Vikawe ni sehemu gani ya Dar es Salaam

Mkoa wa pwani wilaya ya Bagamoyo karibu na shule ya BaoBab. Nimelima heka za mihogo hapo vikawe
 
Ninaomba msaada katika hili
Ipo Kibaha lakin ipo wilaya ya bagamoyo ni kijiji ambacho kimechangamka japo si sana
Location ya kufika
Panda Gari za bagamoyo then ingilia njia au Mchepuko wa kuingilia Kibaha.

Au panda Gari za Kibaha shuka
Loliondo utachukua boda kama buku 5 below.

Kuna viwanja vya serikali huko vinauzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🙏🏾
 
Vikawe ni kijiji kinachopatikana mkoa wa Pwani, wilaya ya Kibaha. Waweza fika ukitokea Bunju, Mapinga(Baobab S.S/njia panda ya Vikawe) Mpiji Magoe au Kibaha maili moja. Kutokea Bunju B ni karibu 11km, kupitia barabara mpya ya bagamoyo.
Karibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moderator wa hii forum watu wa ajabu sana, mtu anauliza location,hata hawajui kwanini anauliza wanaipeleka thread yake chit chat.
 
Back
Top Bottom