Nini chanzo cha Damu kuchafuka

Nini chanzo cha Damu kuchafuka

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,102
Reaction score
1,616
Nimetoka hospital muda si mrefu, nilikuwa na dalili kama za maleria. Baada ya kupima nimeambiwa nina mchafuko wa damu, nimemuuliza dakatari akasema "hutokea tu".

Nimemabatanisha dalili kwenye picha.
Screenshot_20260621_192540_com.instagram.android_edit_954821117347528.jpg
 
Huyo daktari ni wa mchongo, hakuna neno "mchafuko wa Damu".
 
Back
Top Bottom