Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msanii huyo kutoka Kenya imeeleza kuwa Jazeel alifariki kutokana na ajali aliyopata akiwa katika moja ya Hoteli waliyofikia jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo taarifa ya Naziz haijaweka wazi zaidi kuhusu tukio la ajali na tayari Marehemu amezikwa jijini...
Mimi NI kijana wa miaka 23
Nahitaji kazi yoyote halali either ya nguvu au akili au zote kwa pamoja nimemaliz form four na nikisoma diploma miaka 2 wa tatu nimeshindwa kutoka na changamoto za ada hivyo nimeipata certificate course insurance and Risk management
Na Nina uzoefu wa kuuza Duka kwa...
Nilikuja hapa kununua nyama leo sikukuu watoto wakale lakini nimekuta bei zimebadilika hadi elfu 11 kwa kilo, naomba serikali itusaidie udhibiti wa bei ambazo zinapanda mara kwa mara.”- Dickson Kitanda, Mkazi wa Mwananyamala
Wajuzi naomba ntililike na uzi
Kuna zile baa za mfano kitambaa juliana .wavuvi sijui elements hizo mengi ni mashindikanaa lakini kuna chimbo za kijanja za kula pisi mq banker .manesi .watumishinwa uma naomba ntaje zsngu
The hood
Hii ipo sinza mori ukienda uliza ka spiri t and wine shop haka...
Ni wiki kadhaa tangia mamlaka zitangaze ongezeko la nauli( kulingana na kilometers). Lakini kuna mchezo mchafu unaendelea unaofanywa na makonda na madereva wa daladala ambapo wanapandisha nauli zaidi ya viwango tajwa.
Wananchi wanashindwa kutetea kutokana na kuwa na ufahamu tofauti, unakuta...
MHE. JANEJELLY NTATE AENDESHA SEMINA YA UTEKELEZAJI WA MAONO YA MAMA SAMIA KWA WAKINA MAMA WA MKOA WA DAR ES SALAAM
Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 22 Disemba, 2023 Msimbazi Centre, Ukumbi wa...
Salaam Wakuu,
Naomba nikushauri wewe Dereva unaye endesha Gari Dar Es Salaam, Usije ukahisi umeiva kwa Udereva ukataka ujiendeshe kwenda Mkoani kula Sikukuu.
Ni kweli Mungu amejalia umepata hilo Gari, lakini angalia lisigeuke Kaburi lako. Kwa barabara za Mikoani wewe ni Learner tu ukatae...
Tunatafuta mwalimu wa day care in Dar es Salaam. Vigezo awe mwanamke, tuna kituo cha day care Salasala, anayeona mema atupigie.
0717457679
CHANGAMOTO NI MATUMAINI / www.changamoto.org / info@changamoto.org
Life kama linaanza kuwa sawa kwa upande wangu.
Hivyo nahitaji niwe na kagari kamoja hivi ka kwenda nako harusini.
Je kwa Dar wapi naweza pata gari kali kwa bei Chee.
Budget yangu ni kama 5mil mpaka 7mil.
Nb* USED pia sitaki iSt
Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika kutimiza lengo hili, nina tamanio kubwa la kupata mabanda ambayo yapo Dar es Salaam au katika maeneo...
Habari wadau.
Yanga tupo vizuri sana kwenye mechi zenye mazingira mazuri ya hali ya hewa ya kutochoka.. maana mpira wetu ni pasi za kutosha..
Kucheza juani naona kabisa kutoboa ngumu leo.
Yanga huwa tunateseka sana kucheza kwenye jua
Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri.
Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi.
Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona...
Walah itamuhitaji mtu wa ajabu sana kuona merit kwenye application ya wakili kada wa CCM aliyetumwa na "mfumo" kusimamisha kikao cha dharura cha mawakili.
"Mfumo" umefanya mabadiliko ya Sheria ambapo kwa sasa ili wakili ateuliwe kuwa jaji , yampasa kuwa na Law firm, na hiyo /law firm iwe na...
Hivi kuna nini bandari ya Dar, je mwarabu aliyepewa kashindwa? Maana meli nyingi zimetamaushwa kwa kusubirishwa Dar hadi zimegeuza na kushushia mizigo Mombasa....
Nakumbuka mwarabu alipewa bandari zote baada ya Wabongo kushindwa, itabidi hatimaye zipewe mzungu maana hata mwarabu ni wale wale...
Hakuna wakati ambao simba inahitaji nguvu ya mashabiki wake kama kesho.
Licha ya miyeyusho ya akina Kajula. Timu ina ceo alafu inaongozwa na kelele zetu. Lakini chonde chonde tusikose kwenda kuangalia mechi hiyo kesho.
Nje ya matatizo ya uongozi ni wakati wa wawashabiki na wachezaji kuungana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.