Azam wasiponyakua Kombe la CRDB basi ni Wafu

Azam wasiponyakua Kombe la CRDB basi ni Wafu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,030
Reaction score
25,015
Kati ya Timu nne zitakazoiwakilisha Tanzania kwenye mechi za CAF ni Azamu tu ndiyo hadi sasa hivi haina tuzo yoyote. Angalia

(1) YANGA: Community Shield, Mapinduzi, na NBC Premier
(2) SIMBA: Muungano
(3) AZAM: .................
(4) SINGIDA BS: CECAFA

Itapendeza sana iwapo Azam nayo angalau itakuwa na kombe la CRDB kusudi ijulikane kabisa kuwa kkila timu yetu inayotuwaklisha huko CAF ina kitu kabatini
 
Back
Top Bottom