Mchome Mwenyekiti wa Bavicha Kilimanjaro aliyesafirishwa kuelekea Dar es salaam, Hayupo kwenye vituo vya Polisi , yuko wapi au gari bado haijafika ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,216
217,185
Instagram media - CAM7-yEHTkm ( 612 X 640 ).jpg


Gari iliyombeba imetajwa kufahamika kwa namba za usajili za T 363 CDU
 
Kipindi hiki ni cha kuwa makini. Madhaifu ni mengi sana, na hivyo wameingia kwenye “defensive mode” automatically!

Badala ya kushughulika na corona, sasa watapeleka nguvu zote kwa wale wakosoaji wote wa serikali na viongozi wake.

Huu ni mwaka wa uchaguzi na inaonekana hawataki uishie kwa namna ambayo itawakosesha imani kwa wananchi.
 
kwanza aliyekwambia kakamatwa na polisi nani? na aliyekwambia anashikkiliwa na polisi nani ? Aliyekwambia kasafirishwa kwenda dar es salaam nani?

chadema mumeanza michezo yenu michafu ya kujiteka na kuchafua serikali
 
View attachment 1450915

Gari iliyombeba imetajwa kufahamika kwa namba za usajili za T 363 CDU
nenda polisi katoe huo ushahidi kuwa uliiona hiyo gari imembeba nenda kwa Afande Mambosasa na huyo kilewo wako na ushahidi kuwa alishikiliwa na polisi kilimanjaro na kuwa alisafirishwa kwenda dar es salaam kwa gari mliyotaja nendeni

chadema watu wakipotea huwa cha kwanza kuripoti kabla ya ndugu kulikoni?

ndugu hawajaripoti ndugu yao kupotea chadema wamesharipoti

polisi kamateni kileo na hao wote wanaopita pita vituo vya polisi waeleze huyo wanayemtafuta aliko kwa kuwa hakuna ndugu aliyeripoti kupotelewa.Washikeni haraka wasaidie kumtafuta mchome alipo waeleze yuko wapi? shikeni chap chap
 
Nenda polisi katoe huo ushahidi kuwa uliiona hiyo gari imembeba nenda kwa mambosasa na huyo kilewo wako na ushahidi kuwa alishikiliwa na polisi kilimanjaro na kuwa alisafirishwa kwenda dar es salaam kwa gari mliyotaja nendeni

Chadema watu wakipotea huwa cha kwanza kuripoti kabla ya ndugu kulikoni?

ndugu hawajaripoti ndugu yao kupotea chadema wamesharipoti

polisi kamateni kileo na hao wote wanaopita pita vituo vya polisi waeleze huyo wanayemtafuta aliko kwa kuwa hakuna ndugu aliyeripoti kupotelewa.Washikeni haraka wasaidie kumtafuta mchome alipo waeleze yuko wapi? shikeni chap chap
Mwezi Mtukufu halafu unalewa mchana !

Laana tullah !
 
Mwezi Mtukufu halafu unalewa mchana !

Laana tullah !
nenda wewe kamtafute vituo vyote vya polisi na jeshi unayesema kapotea wakati hakuna ndugu aliyeripoti kapotea! ueleze vizuri ulikomuweka Mchome hadi ukamripoti kapotea wakati ndugu hiyo habari ya kupotea hawana
 
Back
Top Bottom