Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Hivi kuna baridi gani kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam hii hadi Dume zima kila mara tena likiwa limejikunyata Chumbani linamuomba Mkewe amchemshie Maji ya Moto akaoge?
Kuna Wanaume wengine ni Mayai Mayai ( Nyoro Nyoro ) hadi nikiwasikia wanafanya 'Upuuzi' huu wakiwa Makwao natamani 'niwaibukie'...
Nimeupenda huu utaratibu wa viongozi wakuu wa nchi kuongea na wazee hasa wa Dar es Salaam.
Ni vema wazee wa Dodoma nanyi mkachangamka maana ndio mko makao makuu, najua hapo yupo Malecela, Ndugai, Kimbisa, Mavunde nk...nk.
Hapa mzizima pamesheheni wazee na kesho bila shaka tutawaona akina Hemed...
Habari zenu ndugu wananchi,
Leo naomba kuwauliza swali wakaz wa Dar mliopo humu JF
Nimejiunga na ma group kadhaa yanaouza vitu used kutoka mikoa mbali mbali
Kuna jambo moja linanipa utata, pikipiki nyingi zinazowekwa mtandaoni kwa ajili ya biashara ni moya na bei yake ni ya chini sana
Nyingi...
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZ TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 161 WANAOJIHUSISHA NA WIZI WA VIFAA VYA MAGARI, PIKIPIKI NA UVUNJAJI.
Ndugu Wana habari, Mnamo tarehe 20.04.2021 na 24.04.2021 nilitoa taarifa kwa umma za...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Mlimani City na kuhusisha wazee takriban 900.
Hayo yameelezwa leo Alhamisi Mei 6, 2021 na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge...
Jamani Dar haipitiki barabara karibu zote zimechimbuliwa sijui upite wapi.
Mwananyamala, Kilwa Road, Kawawa Road Bagamoyo Road na nyingine nyingi halafu ziko polepole sana haziishi.
Hivi mainjinia wetu hawawezi maliza moja wakafata nyingine? Ona hiyo foleni ya Kawawa toka Keko mpaka Magomeni...
Je, unaikumbuka?
(Kwa waliozaliwa kuanzia enzi za utawala wa Mzee Mwinyi (Mzee wa Rukhsa si rahisi kukumbuka hili basi)
Ni lililokuwa basi dogo, ilikuwa ikifanya safari zake Dar Es Salaam - Morogoro.
Ni basi lililokuwa linaweza kufanya safari tatu kwa sita kwa siku moja Dar - Moro licha ya...
Japokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu.
Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu...
Mamlaka ya Hali ya Hewa ( TMA ) walikuwa very active kutupa updates za Kimbunga Jobo, ila nashangaa kuhusu hii Mvua kubwa na ya ghafla iliyoleta Baridi Jijini Dar es Salaam hawajatuambia na moaka sasa wameendelea Kuuchuna ( Kunyamaza ) tu.
Kwa Ubaridi huu ( Baridi hili ) la Sasa hapa Dar es...
Wakuuuu poleni na majukum.
Ndugu yenu nimekuwa kikazi mkoani yapata miaka mwaka mmoja leo nimelejea jijini dar es salaam .
Ndugu zangu kipindi cha nyuma nimekula bata viwanja vilivyokuwa vinapiga mziki mkubwa watoto classic wanakata uno kama sinza lacherz, 5N mliman city, samaki samaki...
Nawasalimu wote.
Mimi ni kijana mjasiriamali ninaetarajia kufanya biashara ya jumla ya vitu vya dukani(Arusha&Moshi) lakini ningependa kupata mawazo na ushauri namna ya kuagiza vitu hivyo kutokea Dar kuja mkoani.
Uzoefu wa biashara hii ningeupata kutoka kwenu ningeshukuru pia. Vitu...
Kwako Mkuu wa Mkoa, Kunenge ni masikitiko makubwa wewe kama Mkuu wa Mkoa umekaa kimya na najua unachokiona hapa kimekufikia.
Je, wewe Mkuu wa Mkoa nyumbani kwako unakaa karibu na dampo la takataka?
Je, watoto wako wanasomea shule na wanavuta harufu na takataka za dampo?
Mkuu wangu unajua na...
Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi.
Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam.
Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
Majirani mjitahadhari dhidi ya Kimbunga Kikali kinachokuja kubamiza Dar juma tatu ijayo. Kimbunga kitakuwa na upepo unaovuma at 100 kph
Rare tropical cyclone is approaching one of Africa's most populated cities
By Pedram Javaheri, CNN Meteorologist
Updated 7:51 PM EDT, Thu April 22, 2021...
DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL
Registration Numbers S. 2544 and DS/02/7/037
VACANCIES FOR THE SCHOOL YEAR 2021/22
We need ONE ASSISTANT ART TEACHER starting MAY 2021:
ALL TEACHERS APPLYING FOR POSITIONS AT DIS
Should have:
Experience of Cambridge Curriculum.
Evidence of students’...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.