KERO KERO: CRDB BANK na makato hewa HEWA

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
909
Reaction score
2,485
Guys guys guys, hawa CRDB hawako serious ni wezi aisee.
Nina akaunti nao lakini sina kadi, baada ya kadi yangu kuisha muda siku renewe coz mda mwingi nafanya transfers pekee. Sio mtu wa kwenda ATM.
Cha ajabu kila mwezi wanakata makato ya kadi kutoka kwenye akaunti yangu.

Sielewi kwa kweli maana nachojua kadi ni service unailipia kama unaitumia.

Huu ni utapeli aisee.
Nakumbuka wakati nipo chuo boom nilikuwa napokelea NMB ila watu wa CRDB walikuwa wanapata hela pungufu na tunayopata sisi wa NMB.

Jamaa yangu alipofatilia CRDB akaambiwa kuna makato ambayo hata chuo hawakuyatambua. Na alipoomba report wamendika kabisa pale makato ya upuuzi 17000. Hii bank kuna kitu hakipo sawa.
 
Makato ni KERO kila sehemu ,si CRDB peke yake.
 
Kunasiku nilikua gambe....... nikamwambia wife kwamba nikija kukuta amefungua account sii ara dii bii tunavunja ndoa...🤥
Yeye alijua natania lakini mimi nilikua namaanisha...🫤
 
Mie naishi kizaramo, hela zangu naweka kwenye mchago, kila mara nazichungulia kama zipo.. akaunti pekee nilizo nazo ni mitandao ya simu na huko sihifadhi.., zinapita tu.. ikiwa pesa nyingi itapitia kwenye akaunti ya benki ya mke wangu ama ya mama yangu,
😂🤣🤣
 
Guys guys guys, hawa CRDB hawako serious ni wezi aisee.
Nina akaunti nao lakini sina kadi, baada ya kadi yangu kuisha muda siku renewe coz mda mwingi nafanya transfers pekee. Sio mtu wa kwenda ATM.
Cha ajabu kila mwezi wanakata makato ya kadi kutoka kwenye akaunti yangu.

Sielewi kwa kweli maana nachojua kadi ni service unailipia kama unaitumia.

Huu ni utapeli aisee.
Nakumbuka wakati nipo chuo boom nilikuwa napokelea NMB ila watu wa CRDB walikuwa wanapata hela pungufu na tunayopata sisi wa NMB.

Jamaa yangu alipofatilia CRDB akaambiwa kuna makato ambayo hata chuo hawakuyatambua. Na alipoomba report wamendika kabisa pale makato ya upuuzi 17000. Hii bank kuna kitu hakipo sawa.
CRDB ni wakuwahama mara Moja mapato Yao ni zaidi ya 50k kwa mwezi
 
Back
Top Bottom