengo lenu sio sahihi, na mnajidanganya kwa kiasi kikubwa. Ukitoka mkoa uje Dar kwa malengo mengine na sio kuolewa.
  8. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania Tanesco wamekata umeme Dar, wapi unacheki Taifa Stars vs Morroco AFCON 23?

    Je, ni njama ya wenye mabanda ya mpira na mabar?
  9. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

    Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam imetumia mabilioni ya fedha kuziba mashimo barabarani, miezi miwili baadaye 80% ya mashimo yaliyozibwa yamerudi

    Kwa mtu ambae hana fani ya uhandisi angeona kwamba Dar es Salaam ya Chalamila ilifanya kazi nzuri sana miezi ya October na November 2023, kuziba mashimo mengi sana yaliyokuwa barabarani. Lakini baadhi ya mainjinia walituambia kilichokuwa kinafanyika ulikuwa ni utoto na kupiga fedha za serikali...
  12. uran

    JamiiForums Tanzania Picha: Meli kubwa ya abiria, Norwegian Dawn imetia nanga Dar 16.01.2024

    Imekuja na Watalii zaidi ya 2,000. Mama anafungua Nchi. #VisitTanzania#
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani. ====== Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Ombaomba wa Dar waondolewe

    Akifanya mahojiano na East Africa Radio Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam Albert Chalamila amesema; "Kuna watu wana zagaa zagaa kwenye Tanzanite bridge, kamateni watu wote wanaokaa kwenye maeneo na walemavu kuombaomba, tumegundua ule ni mtaji wa watu ambao jioni wanakusanya mapato wanawapa kidogo...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Special cars for hire are so many in Dar. What's wrong with our economy?

    I have noticed that there are mushrooms of vehicles written "special for hire). I don't know what wrong especially in these recent days unlike nyuma kidogo. What I know is that this is an indicator of people trying to convert theirs luxuries into business and therefore an indicator of economic...
  16. masai dada

    JamiiForums Tanzania Current situation at the port of Dar es Salaam heavy traffick of vessels

    Tulijua ni mwisho WA mwaka ila Bado hali inaendelea. Watendaji wizara husika msaidieni Rais .... Mizigo ya Xmas ndo inafika Leo ya kuuza ya shule January haijulikani itatoka lini
  17. tpaul

    JamiiForums Tanzania Za ndani ni kuwa Ole Sabaya anaenda kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Da res Salaam. Chanzo changu cha habari kutoka viunga vya Dodoma...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wapi Dar es Salaam naweza kukodi Trecta

    Nahitaji kukodisha trekta kwa ajili ya kusafiaha shamba maeneo ya Tuangoma. Wapi naweza kupata trakta la kukodi hapa Dar es salaam.
  19. aise

    JamiiForums Tanzania Una maoni gani kwa matokeo haya ya kidato cha pili Shule ya Diplomasia inayopatikana Dar?

    Kwa matokeo haya una maoni gani? Shule ipo Jijini Dar es Salam na siyo Nachingwea.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na DAWASA Jijini Dar

    Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) katika mtaa wa Mchikichi na Kongo Kariakoo Jijini Dar es salaam. Kuziba kwa mfumo huu kunasababishwa na wananchi wenye tabia ya kutupa taka ngumu ikiwemo mawe makubwa...
Back
Top Bottom