Taa nyekundu kwa ordinary share holder wa CRDB

Taa nyekundu kwa ordinary share holder wa CRDB

Alex_CPA

Member
Joined
Jul 3, 2025
Posts
24
Reaction score
24
IMG_20260803_145140.jpg
 
Acha kuwaogopesha watu. Hisa kupanda na kushuka ni kawaida………Au wewe speculator unawachanganya watu wa panic then uokote dodo😂😂😂.
 
Acha kuwaogopesha watu. Hisa kupanda na kushuka ni kawaida………Au wewe speculator unawachanganya watu wa panic then uokote dodo😂😂😂
Mimi sio speculator ila Maamuzi wanafanya wao au ni mimi? Kuna watu niliwaambia kuhusu mwalimu commercial bank bei ilipo kua 2100 wakasema nawaonea wivu haya sasa wanalia huko.
 
Back
Top Bottom