dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Dar es Salaam na tatizo sugu la kupasuka kwa mabomba ya maji

    Ni miaka sita sasa tangu nianze kuishi Dar es Salaam, wilaya na kata ya Ubungo mtaa wa msewe. Tangu nianze kuishi mtaa huu kila siku mabomba ya maji yanaharibiwa na kusababisha upotevu mkubwa wa maji. Na ha DAWASA wanapokuja kurekebisha kasoro hizo, mabomba hupasuka tena kabla hawajafika makwao...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Office Messenger Dar es Salaam

    Affluence Training Ltd inatangaza nafasi 1 ya kazi ya Office Messenger- Dar Es Salaam kwa mkataba wa muda maalum. SIFA: Awe kijana wa Kiume, anayefahamu baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Es Salaam, Awe anajua Kusoma na Kuandika tu, awe ana uwezo wa kujieleza kwa ufasaha, awe tayari kufanya kazi za...
  3. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Wadau natafuta shule ya secondary kwa ajili ya mwanangu, yupo kidato cha kwanza, kwa hapa Dar shule gani nzuri napenda asome day, nipo Kimara ada isizidi 1,400,000
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nadhani kuna haja kuwalazimisha wahindi wafanye kuunganisha Bajaj hapa Dar es salaam

    Hii iwe ni executive order, sio ombi wala kubembelezana. Wapewe godown kule chang'ombe, waagize hizo parts toka India na zikifika Dar basi uunganishaji ufanyike kwa lengo la walau kuibia ibia teknlojia ili pengine baadae na sisi tuanze kuzalisha pikipiki za matairi matatu na tuziite Tanzanite...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bei ya mbegu za maboga katika masoko ya Dar es Salaam, Arusha na baadhi ya Mikoa ya Jirani

    Asalaam Wadau, Ni matumaini yangu mko salama na hongereni na kazi! Katika pitapita zangu nimeona kwa Sasa kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa Mbegu za maboga baada ya kubainika kuwa zinamsaada mkubwa katika afya zetu na kuwa saidia wenye maradhi ya shinikizo la damu(BP),Wenye kisukari etc. Sasa...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Dar: Mkandarasi ahukumiwa miaka saba jela kwa kujipatia Tsh. Milioni 116 kidanganyifu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mkandarasi wa majengo, Alfred Ndeka (60) kifungo cha miaka saba jela baada ya kukutwa na hatia ya kujipatia Sh116 milioni kwa njia ya udanganyifu. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatano Februari 19 , 2020 na Hakimu mwandamizi, Vicky Mwaikambo baada ya...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Jobs Opportunities at Dar es salaam City Council (Madereva 7), Deadline 28 February 2020

    HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA UDEREVA NAFASI 7 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wakazi wa jiji la Dar es Salaam wale wenye sifa za udereva nafasi 7. kazi hii itakuwa ni ya mkataba wa miezi mitatu na msahara utalipwa...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam - Feb 15-16, 2020

    Mungu ibariki Chadema
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua kubwa mikoa 12 ikiwamo Dar es Salaam

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza hali mbaya ya hewa kwa siku tano kuanzia leo Jumatano Februari 12, 2020. Taarifa ya TMA imeitaja mikoa inayotarajia kunyesha mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ni mikoa ya Lindi, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Pwani, Dar es Salaam...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Dar es Salaam na Geita katika Taasisi ya Management and Development for Health (MDH)

    JOB ANNOUNCEMENT Management and Development for Health (MDH) is a non-profit, non-governmental organization whose primary aim is to contribute to addressing public health priorities. All job positions below require significant field work. MDH seeks to recruit qualified individuals to fill the...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba hana uwezo wa kuiongoza Taasisi hiyo, abadilishwe

    Mkuu wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, Prof Ndomba, hana uwezo wa kuiongoza DIT kwa ufanisi na hivyo inapaswa abadilishwe. Sababu kuu za kutaka abadilishwe ni kama zifuatavyo: Hakubali kushaurika, hasikilizi na ni mbishi: Ukimshauri kama hapendi unachomshauri atakikataa hata haka hana...
  12. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Polisi Dar wazuia Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezua Mkutano wa Hadhara wa Mbunge wa Kibamba John Mnyika na Wananchi wake, Uliokuwa ufanyike leo Feb 8, 2020 kata ya Mbezi njee kidogo na Jiji la Dar es salaam. Polisi wamedai kuwa eneo la stendi ya zamani ulipotakiwa kufanyika mkutano huo kuna...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

    Ndugu wana JF, kila mmoja amesoma tamko la hasira la Marekani juu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ndugu Paul Makonda. Kwa desturi za USA, mlengwa mkuu hapo ni Rais Magufuli na serikali yake, walichofanya ni kuipima serikali yetu itamfanya nini Makonda baada ya wao kutangazia Dunia kuwa...
  14. guzman_

    JamiiForums Tanzania Ombi: Jiji la Dar es Salaam lishushwe hadhi

    Kwa takribani miaka mi3 nilikuwa sijafika posta na kariakoo. Jambo la kustaajabu nilichoshuhudia siamini kabisa. Ni kwamba hii serikali imeruhusu machinga kiwango hicho kilichopo. Yaani machinga wamepanga bidhaa hata sehemu ya kutembea hamna mpaka kwenye space zile katikati ya barabara za...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Jamani mimi nina chaneli ya high quality mbao (zilizokatwa na ambazo bado hazijakatwa) for export toka nchi jirani. Documents na leseni zote zipo. Nafikiria masoko ya Far East na Middle East. Hivyo UAE, SAUDIA, IRAN na kule Malaysia, Vietnam na kadhalika ndio nakutaka. Je, kuna mtu anaweza...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Ufisadi wa Sipora Liana ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam waanikwa

    Yadaiwa aliweka ndugu yake Ubungo Bus Terminal ili akwapue pesa , watendaji wa jiji waliofanya vizuri akiwemo aliyepandisha mapato ya DDC wahamishwa kimizengwe kwa sababu walimzibia kupata 10% , watupwa madongo kuinama , mwingine atupwa Malinyi akapambane na ngedere ! Kwa watendaji wa namna...
  17. falcon mombasa

    JamiiForums Tanzania Sauli na Al Saedy vinara wa ligi ngumu ya Dar es Salaam - Mbeya

    Mzukaaaaaa!!!! Guys it's been so loooooong time since my last thread on due course!!!let's go Umewahi kujiuliza kuwa kunaweza kuwa na ligi ya mabus Tanzania? Kama hujawahi kujiuliza ndio nakujuza Barabara zote Tanzania zinaligi,ispokuwa ligi maarufu Tanzania ni ligi ya Dar Mbeya kwa miaka...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Netanyahu autaka ulimwengu kuipinga ICC

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameutolea wito ulimwengu kuchukua hatua dhidi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kabla ya kesi ya uhalifu wa kivita inayoweza kufunguliwa dhidi ya Israel. Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC Fatou Bensouda amesema mwezi uliopita kwamba kuna uwezekano wa...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Provost at Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCo)

    Introduction Tumaini University Dar es Salaam College – TUDARCo is a constituent College of Tumaini University Makumira since 1st April, 2003. TUDARCo is owned by the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) Eastern and Costal Diocese (ECD). The College is accredited by the Tanzania...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Deputy Provost for Administration at Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCo)

    A: Introduction Tumaini University Dar es Salaam College – TUDARCo is a constituent College of Tumaini University Makumira since 1s’April, 2003. TUDARCo is owned by the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) Eastern and Coastal Diocese (ECD).The College was awarded, by the Tanzania...
Back
Top Bottom