Bei ya mbegu za maboga katika masoko ya Dar es Salaam, Arusha na baadhi ya Mikoa ya Jirani

Kiazi Kitamu

Senior Member
Feb 16, 2013
122
125
Asalaam Wadau,

Ni matumaini yangu mko salama na hongereni na kazi! Katika pitapita zangu nimeona kwa Sasa kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa Mbegu za maboga baada ya kubainika kuwa zinamsaada mkubwa katika afya zetu na kuwa saidia wenye maradhi ya shinikizo la damu(BP),Wenye kisukari etc.

Sasa napenda kufahamu kwa mwenye kujua kilo 1 kwa Sasa inauzwa shilingi ngapi ktk maeneo aliyopo na upatikanaji wake kwa hapa Tanzania kwa wingi ni Mikoa gani? Na huko inapopatikana ni sh ngapi?.

Naomba msaada wenu wadau naona ni fursa iliyojificha.

Asaaalam ! Na Mungu awabariki
 
Back
Top Bottom