Tuache masihara, daladala ni usafiri wa watu duni hapa Dar es salaam

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Daladala hupandwa na watu wenye kipato cha chini, hupandwa na watu waliokosa ajira/ kazi nzuri.

Daladala hupandwa na watu wenye background ya chini. Daladala imejaa watu ambao ustaarabu wameusahau nyumbani.

Natamani August 2020 nikome kupanda daladala.

Hayo niliyoyaandika sija generalize kuwa wapanda daladala wote wako hivyo ila wengi wana sifa moja wapo ya hizo juu.
DART walipoleta mwendokasi wakatuaminisha kuwa daladala ni usafiri wa hadhi na heshima, hatukuita daladala, tukaita mwendokasi but now mwendokasi imekuwa mtihani
 
Mkuu hata nchi zilizoendelea wanatumia daladala fikiria umeamka asubuhi gari imezingua je hautapanda daladala?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema hapa Dar es salaam, sijasema kuwa daladala ni usafiri wa watu duni kujumuisha note nchini au duniani.
Taabu za kwenye daladala mtu mwenye unafuu wa maisha hawezi kuzivumilia.
 
Daladala hupandwa na watu wenye kipato cha chini, hupandwa na watu waliokosa ajira mzuri.

Daladala hupandwa na watu wenye background ya chini. Daladala imejaa watu ambao ustaarabu wameusahau nyumbani.

Natamani August 2020 nikome kupanda daladala.

Hayo niliyoyaandika sija generalize kuwa wapanda daladala wote wako hivyo ila wengi wana sifa moja wapo ya hizo juu.
Kila la kheri utimize ndoto yako mkuu...
 
Back
Top Bottom