dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wakulima wa mazao wanapaswa kulipwa ndani ya siku 4, tutaanzisha soko la chai Dar es Salaam

    Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo. Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo. Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali...
  2. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro

    Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Kila manispaa mkoani DSM itarithi mali za Jiji la Dar es Salaam lililovunjwa zilizo katika maeneo yao

    Waziri wa Tamisemi Mh. Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala. Kwa mfano stendi ya mabasi ya mkoani yaani Stendi ya Magufuli itarithiwa na manispaa ya Ubungo nk nk...
  4. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imevunjwa?

    KWANINI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM IMEVUNJWA Ni Mawazo Yangu #Joseph #Yona Kiutawala Jiji lilikuwa limegawanyika katika Halmashauri sita za Serikali za mitaa ambazo ni:- Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam

    Rais Magufuli anazungumza na watanzania kupitia mkutano wake na wananchi wa Dar es salaam. Tukio liko mubashara katika runinga zote Updates; Waziri Bashungwa: Nimesimama hapa mheshimiwa Rais kukushukuru sana kabla ya mkutano huu wa hadhara umetupa heshima ya kuzindua Magic FM Radio pamoja na...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais, subiri kidogo kutia saini kulivunja jiji la Dar es Salaam

    Mji wa Dar es Salaam ulikuwa ni sehemu tu ya mkoa wa Pwani, kutokana na idadi yake kubwa ya watu wanasiasa waliamua ujitenge ili uwe mkoa unaojitegemea. Ilala, Kinondoni, Temeke na Ubungo ilikuwa ni mitaa tu ya mji wa Dar es salaam ambayo baadae wanasiasa waliigeuza kuwa wilaya/halmashauri ili...
  7. Cards Fantasy

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya mkataba nipo Dar es Salaam

    Habari za leo? Nnahitaji pikipiki ya kufanyia kazi kwa mkataba, mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 33, nina familia ya watoto 3, nipo Dar es Salaam, Tandika Magorofani. Ikiwa pikipiki itakuwa mpya basi mkataba utakuwa wa mwaka mzima, na ikiwa Pikipiki itakuwa si mpya tutajadili muda wa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, Dar es Salaam inapokuwa Mkoa, hatutapoteza faida za majiji Duniani?

    Kwanza ningependa kujua vigezo vinavyotumika Duniani kuupandisha hadhi mji au Halmashauri kuwa Jiji. Issue ya eneo fulani kuwa jiji ni jambo la ndani ya nchi au kuna standard za kimataifa? Kwa kuwa Dar itakuwa Mkoa, je sifa, hadhi yanazopewa majiji Duniani na ambazo baadhi ya sifa huambatana na...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

    Rais Magufuli ameivunja Halmashauri hiyo na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia leo Februari 24, 2021 Ameipandisha hadhi Halmashauri hiyo kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 5(1) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

    Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto. Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Dkt. Kijazi wawasili Dar es Salaam, kuagwa rasmi kesho Karimjee. Kuzikwa Korogwe Jumamosi

    Viongozi mbalimbali wako uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakiongozwa na waziri mkuu mh. Majaliwa. Ndege iliyobeba mwili imeshawasili. Tukio liko mubashara Channel ten na TBC ====== Mwili wa marehemu Dkt. Kijazi utapelekwa hospitali ya Lugalo kuhifadhiwa. Mwili umewasili...
  12. Mpingamkoloni

    JamiiForums Tanzania Barua Kwa Mheshiwa Rais: Tunaomba Utupe Ardhi ya Tanganyika Packers Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Tawi la Mbeya

    Mheshimiwa Rais! Mimi ni mwananchi wa kawaida sana hapa Tanzania. Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM tokea enzi za siku za mwisho za TANU. Mheshimiwa Rais, sitopoteza muda wangu kutaja mambo mema mengi uliyowafanyia watanzania, maana nitatumia siku nzima na hivyo barua yangu itakosa maana...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar es Salaam

    Wandugu natafuta kiwanja Maeneo ya Kimara, Salasala, Tegeta, Goba, Makongo juu, Madale. Kiwanja kiwe na ukubwa wa zaidi ya sqm1000. Mwenye nacho ani DM tuongee bei.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Naomba namba za mbunifu wa machine ya umeme wa sumaku wa Kawe Dar es Salaam

    Kama kuna mtu humu aliye na mawasiliano ya mbunifu wa machine ya kuzalisha umeme inayotumia mfumo wa sumaku, Tafadhali anisaidie.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu gharama za Building/Construction material warehouse in Dar es Salaam

    Habari za muda huu wadau Ninaomba kufahamu zaidi kuhusu gharama za kukodisha ghala la kuhifadhi materials ya ujenzi ( Construction materials warehouse house) lenye square meter 400 lili chin ya mamlaka ya serikali. Kwa mkoa wa Dar es Salaam.
  16. V

    JamiiForums Tanzania Mliotuma CV Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kazi ya ushuru, mmeshaitwa?

    Imepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.
  17. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania airports among the busiest in Africa

    Busiest Airports in Africa ranked according to number of flights daily 1. Johannesburg Airport South Africa🇿🇦 188 flights 2. Cairo Airport Egypt 🇪🇬 111 flights 3. Addis Ababa Airport Ethiopia 🇪🇹 99 flights 4. Capetown Airport South Africa🇿🇦 82 flights 5. Lagos Airport Nigeria🇳🇬 78 flights...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ngurumo za radi kubwa Dar es Salaam

    Ngurumo za radi kubwa Dar es Salaam, Wana Dar es Salaam hizo ni radi au makambora maana sisi wana mapambano tunawasiwasi.
  19. YukaMJapani

    JamiiForums Tanzania Microfinance Institution in Dar and Arusha

    Wapendwa wote, Nafanya utafiti kuhusu microfinance ya dar es salaam na Arusha. Je, kuna taasisi maarufu inayohusika hasa kilimo? Nashukuru kwa msaada wenu, Asante
  20. MONEY 255

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kusugua masinki na marumaru

    Habarini watanzania wenzangu mimi ni kijana wa kitanzania na nimebahatika kupata degree ya sheria, lakini kama ilivyo kawaida ukimaliza masomo huna budi kusubiri Mungu akuletee kazi ili maisha yaweze kuendelea. Hivyo kama kijana mwenye malengo na baadae yake sitegemei kijana yoyote kuendelea...
Back
Top Bottom