damu

Damu is a god of vegetation and rebirth in Sumerian mythology.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    Unamfanyaje Ndugu yako aliyekutapeli MILIONI 5 na sasa anakutukana, anakublock na kukutambia ?.

    Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee". Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine, Rafiki, Wazazi, wakafahamu umempa. Miezi na Mwaka unapita, hamna Pesa kurejeshwa. Baadaé...
  2. passioner255

    Mshahara wa umwagaji damu

    Hesabu 35:33. "Hivi hamtaitia najisi nchi ambayo mnakaa;kwakuwa damu huitia nchi unajisi;wala hapana sadaka itoshayo kwa ajili ya nchi;kwa ajili ya damu iliyomwagika ndani yake isipokuwa ni damu ya huyo aliyemwaga"...
  3. M

    !IMPORTANT, No sportwashing, Mkataba kati ya Manchester United kusafisha Damu ya Watanganyika mikononi mwa CCM

    Uzi wangu uliopita umefuta, ila lazima haki ipiganiwe Mnakumbuka hii picha kwenye hii ziara Matokeo yake ni kuwa Manchester United ilipewa tender ya karibu dola million 19 sawa na TZS billioni 50 kupromote vivutio vya Utalii Tanzania Hii ni summary ya huu mkataba Company: MANCHESTER UNITED...
  4. technically

    Samia jisafishe kwanza bado unanuka damu

    Narudia Tena hutoboi Jisafishe kwa damu ya October 29 Wafungwa wote wa kisiasa watakutesa Sana. Utekaji utakutesa sana Jioshe warudishwe waliopotea hata Kama Ni mafuvu yao. Mrudie Mungu wako tubu Ongea na moyo wako damu ni nzito kuliko maji
  5. passioner255

    Mungu amesikia vilio vya damu zilizomwagwa tarehe 29

    Kama ambavyo Abel alivyomlilia Mungu damu yake ilivyomwagwa na Cain, ndivyo hivyo damu za watanzania zaidi ya elfu 10 waliokuwa wanadai Tanzania bora vilimlilia Mungu. Kama ambavyo Mungu alivyosikia kilio cha Abel vivyo hivyo kwa watanzania. God'sJustice is inevitable and it is comming.
  6. MALCOM LUMUMBA

    Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

    UTANGULIZI Mwaka 2017 Raisi Duterte alianzisha vita kali dhidi ya Madawa ya Kulevya nchini Ufilipino. Aliaua maelfu wa watu aliodai ni watumiaji na wauzaji wa madawa. Alienda hadi mbele ya kadamnasi na kujisifu kwamba wakati ni Meya wa Davao alikuwa anatembea usiku na kupiga watu risasi...
  7. Msanii

    Mwigulu damu za watanzania mliowaua zinakulilia. Umeanza kuchangamka

    Kwa kauli hii, ni dalili karma imeanza kukutafuna. Soma hapo kwenye box. Mazombi kama kawaida wanaenda kuwateka huo ukoo
  8. Pascal Mayalla

    Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.

    Wanabodi, Huu ni muendelezo wa ushauri wangu kwa serikali yetu, anzia hapa Ushauri kwa Serikali: Tangazeni hata idadi ya uongo ya waliofariki. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD Ili kuisafisha nchi yetu Tanzania Kimataifa, dhidi ya kadhia ya kile kilichotokea kwenye yale...
  9. Bawabu wa pili

    Je wajua kuwa Pweza wana mioyo mitatu, bongo tisa na damu ya rangi ya bluu?

    Ukweli ambao watu wengi hawaujui kuhusu Pweza ni kwamba ni kiumbe pekee cha majini chenye mioyo mitatu. Mioyo miwili husukuma damu kwenda kwenye mapafu ya baharini (gills), na moyo mmoja husukuma damu kwenda sehemu nyingine za mwili. Damu yake ina rangi ya bluu kwa sababu hutumia madini ya shaba...
  10. M

    Waafrika nimewakatia tamaa kwenye uongozi na maendeleo ya umma, Bado tuna damu za kutawala kichifu

