dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania How to buy your share in Dar es salaam stock exchange

    How to Invest on the Dar es Salaam Stock Exchange If you really want to invest at the furthest reaches of Africa’s frontier markets, the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) is for you. The little market lists only 11 local companies and trade volumes often don’t exceed $500,000 per week. But the...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

    Naomba kujuzwa chimbo la vibarua hapa mjini ni wapi? Na kazi zipi za part time hapa bongo? Kuna mtu nlimsikia kuwa posta karibu na clock tower kuna sehemu watu wanakusanyika kusubiri vibarua na nje ya bandari ni kweli? Kama kweli taratibu zipoje? Na malipo yakoje? Tujuzane wakubwa
  3. JamiiForums Tanzania Home Tuition: Biology and Geography (Dar es Salaam)

    Hello wana JF nawasalimieni wakubwa zangu! Lengo la kuandika uzi huu ni kuwatangazia home tuition kwa wanafunzi wa O level and A level kwa wanaopenda Biology na Geography! Wale wanaorudia mitihani yao basi tatizo lao ndo mzizi umepatikana! Napatikana Dsm. Kwa wanaohitaji huduma hii...
  4. JamiiForums Tanzania TRA yawaelimisha wafanyabiashara Jijini Dar es Salaam kuhusu kodi ya zuio

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaelimisha wafanyabiashara wa maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam kuhusu Kodi ya Zuio na kutoa wito kwa wamiliki wa majengo, fremu na ardhi kuwaruhusu wapangaji wao kuzuia kodi hiyo ambayo ni asilimia 10 ya kiasi cha malipo walichokubaliana katika mkataba wa...
  5. JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote juu ya kusafirisha mizigo toka Dar es Salaam kwenda Mikoani

    Uchaguzi wa Njia ya usafirishaji hutegemea mambo yafuatayo - 1. Thamani ya mzigo - 2. Ukubwa wa mzigo Mizigo yenye thamani kubwa na midogo chini ya KG 2, safirisha kwa njia ya EMS - Ni hakika na salama, mzigo utamfikia mlegwa kwa wakati. Kwa mizigo mikubwa bila kujari thamani yake, Njia hizi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Dar es Salaam Stock Exchange (DSE)

    Tarehe 5 May 2020 hakuna hisa hata moja iliyouzwa. Yaani trading volume ni sifuri. Dar es Salaam Stock Exchange ina kampuni 24 au 25 zilizosajiliwa. Maana yake no selling or buying of shares. Hii niishara kua there is poor or low liquidity in the market Wataalamu wa uchumi watatusaidia kujua...
  7. JamiiForums Tanzania Qatar Airways to restart flights to Dar es Salaam, Tanzania from 16 June 2020

    Dar es Salaam will be the airline’s first destination in Africa to resume scheduled flights Airline will operate three weekly flights with an Airbus A320 DOHA, Qatar – Qatar Airways is pleased to announce the airline will be resuming services to Dar es Salaam, Tanzania from 16 June 2020. The...
  8. JamiiForums Tanzania Fedha ya Serikali inavyopigwa na Halmashauri kupitia Waalimu

    Pamoja na fedha ya Serikali kuwekewa Ulinzi mzito kwenye awamu hii ya tano lakini bado wapo wajanja wanaendelea na upigaji tena kiulaini. Ipo hivi, huu mchezo unapigwa Halmashauri za Wilaya/Manispaa. Wakitaka kupiga hela wataanza kutoa Taarifa kwa wafanyakazi katika Wilaya husika kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Ajali ni nyingi Barabara ya Morogoro Dar es Salaam

    Nawasalimu Serikali ya Awamu ya Tano Chini ya Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufulu inajitahidi sana kujenga miundombinu nchini ikiwemo barabara. Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuelezea ajali ambazo nimekuwa nikizishuhudia katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam hususan kuanzia Kimara...
  10. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

    Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19. Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbià...
  11. JamiiForums Tanzania Mchome Mwenyekiti wa Bavicha Kilimanjaro aliyesafirishwa kuelekea Dar es salaam, Hayupo kwenye vituo vya Polisi , yuko wapi au gari bado haijafika ?

