dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa wasifu wa Sipora Liana ambaye ni Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam

    Kwa vile haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa Mtumishi halali wa umma basi na mimi kama raia halali wa nchi hii na mkazi wa Jiji la DSM wilaya ya Temeke , kijiji cha Tandika Mwembeyanga , ninaomba kufahamishwa wasifu wa Ofisa huyu mwenye Tuhuma za kufoji jina la mpiga kura kwenye...
  2. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam makanisa yako mengi kuliko Shule za Msingi na Sekondari. Hii maana yake nini?

    Ni wiki sasa kila siku ninakuwa na safari ya nenda rudi Temeke to Mvuti kwenda kuangalia maendeleo ya kibanda changu kinachojengwa huko. Barabara kuu imejaa vibao vya makanisa kuliko vibao vya shule na vyuo. Je, sasa Tanzania tunahitaji huduma za kiroho zaidi kuliko huduma za elimu na afya?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza dagaa nyama (Dagaa kutoka visiwani Zanzibar & Mafia)

    WAKUU SALAAM... TUNAUZA DAGAA NYAMA (DAGAA MCHELE) WALIOANDALIWA KATIKA MAZINGIRA MAZUZRI KUTOKA VISIWA VYA ZANZIBAR NA MAFIA BEI KILO 7500- -TUPO DAR ES SALAAM -UNALETEWA MPAKA NYUMBANI -MIKOANI TUNATUMA -MAWASILIANO 0653916356
  4. frama

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Near the beach at Mbutu Mkwajuni, Kigamboni

    Kimepimwa (surveyed) 400 meters kutoka baharini 3 kilometers kutoka Dege Eco Village Barabara nzuri inapitika muda wote Kumeendelea (kumejengeka) Kiwanja square meters 574 Bei ni Tshs 9,000,000 (9 millions Tsh mazungumzo yapo) Mawasiliano: +255714908121
  5. M

    JamiiForums Tanzania TUITION YA MASOMO YA SAYANSI MKOA WA DAR ES SALAAM KUANZIA FORM ONE MPAKA FORM SIX

    Katika kukabiliana na changamoto ya ufaulu wa masomo ya sayansi nchini, Excellence Tuition Centre inakuletea huduma bora kabsa ya masomo ya ziada kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita Masomo Kwasasa tutafundisha masomo ya Physics, Chemistry, Biology na Mathematics...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Posta Dar es Salaam wakati ikiwa shamba la minazi

    Mipango miji yetu ilikuwa mizuri zaidi mwaka 1930 chini ya wakoloni. Utagundua kwamba sehemu karibu zote za miji yetu zilizopangwa vizuri zilipangwa na wajerumani 1860-1920 au waingereza 1920-1961. Dar, Tanga, Moshi, Arusha, Mwanza, Moro, etc. Sijui sisi waana wa Africa tunakwama wapi? Miaka 60...
  7. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Mahakama yatupilia mbali hoja za Meya wa Dar es Salaam kutaka asalie madarakani, yasema hoja za mwombaji hazina miguu ya kusimamia

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema haiwezi kuzuia Meya wa DSM,Isaya Mwita kuondolewa kwenye nafasi yake kwa sababu hakuna uthibitisho wa uwepo wa kikao cha kumuondoa madarakani wala hasara atakayoipata endapo akiondolewa. Yasema mwombaji hajatoa sababu za msingi za kukidhi vigezo vitatu...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Isaya Mwita ni kikwazo cha CCM kuchota Pesa ya uchaguzi kwenye Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam, ndio chanzo cha kuwekewa zengwe

    Wakuu hii ndio sababu kubwa ya CCM kutaka kumuondoa Meya wa Jiji la Dar es Salaam , hakuna sababu nyingine yoyote ile. Mwita anatuhumiwa kuzuia matumizi ya zaidi bil 5 ambazo ni mgawo kutoka UDART, Je, ni matumizi gani hayo yaliyotakiwa kufanywa na kwanini yamezuiliwa ? Hakuna mwanaccm...
  9. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba mkopo wa ada ya masomo ya Shahada ya kwanza katika taasisi za kifedha hapa Dar es Salaam

    Heri ya mwaka mpya 2020 waungwana. Mimi ni mwanachuo kikuu hapa Dar es Salaam. Ninasoma Shahada ya kwanza katika Uhasibu na Fedha (BAF). Nipo hapa kuomba ushauri kuhusu mada tajwa hapo juu maana mimi sikufanikiwa kuomba mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB) na ndugu zangu hawako interested na...
  10. janfirst

    JamiiForums Tanzania 2020 growing retail store business in Tanzania

    By: Khamis Saleh •Staffs are the first Customers and our brand ambassadors •Stand front to remind people about the vision •Let them feel are comprised in that vision •Get time to Know your people, they can cause failure or success •We may have these kind of people, to know them will increase...
  11. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Daraja la Dar es salaam to zanzibar .

