dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Polisi Dar wazuia Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezua Mkutano wa Hadhara wa Mbunge wa Kibamba John Mnyika na Wananchi wake, Uliokuwa ufanyike leo Feb 8, 2020 kata ya Mbezi njee kidogo na Jiji la Dar es salaam. Polisi wamedai kuwa eneo la stendi ya zamani ulipotakiwa kufanyika mkutano huo kuna...
  2. K

    Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

    Ndugu wana JF, kila mmoja amesoma tamko la hasira la Marekani juu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ndugu Paul Makonda. Kwa desturi za USA, mlengwa mkuu hapo ni Rais Magufuli na serikali yake, walichofanya ni kuipima serikali yetu itamfanya nini Makonda baada ya wao kutangazia Dunia kuwa...
  3. Ombi: Jiji la Dar es Salaam lishushwe hadhi

    Kwa takribani miaka mi3 nilikuwa sijafika posta na kariakoo. Jambo la kustaajabu nilichoshuhudia siamini kabisa. Ni kwamba hii serikali imeruhusu machinga kiwango hicho kilichopo. Yaani machinga wamepanga bidhaa hata sehemu ya kutembea hamna mpaka kwenye space zile katikati ya barabara za...
  4. G

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Jamani mimi nina chaneli ya high quality mbao (zilizokatwa na ambazo bado hazijakatwa) for export toka nchi jirani. Documents na leseni zote zipo. Nafikiria masoko ya Far East na Middle East. Hivyo UAE, SAUDIA, IRAN na kule Malaysia, Vietnam na kadhalika ndio nakutaka. Je, kuna mtu anaweza...
  5. Video: Ufisadi wa Sipora Liana ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam waanikwa

    Yadaiwa aliweka ndugu yake Ubungo Bus Terminal ili akwapue pesa , watendaji wa jiji waliofanya vizuri akiwemo aliyepandisha mapato ya DDC wahamishwa kimizengwe kwa sababu walimzibia kupata 10% , watupwa madongo kuinama , mwingine atupwa Malinyi akapambane na ngedere ! Kwa watendaji wa namna...
  6. Sauli na Al Saedy vinara wa ligi ngumu ya Dar es Salaam - Mbeya

    Mzukaaaaaa!!!! Guys it's been so loooooong time since my last thread on due course!!!let's go Umewahi kujiuliza kuwa kunaweza kuwa na ligi ya mabus Tanzania? Kama hujawahi kujiuliza ndio nakujuza Barabara zote Tanzania zinaligi,ispokuwa ligi maarufu Tanzania ni ligi ya Dar Mbeya kwa miaka...
  7. Netanyahu autaka ulimwengu kuipinga ICC

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameutolea wito ulimwengu kuchukua hatua dhidi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kabla ya kesi ya uhalifu wa kivita inayoweza kufunguliwa dhidi ya Israel. Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC Fatou Bensouda amesema mwezi uliopita kwamba kuna uwezekano wa...
  8. Provost at Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCo)

    Introduction Tumaini University Dar es Salaam College – TUDARCo is a constituent College of Tumaini University Makumira since 1st April, 2003. TUDARCo is owned by the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) Eastern and Costal Diocese (ECD). The College is accredited by the Tanzania...
  9. Deputy Provost for Administration at Tumaini University Dar es Salaam College (TUDARCo)

    A: Introduction Tumaini University Dar es Salaam College – TUDARCo is a constituent College of Tumaini University Makumira since 1s’April, 2003. TUDARCo is owned by the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) Eastern and Coastal Diocese (ECD).The College was awarded, by the Tanzania...
  10. Meya wa Dar es Salaam, Isaya Mwita achukuliwa na Polisi akiwa kwenye kikao

    Kwa mujibu wa taarifa ya Chadema kanda ya Pwani, ni kwamba Mstahiki Mayor amechukuliwa na watu wanaosadikika kuwa ni watu wa usalama. More news to follow ====== Meya wa Jiji la Dar, Isaya Mwita (CHADEMA) akiongoza kikao cha Kamati ya Fedha na Uongozi, leo tarehe 16 Januari 2020, katika ukumbi...
  11. Dar es Salaam: Rais Magufuli aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne Januari 14, 2020 ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
  12. Naomba kufahamishwa wasifu wa Sipora Liana ambaye ni Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam

    Kwa vile haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa Mtumishi halali wa umma basi na mimi kama raia halali wa nchi hii na mkazi wa Jiji la DSM wilaya ya Temeke , kijiji cha Tandika Mwembeyanga , ninaomba kufahamishwa wasifu wa Ofisa huyu mwenye Tuhuma za kufoji jina la mpiga kura kwenye...
  13. Dar es Salaam makanisa yako mengi kuliko Shule za Msingi na Sekondari. Hii maana yake nini?

