dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JamiiForums Tanzania Watoa huduma shughuli za Usafi na Urembo wanahitajika Dar es Salaam, changamkia fursa sasa

    TANGAZO LA KAZI TAREHE 17, DISEMBA 2020. BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV. Huduma tunazozitoa ni hizi zifuatazo; USAFI Usafi wa nyumbani wa kila namna kama vile kusafisha ndani na...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi tembelea maeneo ya Dar es Salaam, kuna viwanja vingi havijaendelezwa

    Naongelea maeneo ya Goba, Bunju, Madale, Mabwepande, Kigamboni n.k Watu wameweka maeneo makubwa yamekuwa mapori. Wengi uwezo wa kujenga hawana sababu walishastaafu na kuuza hawataki. Wazee hawa wana street mipango mingi ila fedha hawana sasa maeneo yao yamebaki mazalia ya nyoka na kenge na...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Fundi Computer Dar es Salaam

    Nahitaji Fundi Computer wa Kushirikiana nae kazi,, kama wewe ni fundi computer na upo dar tafadhani njoo P.M tuyajenge.
  4. JamiiForums Tanzania Nani aliyetukosea; Je, aliyeshindwa kuapa au wale waliosaini mikataba iliyogharimu taifa letu. Je, ni Mzumbe University au Dar es Salaam University?

    NANI ALIYETUKOSEA,JE ALIYESHINDWA KUAPA AU WALE WALIOSAINI MIKATABA ILIYOGHARIMU TAIFA LETU,JE NI MZUMBE UNIVERSITY AU DAR ES SALAAM UNIVERSITY!? Leo 18:30hrs 11/12/2020 I really admire Mzumbe University,ina miaka 20 toka ilipobadilishwa Institute of Development Management (IDM Mzumbe) hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Namba za kuwasiliana na office za Pepsi dar es salaam

    Jamani hii ni wiki ya pili sasa najaribu kuwatafuta mawakala wa soda za Pepsi nashindwa kuwapata Naitaji soda cret Mia moja, Kila ninavyojaribu kupiga kwa namba zao ambazo ziko mitandaoni huwa zinaita tu bila kupokelewa Naomba msaa kwa yeyote ambae anajua naweza kuwapata vipi hawa jamaa na...
  6. JamiiForums Tanzania Je, unaifahamu meli ya MV Dar es Salaam?

    MV DAR ES SALAAM Rais John Pombe Magufuli akiizindua meli ya MV DAR ES SALAAM. Meli ya MV DAR ES SALAAM ilitengenezwa kwa nia ya kurahisisha usafiri kwa wakazi waishio kwenye fukwe za Bagamoyo na Dar es Salaam. Kampuni ya kutengeneza meli iitwayo Western Marine Shipyard (Hull WMShL-124)...
  7. JamiiForums Tanzania INAUZWA kitanda cha mninga kinauzwa Tabata Dar es salaam

    Hiki kitanda kizuri sana mbao zake ni imara. Size ni 6*5 Bei ni 140,000 Eneo: Tabata Aroma Mazungumzo zaidi 0744033555
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Can Dar es Salaam match this kind of luxury?

    Outside South Africa, you'll have a hard time coming across expansive estates of this luxury at this magnitude. You won't find this in Dar at all. Dar should borrow a leaf from Nairobi when it comes to maintaining greenery in the city.
  9. JamiiForums Tanzania TANGAZO: Ongezeko la Safari za Treni Dar es Salaam - Arusha kuanzia Desemba 2, 2020

  10. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa kisemvule Dar es Salaam

    Tunauza viwanja vya makazi vyenye miundombinu yote muhimu ya kijamii umeme maji barabara viwanja vina ukubwa wa feet 40×50 viwanja vipo Kisemvule mbele kidogo baada ya mbagala rangi 3. Vipo vya bei tofauti tofauti kuanzia laki 8 mill 1 mill 1.5 na kuendelea....unaweza kulipia kwa awamu hati ni...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenge, Dar es Salaam kuna nini?

