Mipango miji yetu ilikuwa mizuri zaidi mwaka 1930 chini ya wakoloni. Utagundua kwamba sehemu karibu zote za miji yetu zilizopangwa vizuri zilipangwa na wajerumani 1860-1920 au waingereza 1920-1961. Dar, Tanga, Moshi, Arusha, Mwanza, Moro, etc. Sijui sisi waana wa Africa tunakwama wapi? Miaka 60 baada ya uhuru ndio tumeweza kutengeneza majanga Manzese, Buguruni, Changanyikeni, Mbagala, nk. Dar yote ingepaswa kuwa nzuri kuliko hapo pichani kama kungekuwa na akili.