#COVID19 President Uhuru Kenyatta orders new lockdown to battle COVID-19 infections wave

Mac Bully 001

JF-Expert Member
Jun 26, 2012
6,538
13,000
Hii ishakua taabu. Phase 3 ya covid-19 imezua mtata sasa baada ya Rais Kenyatta kuagiza kufungwa(Partial Lockdown) kwa miji/mikoa hii;Nairobi,Machakos, Nakuru, Kajiado na Kiambu, kutokana na ongezeko la maambukizi haya tata.

Sehemu za kuabudu, shule(isipokuwa wale wanaofanya mtihani wa mwisho na medical students), Hotels & Restaurants (take aways only allowed) zimefungwa till further notice from the president's office.

Lockdown itaanza leo usiku kuanzia 8pm-4pm kwa maeneo hayo tajwa. Harusi pia, minimum attendance ni watu 30 pekee.

Tumesisitizwa tujikinge vile ipasavyo kwa kuvaa barakoa vizuri, kunawa mikono kwa sabuni na utumizi wa sanitizer zinazofaa.

Stay safe my fellow comrades, God bless the Republic of Kenya and the whole world.
✌️

--
President Uhuru Kenyatta announces new Covid-19 measures :

1. Cessation of movement by road, rail and air in and out of the counties of Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu and Nakuru till further notice.

2. No in-person meetings of any kind in the counties of Nairobi, Machakos, Kajiado, Kiambu and Nakuru till further notice.

3. Parliament asked to go on recess as well as the regional Houses mentioned above.

4. Curfew to begin at 8pm and end at 4am in the counties of Nairobi, Nakuru, Machakos, Kiambu and Kajiado.

Other counties curfew will go on as currently is, being from 10pm to 4am.

5. Government vacates all curfew passes until a review by the Ministry of Interior is done.

6. In-person worship in Nairobi, Nakuru, Machakos, Kiambu, and Kajiado till further notice.
Other counties to be allowed in person religious engagements but to adhere to the one third rule of capacity of religious institutions.

7. Bars are suspended from operating in Nairobi, Nakuru, Machakos, Kiambu and Kajiado. Restaurants and eateries in the said counties shall provide takeaway services only and are banned from selling alcohol.

8. Schools, including universities closed. No further in-person learning.

9. All employees of private and government bodies are directed to have employees working from home until further notice, except those where services cannot be provided remotely.

10. All hospitals asked to limit number of visitors to patients to just one per patient.

11. All permitted gatherings to have not more than 50 people. Funerals to be conducted within 72 hours of confirmation of death with just a total of 50 people.
Marriage other similar events to have a total of 30 people.

12. Those above 58 to be vaccinated in first phase.

============

President Uhuru Kenyatta has banned movement into and out of Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu and Nakuru Counties following a spike in the number of COVID-19 infections in the five regions.

The cessation of movement into and out of the five counties takes effect on Saturday, March 27, 2021 until further notice.

Addressing the Nation on the COVID-19 situation in the country, President Kenyatta said Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu and Nakuru have been declared disease infected areas, noting that they account for 70 percent of the country’s total infections.

“Fully conscious that 70% of Kenya’s COVID-19 cases have been recorded in the counties of Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu and Nakuru, these counties are individually and collectively declared a disease infected area. There shall be a cessation of all movement by road, rail or air into and out of the disease infected area comprising of the counties of Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu and Nakuru effective midnight tonight until otherwise notified,” said the Head of State.

President Uhuru Kenyatta: Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu & Nakuru counties are individually and collectively declared a disease infected area. There shall be a cessation of movement by road, rail, air in to & out of these areas effective midnight

Bar operations and sale of alcohol in restaurants has also been suspended in the five counties until further notice.

The President also reviewed the curfew hours in the five counties, announcing that it shall begin from 8pm and end at 4am in Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu and Nakuru effective Saturday, March 27.

In the other 42 counties curfew hours shall remain as is currently in place; 10pm to 4am.

