Jinsi ya kuomba mkopo wa ada ya masomo ya Shahada ya kwanza katika taasisi za kifedha hapa Dar es Salaam

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,123
Heri ya mwaka mpya 2020 waungwana.

Mimi ni mwanachuo kikuu hapa Dar es Salaam. Ninasoma Shahada ya kwanza katika Uhasibu na Fedha (BAF).

Nipo hapa kuomba ushauri kuhusu mada tajwa hapo juu maana mimi sikufanikiwa kuomba mkopo kutoka Bodi ya Mikopo (HESLB) na ndugu zangu hawako interested na mimi kusoma.

Sasa nipo hapa kuomba kwa wanaofahamu, je ni taasisi gani za kifedha huwa zinakopesha mkopo wa ada, hata wa mwaka mmoja ili kumsaidia kimasomo mlengwa (mwanafunzi)?

Msaada wakuu.
 
Back
Top Bottom