Nafasi ya kazi ya Office Messenger Dar es Salaam

MarkD

Member
Jan 10, 2012
61
28
Affluence Training Ltd inatangaza nafasi 1 ya kazi ya Office Messenger- Dar Es Salaam kwa mkataba wa muda maalum. SIFA: Awe kijana wa Kiume, anayefahamu baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Es Salaam, Awe anajua Kusoma na Kuandika tu, awe ana uwezo wa kujieleza kwa ufasaha, awe tayari kufanya kazi za nje ya ofisi kama vile kupeleka barua kwenye ofisi mbalimbali za wateja wetu.

Malipo ni mazuri sana kwa siku. Anahitajika haraka kuanza kazi siku ya Jumatano Tarehe 4 Machi 2020, mwisho wa kupokea maombi ni saa 8:00 Mchana. Kwa ufafanuzi zaidi fika ofisini Mwananyamala - Komakoma karibu na Jengo la Biashara Complex au mpigie simu Afisa Utawala Wetu Bi. Theresia 0745 162 595.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom