Huyu amani kwa Kaka Voda milionea ndo nani? Huko Dar es Salaam

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Habari wadau na wana wa humu

Naomba kujua kidogo kuna huyu ndugu hapa Amani kwa kaka voda milionea huwa naona anatajwa sana na wasanii kuna nyimbo kama ya jay mo na langa walimtaja sana kwenye nyimbo zao

Kuna vitu naskia anafanya sijajua ni vitu ngani?

Wadau mnitoe mwanga.
 
Amani kwa kaka voda milionea mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea!
Amani kwako kaka voda milionea mwambie mdogo ako aache poda atumie mmea...
Inasemekana huyo Voda milionea alikua kaka wa kitaa wa washkaji Langa na Jaymo. Sasa baada ya tetesi Langa anakula unga ndo Jaymo akaandika huo mstari kwenye ngoma yake kumtaka Voda milionea amwambie Langa aachane na poda (unga) atumie mmea (bangi). Lkn Langa naye akamjibu Jaymo "heshima kwako kaka Voda milionea mwambie mdogo ako aache ushoga na umbea .
Huyo jamaa mwenye kuitwa Voda milionea kuna story alikua anafanya kazi shirika la Vodacom miaka ile matangazo ya Voda milionea yalikua mengi jamaa alikua anatupia sana tisheti za matangazo ya Voda milionea ndo wakampa hilo jina.
Sina hakika kama nimepatia, nakaribisha kukosolewa

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hata kama umedanganya, umefanya kwa staha
 
Mi niliskia jamaa alishinda lile shindano la voda milionea.....na nikasikia kuwa ni 'pusha' anasukuma......Ila Sina uhakika na hayo
 
Amani kwako kaka voda milionea mwambie mdogo ako aache poda atumie mmea...
Inasemekana huyo Voda milionea alikua kaka wa kitaa wa washkaji Langa na Jaymo. Sasa baada ya tetesi Langa anakula unga ndo Jaymo akaandika huo mstari kwenye ngoma yake kumtaka Voda milionea amwambie Langa aachane na poda (unga) atumie mmea (bangi). Lkn Langa naye akamjibu Jaymo "heshima kwako kaka Voda milionea mwambie mdogo ako aache ushoga na umbea .
Huyo jamaa mwenye kuitwa Voda milionea kuna story alikua anafanya kazi shirika la Vodacom miaka ile matangazo ya Voda milionea yalikua mengi jamaa alikua anatupia sana tisheti za matangazo ya Voda milionea ndo wakampa hilo jina.
Sina hakika kama nimepatia, nakaribisha kukosolewa

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Upo sahihi mkuu na hiyo story ilishaletwa humu jamvini
 
Back
Top Bottom