Sauli na Al Saedy vinara wa ligi ngumu ya Dar es Salaam - Mbeya

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,159
9,241
Mzukaaaaaa!!!!

Guys it's been so loooooong time since my last thread on due course!!!let's go

Umewahi kujiuliza kuwa kunaweza kuwa na ligi ya mabus Tanzania? Kama hujawahi kujiuliza ndio nakujuza

Barabara zote Tanzania zinaligi,ispokuwa ligi maarufu Tanzania ni ligi ya Dar Mbeya kwa miaka mingi ligi hi imeibuka kinara kuwa ligi ngumu kwakuwa gari lazima ziwe nzima na uwezo wa kukwea uwanda wa juu wa nchi

Tofaut na ligi ya Mwanza ambapo sehem kubwa ni tambarale

Ligi ya Mbeya hadi dar ni maarufu kwakuwa aina ya abiria pia wanataka gari zinazokimbia sana.pia abiria wengi wa njia hii ni wafanyabiashara wapo pia wa nchi jirani

Ili kunogesha ligi hi njia nzima kuanzia dar hadi Mbeya kuna makundi ya vijana wanabet waone nani atawahi kupita Kati ya sauli na Alsaedy hapa pesa huchangwa kama kamali

Pia ziko sehem nyingi bus inayowahi kupita dereva hukuta kijana mmoja anaechaguliwa yuko barabarani kwa ajili ya kumpa pesa yake ya ushindi kwa kuwahi kukatiza sehem husika

Zipo sehem unaweza kukuta vijana zaidi ya hamsini wamekaa wanasubiri waone kati ya Alsaedy na Sauli nani atawahi kukatiza hapa vocha zinatumika sana kuuliza sehem za nyuma zilikopita nani anaongoza

Hapa chini nitajaribu kuweka baadhi ya mikeka muone inavyokuwa inarepotiwa na mareporter wake

Date: 26.01.2020
Route:
Dar - Mikoa mbali mbali via Moro road

Reporter:
Specialist; James Jr Mp

Hali ya Hewa
Joto 27°C
High 31°C
Low 25 °C


Loc. Suka
1. KIDIA CVT 0542


Loc. Stop over
2. JET DKP 0549

3. JMC DQP 0551
ina abiria robo bus...

4. Esther 0554

. 5. Ally's 0555

6. Ally's 0556

7. KLM 0557 ipo nusu

8. BM 0557

9. Isamilo 0557

10. DEER 715 DPK 0558

11. Tungi's 0601

12. Abood 0603

13. Dada hepi 0604

14. Dar lux 0606

15. Dar lux 0606

Mdhamini
Kemebos a.k.a Kaizirege Polo na bendera ya CCM

Ubungo Bus Terminal
16. Masalu 0610

17. Ngasere 0612

18. Al saedy 0613

19. Al saedy 435DNN 0613




ROUTE: Mwanza to Mikoani
LOCATION: misigiri
REPORTER : Classic_boy_de_tz
DATE: 26 january 2020
WEATHER : Sunny
POSTED BY: TANZANIA BUSES DAILY
******************************
1. Asante rabi express ATH 11:17
2 Allys star bus DQZ 11:20
3. Tungiz express DPZ 11:20
4. isamilo Express DPK 11;24
5. mghamba express BZL 11:28
6. kibo confidential 11:35
7. nyehunge DPU 11:37
8. Isamilo Express DSB 11:37
9. abood polo 11:38

From Dar Es Salaam To Southern Highland Zone
Iringa, Njombe, Mbeya, Tunduma, Songea, Sumbawanga & Lubumbashi
Day :: Sunday
Date :: 26th January 2020
Location :: Tazama Pipelines Iringa
Reporter :: #mimi
:: @
----------------------------------------------
1-CLASSIC-INT-COACH-AGUERO 13:30

2-GOLDEN-DEER-715-DPK-TNDM 13:41

3-SAULI-LUXURY-BUS-300-DRH-MBY 13:41

4-AL-SAEDY-HIGH-CLASS-437-DNN-MBY 13:44

5-MAJINJAH-SPECIAL-779-CSN-SWAX 13:44

6-MAJINJAH-SPECIAL-572-DDH-KYL14:00

7-SELOUS-EXPRESS-637-DNZ-SNGA 14:07

8-ABOOD-BUS-SERVICE-448-AYG-TNDM 14:12

9-GOLDEN-DEER- 14:12

10-NYAGAWA-SAFARI'S-220-DJQ-NJMB 14:12
----------------------------------------------
Posted by tzshb
Year 2020


GOLDEN%20%20DRAGON%20XML6125J12%20__stopwatch__%20.%20%20-%20Tanzania_tz_%20-%20AlsaedyHighCl...jpeg
T401DJV%20%20Wana%20wa%20mbeya%20wanaifaham%20weka%20mbali%20na%20watoto%20(%20640%20X%20640%...jpeg
T%20300%20DRH%20-%20mbeyaboy%20%2020_11_2019%20From%20Mbeya%20to%20Dar%20es%20salaam%20(%2064...jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Al Saedy ndio gari nayopanda siku zote Safari za Dar- Mbeya
Ni mashine, haina Longo Longo
 
Jamaa wanajali muda sana Sauli hawasikii milima hao Mbeya hua ni saa 12 na nusu jioni tushaingia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
golden deer na new force ni kampuni tanzu kama ilivo kwa superfeo na selous.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mnajua kulishana matango poli...Alsaedy ni kampuni ya mwarab anaishi Morogoro,New force Ni mchina...yan mbingu na dunia,lakini pia kwa taarifa yako tu Alseady hazinaga mbio kama tunavyoambiwa hapa,mwendo wao ni wa kawaida sana kuzingatia na Sheria za barabarani.
Afu pia heb acheni huo ujinga, sshv hv kila bus imefungwa king'amuz Sasa hayo mashindano wanakuwa wanachomoa hvyo ving'amuz au inakuaje? Mashindano gani ambayo yanahusisha speed limit...heb acheni utoto mambo ya kizamani sna hayo hakuna dereva anafanya huo upuuzi sshv.
 
Mkuu ligi zina utamu wake hata baharini kuna ligi kipindi cha nyuma Dar-Zanzibar ilikuwa ni mpambano kati ya Sea Bus/Kilimanjaro ferries na Sea Star. Hii ligi kinara alikuwa ni Sea Star ila alifanyiwa fitna mpaka akapotea.

Mwanza ziwani kulikuwa na ligi kati ya Mv Luxury na Mv Bijiri, hatari hapa mimi nami nilikuwa mshiriki hii ngoma ilikuwa inachezwa usiku kuwahi gunia za dagaa ili mpakie. Hapa ilikuwa ni ligi inayohusisha meli yenye engine ya Scania na Cummins. Team Scania tulishinda kila siku.
 
Back
Top Bottom