    Muafrika ni mwanaharakati mzuri sana anapokuwa chini lakini akishapewa mamlaka ghafla mizimu ya kichofu humpanda. Mara ya mwisho kuona kunweza kuwa na matumaini ni kwa Raisi wa Zambia Hichilema nikasema hapa kuna matumaini ila kwa yanayoendelea nae kaanza kusulubu wanaompnga, Hapa kwetu siwezi...
  11. R

    PostGE2025 Ukiwa na mikono yenye damu, meza ya maridhiano inakukataa automatically

    Salaam! Asomaye na afahamu, 1. Mfalme Daudi alipenda sana kumjengea hekalu Mungu Ili Sanduku la AGANO lipate pa kukaa, akasahau kuangalia mikono yake ilivyojaa damu, ombi lake likakataliwa, mwanae Mfalme Suleimanmwenye mikono safi ndiye akaja kupata ridhaa kujenga hekalu. 2. Hitler, Idd Amin...
  12. G

    Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  13. Mshana Jr

    November ya damu iende salama ila hatutaisahau

    Huu mwezi unaoisha leo umeingia kwenye historia ya umwagaji mkubwa wa damu zisizo na hatia Tanganyika... Kuna siku utakuja kutengenezewa sinema na documentaries Kuna mengi mabovu na ya kutisha na kuogofya sana yaliyotokea November bado hayajawekwa wazi.. Naamini siku si nyingi yatafunuliwa na...
  14. KEKO JUU

    Damu za watanganyika Haziwezi kumwagwa bure hivi: Je, Samuya Atakwenda The Hague?

    Hakuna mtu aliyetarajia hivi. Mwaka 2021 tulipompokea Samuya tulidhani tumepata Mama , aliyeahidi kufungua nafasi ya kisiasa. Leo, miaka minne tu baadaye, vijana wetu wengi wamepotezwa hawaonekani tena.Video za mochwari za Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na Mbeya ndo zinazidi kutia simanzi kubwa...
  15. Abraham Lincolnn

    PostGE2025 Unatumia Mabavu na Kumwaga Damu za Watanzania Wanaodai Haki Kisha Baada ya Kujipatia Madaraka Kwa Damu unarudi kusema Amani Itawale, Ya nini?

    Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha kujitwalia Madaraka kimabavu ikibidi hata kwa kumwaga damu, na ndicho kilichotokea. Baada ya mauaji...
  16. Ngwathra

    Hii damu waliyomwaga ni signature ya ukombozi wa nchi

    Imekwenda ardhini haitapotea kamwe, itaendelea kuwala hadi iwamalize kaanza mama yao, leo kaja madera anakula za uso na maboko yake! Itaendelea kutambaa kama mafuta ya taa na kula kila kichwa kilichohusika na uharamia ndani ya nchi hii, ni suala la muda tu. Sikutegemea itakuwa haraka namna...
  17. M

    Kama watawala walijua wanaua mbegu ya ukombozi na kuizika basi ndiyo inachipua kwa kasi

    Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana. Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
  18. tonicimmobility

    PostGE2025 Naona damu ya Polepole imeanza kuwalilia, na itawatesa sana hamtakaa mpate raha

    Mambo yameanza kuchangamka! Damu ya Polepole imeanza kuwalilia, sasa hivihivi mnajing'ata ndimi mnajikuta mnalitaja jina lake. Wakati ukifika mtatueleza tu mlimuweka wapi Polepole na mlifanya nini na mtajibia hiyo hukumu
  19. REJESHO HURU

    Machozi jasho na damu by prof Jay

    Ukisikiliza mashairi ya wimbo huu ulioimbwa miaka 24 iliyopita utasema kauandika jana maana aliyotasema yote ndio yanatokea sasa nawaza kipindi kile prof Jay hakuitwa mhaini na wimbo ulipigwa bila shida je ingekuwa leo hii ingekuwaje Ebu pitia you tube usikilize
  20. A

    Revolution za hatari zilizowahi kutokea duniani na faida zake

    1. French Revolution (1789–1799) – Ufaransa Faida zake: Iliangusha utawala wa kifalme wa kidikteta.Ilileta haki za kiraia, uhuru wa watu, na misingi ya demokrasia.Ilianza mfumo wa serikali ya wananchi (Republic). Vifo: Zaidi ya 300,000 (makadirio), ikijumuisha “Reign of Terror”. 2...
Back
Top Bottom