    Hapa ni muonekano baada ya kukamilika litakavyokuwa nimechanya maneno ya kuambiwa na wanasiasa,ubunifu Wa injinia mfugale na akili zangu nikapata kitu kama hicho samani lakini kama nimekukwaza mpinzani Wa jiwe!!!!
  12. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Inabidi taxi za majini zianzishwe Dar es Salaam ili kurahisisha usafiri na kuwa sehemu ya utalii

    Sea taxi ni usafiri wa boti au meli ndogo zenye kubeba abiria kutoka eneo moja kwenda eneo lingine ndani ya bahari, na ndani ya boti abiria huweza kupata sehemu za burudani kama televisheni, eneo la wazi, mgahawa na sehemu ya mkutano. Hii imekuwa ikifanyika katika nchi mbalimbali mfano kwa...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tusihamishie Dodoma kero za Dar es Salaam

    Kero kubwa ya Dar es Salaam kushinda zote ni foleni ndefu za magari kuelekea na kutoka Posta. Shida hii imechangiwa kwa kiasi kikubwa na ofisi na huduma nyingi kupatikana mitaa ya Posta. Je, huko Dodoma kosa kama hili wamelizingatia? Je, ofisi nyingi za serikali zimetawanywa au zote ziko mtaa...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Provost at Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCo)

    Tumaini University Dar es Salaam College – TUDARCo is a constituent College of Tumaini University Makumira since 1st April, 2003. TUDARCo is owned by the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) Eastern and Costal Diocese (ECD). The College is accredited by the Tanzania Commission for...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa

    Sasa ni Rasmi.Kamati Kuu ya CHADEMA katika kikao chao leo cha kikatiba kimewapitisha Freeman Mbowe na Cecil Mwambe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa katika uchaguzi utakaofanyika Jumatano Desemba 18. Katika kuonyesha kukomaa kwa Demokrasia ndani ya chama hicho Kamati Kuu iliwahoji wagombea...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Wanafunzi-UDSM yatoa saa 72 kwa HESLB kutimiziwa maagizo yao vinginevyo kukusanyika nje ya ofisi ya HESLB

    Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imetoa saa 72 kwa Bodi ya Mikopo (HESLB) kutekeleza maagizo 4 likiwamo kuwaingizia fedha wanafunzi ambao hawajapewa tangu chuo hicho kifunguliwe, yasema isipotekeleza watakusanyika nje za ofisi ya HESLB. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania More opportunities in Dar es Salaam than Nairobi

    More Opportunities in Dar es Salaam Than Nairobi : Report Investors likely to swap Nairobi for Dar BY SAMUEL GITONGA DECEMBER 16, 2019 You are more likely to land business opportunities in Tanzania’s Capital Dar es Salaam than you would in Nairobi, a new report has revealed. Audit and...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hospitali ya magonjwa ya watoto kwa Dar es Salaam

    Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam. Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana. Anayejua tiba au hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri, naomba anisaidie.
  19. W

    JamiiForums Tanzania Form one selection Dar es Salaam

    Ndugu wanaJF, Tafadhali naomba ambaye anaweza kunisaidia hizi selection za mkoa wa Dar wanao ingia form one mwaka 2020 zinapatikana wapi siku zinaaisha niko njia panda tafadhali.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul C. Makonda ana Akili, Elimu na Ufahamu mkubwa kuliko Watanzania wote

    Kama kuna Mtu ambaye nilikuwa nabisha na nakataa kabisa kuhusu ‘ Dhihaka ‘ za Watanzania wenye Akili nyingi dhidi ya Uelewa na Uwezo wa Maarifa aliyonayo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul C. Makonda basi nilikuwa ni Mimi GENTAMYCINE ila kwa nilichokisikia leo na Mimi sasa rasmi...
Back
Top Bottom