damu

Damu is a god of vegetation and rebirth in Sumerian mythology.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Lazima kuna sababu za msingi sana kwa Msumbiji kuomba msaada wa kijeshi Rwanda kukabili waasi badala ya Tanzania ambao wana undugu nao wa damu

    Kuna wakati Tanzania ilijulikana kwa umahiri katika mapambano ya kivita, na jeshi letu JWTZ liliaminika sana katika uwanja wa mapambano. Hata waasi sehemu kama DRC walikuwa wakisema wazi, kwamba hawakuogopa kukabiliana na jeshi jingine lolote isipokuwa JWTZ ndio waliwaogopa sana. Tulijenga sifa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Serikali tupieni macho hospitali ya Machame inatoza shilingi 6000 wanaochangia damu

    Habari ndugu zangu. Kuna hii hospitali inayoitwa Machame hospitali, nimewahi kuwa na mgonjwa wangu pale siku chache zilizopita. Ilifikia wakati akahitajika kuongezewa damu. Tulijitokeza ndugu kadhaa kutaka kuchangia damu lakini tuliambiwa pamoja na kutaka kuchangia damu inatubidi tulipie...
  3. The Boss

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga ni Simba damu!

    Kwa tunaomjua Ezekiel Kamwaga ni Simba damu na ameshafanya kazi hadi za kujitolea pesa yake mifukoni enzi hizo hakuna cha Mo wala nani. Kashafanya kazi hadi ya kuwa Kaimu katibu Mkuu, watu wakiwa hakuna timu haina hela. Wengine watakaokuja kumuita msaliti huko baadae hata Dar hawaijui...
  4. My Son drink water

    JamiiForums Tanzania Mbowe acha mzaha na Damu za watu

    Nimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge. Unachotaka kufanya ni kutudharau sisi wanachama wote wa CHADEMA na wote waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Chama. Yaani Halima Mdee na wenzake eti wasamehewe na...
Back
Top Bottom