    Nimesoma mahali kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe ametunukiwa nyumba na maaskofu wa kanisa lake. Hiki kitu kikatrigger (kuamsha) hisia zangu za siku nyingi kidogo ambazo nimewahi kuwaza juu ya eneo la Mwenge Dar es Salaam na maeneo ya jirani. Kanisa la...
  12. JamiiForums Tanzania Ni Hospitali gani ya Umma (ya Serikali) hasa hasa Mkoani Dar es Salaam yenye Huduma Rafiki ya Kung'oa Meno?

    Kuna moja hivi ipo jirani kabisa na eneo ambalo Mvua ya Dar es Salaam ikianza tu Kunyesha basi Utepe wa Usalama wa Barabara Kufungwa huwa unawekwa karibu na ilipo. Kuna Mtu alinishauri niende hapo Kung'oa ila nimefanya Survey yangu naona kila wanaoingia hapo wakitoka ama wanakuwa Wanalia sana au...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Bei elekezi kwa Cement 42.5 kwa Dar inawatajirisha Mawakala wa cement

    Serikali imeweka bei elekezi kwa cement kwamba isizidi 15,000 kwa mfuko mmoja. Bei hiyo haijalishi ni cement aina gani. Kuna aina kuu mbili zinazouzwa ambazo ni 42.5 na 32.5. Kwa wajenzi wengi cement ya 42.5 ndio inapendwa lakini bei yake ipo juu. Kwa wauzaji wa rejareja bei elekezi ya 15,000...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya muda (temporary)

    Habari? Nahitaji vijana wawili (wakike na kiume) kwa ajili ya kunifanyia kazi ya kutuma email kwa baadhi ya wateja wangu (email marketing) kulingana na orodha ntakayowapa. - Kwa siku wanatakiwa kutuma email 100 - Kazi ni ya siku 30 na malipo yake ni TSH 200,000 - Watahitajika...
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam asema bei ya saruji imeanza kushuka na baadhi ya wauzaji waliokuwa wakilangua wanahojiwa Polisi

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge amesema bei ya rejareja saruji imeanza kushuka na baadhi ya wauzaji waliokuwa wakilangua wanahojiwa Polisi. Ameviagiza vyombo vya ulinzi kuendelea kuwakamata walanguzi wanaoendelea kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu. Juzi Waziri Mkuu, Kassim...
  16. JamiiForums Tanzania Je, foleni Dar es Salaam imepungua?

    Wadau naomba kuuliza hili swali kwa wakazi wa Dar, nataka kufahamu kama kuna improvemet yoyote kwenye kupunguza foleni hapa Dar. Mimi binafsi naona kama kuna ahueni tofauti na Zamani, maana unaweza kutoka Buza Sigara kwenda Kariakoo na ukatumia Dk 20. Lakini zamani ilikuwa unatumia kama saa...
  17. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yashinda tuzo ya ubora barani Afrika

    11 NOVEMBER 2020 Tanzania Daily News (Dar es Salaam) By Edward Qorro THE Port of Dar es Salaam has been voted as Africa's Leading Cruise Port in the 27th edition of the World Travel Awards (WTA), held in London on Tuesday. This is the first time Tanzania's largest port scooped the award in a...
  18. JamiiForums Tanzania TARURA, ni wakati sasa mkajikita kurekebisha kwa kiwango cha lami barabara za mitaani Dar es salaam

    Nawakumbusha tu TARURA wakati serikali mpya ikiingia madarakani ni muhimu sasa barabara za mitaani katika jiji la kibiashara la Dar es salaam zikajengwa kwa kiwango cha lami. kusema kweli ni aibu kwamba barabara nyingi za mitaani hata katika maeneo yaliyopangiliwa kama vile Mbezi Beach...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Ubungo Profesa Kitila Mkumbo (CCM) - Kura 63,221 Boniface Jacob (CHADEMA) - kura 20,620 Kibamba...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% , Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…