Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,395
Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote

Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.

Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
 
Joto linasababishwa na mabadiliko ya Hali ya hewa.

USIKARIRI MKUU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote

Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.

Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Kwani wewe wa jiji la dar wapi au wewe wa mufindi umevamia dar halafu unalalama
 
Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote

Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.

Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Sio laana ila jeographia yake imechangia hilo.
 
Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote

Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.

Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Aisee? Joto, Joto tu limekufanya uone hiyo ni Laana? Kwani joto hapo Dar Limefikia nyuzi joto (celcius)ngapi?
 
Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote

Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.

Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Man jitihada wajada
Cc Maghayo ,BICHWA KOMWE - , litutumbwe
 
Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote

Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la kutisha mwaka mzima. Miji mwingine Africa haiko hivyo. Hali ya hewa ni mchanganyiko Ila Dar ni joto mwaka mzima.

Nahisi jiji la Dar es salaam limekumbwa na laana
Usituletee ushamba wako mkuu, ebu rudi mikoani usije ukatujazia jiji
 
Back
Top Bottom