    Ni wiki sasa kila siku ninakuwa na safari ya nenda rudi Temeke to Mvuti kwenda kuangalia maendeleo ya kibanda changu kinachojengwa huko. Barabara kuu imejaa vibao vya makanisa kuliko vibao vya shule na vyuo. Je, sasa Tanzania tunahitaji huduma za kiroho zaidi kuliko huduma za elimu na afya?
  14. M

    Tunauza dagaa nyama (Dagaa kutoka visiwani Zanzibar & Mafia)

    WAKUU SALAAM... TUNAUZA DAGAA NYAMA (DAGAA MCHELE) WALIOANDALIWA KATIKA MAZINGIRA MAZUZRI KUTOKA VISIWA VYA ZANZIBAR NA MAFIA BEI KILO 7500- -TUPO DAR ES SALAAM -UNALETEWA MPAKA NYUMBANI -MIKOANI TUNATUMA -MAWASILIANO 0653916356
  15. Plot4Sale Near the beach at Mbutu Mkwajuni, Kigamboni

    Kimepimwa (surveyed) 400 meters kutoka baharini 3 kilometers kutoka Dege Eco Village Barabara nzuri inapitika muda wote Kumeendelea (kumejengeka) Kiwanja square meters 574 Bei ni Tshs 9,000,000 (9 millions Tsh mazungumzo yapo) Mawasiliano: +255714908121
  16. M

    TUITION YA MASOMO YA SAYANSI MKOA WA DAR ES SALAAM KUANZIA FORM ONE MPAKA FORM SIX

    Katika kukabiliana na changamoto ya ufaulu wa masomo ya sayansi nchini, Excellence Tuition Centre inakuletea huduma bora kabsa ya masomo ya ziada kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita Masomo Kwasasa tutafundisha masomo ya Physics, Chemistry, Biology na Mathematics...
  17. F

    Picha: Posta Dar es Salaam wakati ikiwa shamba la minazi

    Mipango miji yetu ilikuwa mizuri zaidi mwaka 1930 chini ya wakoloni. Utagundua kwamba sehemu karibu zote za miji yetu zilizopangwa vizuri zilipangwa na wajerumani 1860-1920 au waingereza 1920-1961. Dar, Tanga, Moshi, Arusha, Mwanza, Moro, etc. Sijui sisi waana wa Africa tunakwama wapi? Miaka 60...
  18. Kisutu: Mahakama yatupilia mbali hoja za Meya wa Dar es Salaam kutaka asalie madarakani, yasema hoja za mwombaji hazina miguu ya kusimamia

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema haiwezi kuzuia Meya wa DSM,Isaya Mwita kuondolewa kwenye nafasi yake kwa sababu hakuna uthibitisho wa uwepo wa kikao cha kumuondoa madarakani wala hasara atakayoipata endapo akiondolewa. Yasema mwombaji hajatoa sababu za msingi za kukidhi vigezo vitatu...
  19. Isaya Mwita ni kikwazo cha CCM kuchota Pesa ya uchaguzi kwenye Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam, ndio chanzo cha kuwekewa zengwe

    Wakuu hii ndio sababu kubwa ya CCM kutaka kumuondoa Meya wa Jiji la Dar es Salaam , hakuna sababu nyingine yoyote ile. Mwita anatuhumiwa kuzuia matumizi ya zaidi bil 5 ambazo ni mgawo kutoka UDART, Je, ni matumizi gani hayo yaliyotakiwa kufanywa na kwanini yamezuiliwa ? Hakuna mwanaccm...
  20. Jinsi ya kuomba mkopo wa ada ya masomo ya Shahada ya kwanza katika taasisi za kifedha hapa Dar es Salaam

    Heri ya mwaka mpya 2020 waungwana. Mimi ni mwanachuo kikuu hapa Dar es Salaam. Ninasoma Shahada ya kwanza katika Uhasibu na Fedha (BAF). Nipo hapa kuomba ushauri kuhusu mada tajwa hapo juu maana mimi sikufanikiwa kuomba mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB) na ndugu zangu hawako interested na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…