    Gari iliyombeba imetajwa kufahamika kwa namba za usajili za T 363 CDU
  12. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro aliyeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Moshi asafirishwa kuelekea Dar es Salaam

  13. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji muhimu na ya kuvutia sana Afrika nzima

    Katika episode hii ambayo imeangazia 'MEGA CITIES' ama ukipenda majiji ambayo yako developed na yenye mvuto. Jiji la Dar ni miongoni mwa majiji haya 7. itazame video yenyewe unipee maoni yako. DISCLAIMER: Maelezo yamefanywa kwa lugha ya Kiingereza 👇 The Most Beautiful & Developed African mega...
  14. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania: Uwezekano wa kupata Corona Dar ni mkubwa

    Ubalozi wa Marekani umesema Dar es Salaam ni mkoa ambao hatari ya kupata #CoronaVirus ni kubwa. Wamedai japo serikali haitoi takwimu kuhusu hilo ushahidi wa kimazingira unaonyesha wagonjwa wanaongezeka kwa kasi ndani ya Dar. Wamedai hospitali nyingi zinahofu kutokana na ukosefu wa vifaa tiba...
  15. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam yapanguliwa, uchunguzi waendelea

    Brigedia Jenerali, John Mbungo, Mkurugenzi wa TAKUKURU MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini Tanzania, Brigedia Jenerali, John Mbungo amepangua safu ya uongozi wa taasisi hiyo Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam. Bosi...
  16. JamiiForums Tanzania Dar es salaam ikiweka lazima ya kuvaa miwani (clear glass) kama ilivyo kwa barakoa, basi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kuishinda Corona

    Kuna vitu vingine ukikaa na kutafakari kwa kina, utagindua kwamba akili zetu huwa zinapenda kuigana, na ni akili chache huwa zinakuwa proactive kufanya jambo jipya na akili zingine huishia kuiga tu. Tunaambiwa hivi virusi vya Corona vinaambukiza kwa kupitia Pua, mdomo na macho,? hivyo siku moja...
  17. JamiiForums Tanzania Chato inafaa kujengwa Ikulu kubwa baada ya Dar es Salaam

    Chato ni eneo zuri ki ulinzi kwa kiongozi ikibidi zaidi ya Dar es salaam na Dodoma 1. Kiusalama imezungukwa na ziwa Lina visiwa zaidi ya 60; Ni rahisi kuondoshwa kupitia njia ya Maji 2. Ulinzi : Kuna vikosi vikubwa vinne . Biharamulo,Ngara, Rwamishenye,Kaboya na Kwa Mbali Mwanza . Kiulinzi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Raum New Model inauzwa, Mabibo- Dar es Salaam

    Sifa 1. Rangi ni gold 2. Namba za usajili ni T244 DPS 3. Ukubwa wa injini ni 1490cc 4. Idadi ya km ilizotembea ni 77,000 kms mpaka Sasa 5. Inamwaka mmoja tokea imenunuliwa 6. Inabima kubwa iliyokatiwa mwaka huu 7. Hutumika kwenda kazini na kurudi tokea imenunuliwa 8. Haijafunguliwa popote tokea...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    Salamu kwenu. Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona. Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1. Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wengi wa Dar es Salaam siku hizi wanapenda kuishi Kikolabo?

    Kila Mwanamke utakayekutana naye tu ukimuuliza kapanga wapi atakumbia sehemu fulani lakini ni lazima atasema anaishi na Mwenzake. Kumetokea nini kwani mbona huko nyuma Wanawake wengi wa Dar walikuwa wanaishi peke yao tu? Na kwanini pia Wadada (Wanawake) wengi wa Mkoani Dar es Salaam Siku hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…