Dar: Mke na mume wafikishwa Mahakamani kwa kumjeruhi jirani yao

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
KESI inayowakabili mkazi wa Dar es Salaam, Bharat Nathwani (57), maarufu kwa jina la Chiku na mke wake Sangita Bharat Nathwani (54) inatarajiwa kuanza kusikilizwa ushahidi Februarri 19 mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ambako wakituhumiwa kwa mashitaka manne likiwemo la kujeruhi na kutoa lugha ya matusi.

Wanandoa hao ambao ni raia wa Tanzania wenye asili ya India wanaoishi Mrima – Kisutu kwenye jengo la Lohana, Dar es Salaam walifikishwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya wa mahakama hiyo na kusomewa mashitaka yao na wakili wa serikali.

Katika hati ya mashitaka, washitakiwa hao wanaotuhumiwa kwa mashitaka manne, ambayo wanadaiwa kuyatenda Julai 21,2023 ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam.

Katika shitaka la kwanza la kujeruhi linalomkabili Nathwani (Chiku) peke yake, anatuhumiwa kuwa Julai 21,2023 akiwa eneo la Mrima-Kisutu, jengo la Lohana ndani ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam alimjeruhi jirani yake.

Nathwani anadaiwa kumsababishia madhara makubwa mke wa jirani yake, Kiran Lalit kwa kuzamisha kichwa chake kwenye ndoo ya saruji na kumjeruhi katika macho na sikio na kwa kumpiga katika shingo na kumsababishia maumivu.

Pia, katika shitaka la pili la shambulio la mwili linalomkabili Nathwani (Chiku) peke yake, tarehe hiyo na eneo hilo alimsababishia madhara kwa kumshambulia jirani yake Lalit Ratilal katika mwili wake kwa kumpiga ngumi na mateke kichwani.
 
Wasameheane,umri wa uzee,kichwani akili inakuwa hamna,umri huo wengi ni vichaa.
 
anakuwaje chiku tena wakati yeye ni mwanaume? atakuwa na mambo ya kikekike akafungwe tu pumbaf!
 
Hapo lazima washitakiwa watakuwa nje kwa dhamana
 
Wasameheane,umri wa uzee,kichwani akili inakuwa hamna,umri huo wengi ni vichaa.
54 hata 60 sio umri wa akili kupungua kwanza ndio umri wa hekima kubwa,marais wengi hata huko ulaya wanaangukia kwenye umri huo.Hawa wanandoa Wana matatizo ya kisailolojia.
 
Back
Top Bottom