dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja nina 5M Dar es salaam

    Wandugu, Ninatafuta kiwanja maeneo ya Madale, Bunju, Goba , Kimara sema budget yangu ni 5m Tanzania shilling. Mwenye nacho ani PM. Ukubwa kuanzia 800sqm kwenda juu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ijenge barabara ya mwendo kasi ambayo ita-charge hata Tsh 1000 kwa Km 1, ila speed isipungue 150 kwa saa

    Unajua kutumia ndege kunachosha sana. Binafsi nmepanda ndege kwa safari mara nyingi kuliko hata kiwango ambacho nimetembea kwa miguu kwenda umbali wa kms 5. Mpaka inachosha.sioni jipya kwenye hizi ndege. Last week nlikuwa naenda Dodoma nikaona niende na Range Rover nisitumie ndege ili pia...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania RITA yatoa talaka zaidi ya 200 kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Januari hadi Desemba 2020

    Wakala wa Usajili, Ufilisi, na Udhamini (RITA) umetoa vyeti vya talaka 221 katika Mkoa wa Dar es Salaam baada ya wanandoa kuamua kuachana. Akizungumza katika maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Wakili Mwandamizi wa Serikali wa RITA, Edna...
  4. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania DAWASCO Kimara fungueni Maji, Hali ni Mbaya

    Habari wanabodi, kama Kuna mtu anamfaham Meneja wa DAWASCO Kimara, tafadhali amjulishe kuwa afungue maji mchana huu kwani Hali huku mtaani ni Mbaya Sana. Siku ya 4 leo inaenda maji hakuna, na hata watu wanaouza toka kwenye matanki yao wameishiwa maji, hivyo, Hali sio ya mchezo kabisa. Kuna...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ni Uchawi tu huo! Benard Morrison kimbia haraka kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa Richard Mwacha ukaponywe hiyo ngiri ya kichawi

    " Benard Morrison yupo mbioni kufanyiwa upasuaji wa ngiri ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita" . Vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Ukitazama maradhi ya Benard Morrison kwa jicho la Mshana Jr unaweza kusema kwamba Benard Morrison...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es salaam kuunganishiwa mabomba ya gesi majumbani ndani ya miezi 9!

    TPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam. Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh Kalemani amesema atafurahi kama zoezi hilo litakamilika ndani ya miezi sita badala ya tisa. Chanzo: ITV...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Safi sana. Hata Kenya na Msumbiji naona wakipitisha Mizigo yao Bandari ya Dar Es Salaam

    Mambo yamepamba moto kweli kweli ufanisi umeongezeka. Baada ya South Africa kuanza pitisha mizigo ya TZ sasa itafuatia Kenya, Msumbiji, Somalia n.k tuendelee kufanya kazi kwa style hii hii.
  8. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tamaa ya Pombe za bure inavyowaponza mabinti!

    Wewe binti Huna hela ya pombe, si utulie home? Kutwa kujichatisha WhatsApp na insta kwa waume za watu na kuomba hela ya Pombe, wengine tushachoka na stress za kwenye ndoa ukijichanganya sisi tunapiga tu Kama mwewe. Hakunaga habari ya kutulia na demu mmoja.
  9. NgimbaErick

    JamiiForums Tanzania Professional Wordpress Website Designing Service

    Hello, je umeanzisha Kampuni au Biashara mpya na unatamani kuwa na website itakayobeba kampuni au biashara yako? au unayo Kampuni au Biashara muda mrefu tu, lakini umekuwa ukitamani kuwa na Website ili kukuza unachofanya? Basi, naomba kusema kuwa nafasi ndio hii sasa, ya kubadilisha Biashara...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini waanza kupitishia mizigo yao yakiwemo magari katika bandari ya Dar es Salaam

    Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo. Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana...
  11. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA pikipiki TVS namba C inauzwa: Mbagala Dar es Salaam

    TVS cc 125 Full docs of ownership Haina tatizo lolote la kiufundi, engine haijawahi funguliwa. Bei: 1.5 milion Tshs Mbagala Dar Call 0744033555
  12. BVR 2015

    JamiiForums Tanzania Serikari yabaini mtandao wa watu wanaowaleta walemavu na kuja kuwatumikisha hapa Dar es salaam

    Serikali imegundua mtandao wa watu ambao uwakusanya walemavu nchini na kuja kuwatumikisha mjini Dar es salaam kwa ajili ya kujipatia kipato. Walemavu hao wapatao 25, wamegundulika wakiwa wamehifadhiwa katika gesti moja hapa Dar es salaam maeneo ya Tandare karibu na Manzese. Timu ya viongozi...
  13. Ivan Breaker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya part time, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza

    ...
  14. Travis 1

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza pata tablet nzuri kwa Dar es Salaam

    Wapi naweza kupata tablet nzuri kwa Budget ya laki nne?
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii Teknolojia ya kupata mwangaza bado inatumika hata kwenye majiji kama Dar es Salaam

    Wadau Wa Jamii Forum, Nimeamini Tanzania Ya Viwanda Inawezekana! Nimekuta wadau wakijaribu kupata mwanga kwa kutumia teknolojia ya Zamani kidogo! Wahenga mtuhabarishe
  16. FAJES

    JamiiForums Tanzania Watoa huduma shughuli za Usafi na Urembo wanahitajika Dar es Salaam, changamkia fursa sasa

    TANGAZO LA KAZI TAREHE 17, DISEMBA 2020. BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV. Huduma tunazozitoa ni hizi zifuatazo; USAFI Usafi wa nyumbani wa kila namna kama vile kusafisha ndani na...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi tembelea maeneo ya Dar es Salaam, kuna viwanja vingi havijaendelezwa

    Naongelea maeneo ya Goba, Bunju, Madale, Mabwepande, Kigamboni n.k Watu wameweka maeneo makubwa yamekuwa mapori. Wengi uwezo wa kujenga hawana sababu walishastaafu na kuuza hawataki. Wazee hawa wana street mipango mingi ila fedha hawana sasa maeneo yao yamebaki mazalia ya nyoka na kenge na...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Fundi Computer Dar es Salaam

    Nahitaji Fundi Computer wa Kushirikiana nae kazi,, kama wewe ni fundi computer na upo dar tafadhani njoo P.M tuyajenge.
  19. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Nani aliyetukosea; Je, aliyeshindwa kuapa au wale waliosaini mikataba iliyogharimu taifa letu. Je, ni Mzumbe University au Dar es Salaam University?

    NANI ALIYETUKOSEA,JE ALIYESHINDWA KUAPA AU WALE WALIOSAINI MIKATABA ILIYOGHARIMU TAIFA LETU,JE NI MZUMBE UNIVERSITY AU DAR ES SALAAM UNIVERSITY!? Leo 18:30hrs 11/12/2020 I really admire Mzumbe University,ina miaka 20 toka ilipobadilishwa Institute of Development Management (IDM Mzumbe) hadi...
  20. hp4510

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Namba za kuwasiliana na office za Pepsi dar es salaam

    Jamani hii ni wiki ya pili sasa najaribu kuwatafuta mawakala wa soda za Pepsi nashindwa kuwapata Naitaji soda cret Mia moja, Kila ninavyojaribu kupiga kwa namba zao ambazo ziko mitandaoni huwa zinaita tu bila kupokelewa Naomba msaa kwa yeyote ambae anajua naweza kuwapata vipi hawa jamaa na...
Back
Top Bottom