President Kenyatta directed the Ministry of Interior to review the current protocols for reissuance of curfew passes and exemptions.

“In light of the abuse of curfew passes and exemptions and its role in the steep increase in infections, The Ministry of Interior and Co-ordination of National Government jointly with the Ministry of Health are directed to immediately review the protocols for reissuance of curfew passes and exemptions. In that regard, in the intervening period all passes issued are hereby vacated,” he said.

President Uhuru Kenyatta: Nationwide curfew to commence at 8pm and end at 4am in the zoned areas of Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu & Nakuru and 10 pm to 4am in the rest of the country effective midnight pic.twitter.com/PhZK7a4K6U

All public gatherings and in-person meetings of whatever nature have also been suspended within the Counties of Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu and Nakuru until further notice.

Source: Uhuru bans movement in and out of Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu and Nakuru; reviews curfew hours - Citizentv.co.ke
 
Hivi hadi sasa hivi hakuna mtu hata mmoja duniani ambaye ameibuka na charter, strategy, memorandum au jambo lolote lile? Ambalo litashirikisha mataifa yote duniani kuhakikisha kwamba China watalipa, kufidia au kuwekewa vikwazo vya aina yeyoye ile? Kama 'response' ya kimataifa dhidi yao kwa kuisababishia dunia usumbufu, dhiki, majonzi na hasara chungu nzima kupitia hii Kung-Flu virus yao?

Maanake kila mtu anajua kwamba huu ni mwanzo tu na kirusi hiki hakitakuwa cha mwisho. Inamaana kwamba duniani tunaishi mambumbumbu tu ambao hawana ubunifu wowote wala ujasiri? Nimekuwa nikiwaza kuhusu suala hili kwa muda na ninayo draft ambayo nimekuwa nikiiandaa kwa wiki mbili sasa.

UN wajiandae kusoma azimio langu kwenye kikao chao kijao. Haingii akilini kwamba Mjerumani alilipia vita vya pili vya dunia ambavyo vilisababishwa na mwendawazimu wao mmoja. Alafu eti janga hili la COVID-19 ndio tutalisahau tu bila kumlaumu wala kumnyoosha mchina ambaye kwa usiri na ukanjanja wake aliamua tufe wote pamoja.
 
Hivi hadi sasa hivi hakuna hata mtu mmoja duniani ambaye ameibuka na charter, strategy, memorandum au jambo lolote lile? Ambalo litashirikisha mataifa yote duniani kuhakikisha kwamba China watalipa, kufidia au kuwekewa vikwazo vya aina yeyoye ile? Kama 'response' ya kimataifa dhidi yao kwa kuisababishia dunia usumbufu, dhiki, majonzi na hasara chungu nzima kupitia hii Kung-Flu virus yao?

I have been thinking of the same ...China needs to be held responsible.
 
Hata nashangaa vipi wanamwachilia tu free, yaani alivyomjanja anatengeneza vaccine yake na anaisambaza Afrika kwa bei chee ndio hata hamtazingua kitu kwa mataifa ya uchumi wa chini. Inapaswa Uchina ichukuliwe hatua na kulazimishwa kufidia, bila hivyo atakuja zusha kirusi kingine baadaye
 
Ata nashangaa vipi wanamwachilia tu free, yaani alivyomjanja anatengeneza vaccine yake na anaisambaza Afrika kwa bei che ndio hata hamtazingua kitu kwa mataifa ya uchumi wa chini. Inapaswa Uchina ichukuliwe hatua na kulazimishwa kufidia, bila hivyo atakuja zusha kirusi kingine baadaye
Wewe fikiria Ebola, kirusi ambacho ni hatari zaidi ya COVID, kisambae kwa kasi kutoka DRC ambao hawana mifumo dhabiti kama China na nchi zingine '1st World'. Kisha kifike kwenye nchi hizo na kisababishe maafa na hasara kama janga hili. Hapa Afrika kutakalika kweli? Si wanaweza wakawavamia hadi wengine ukanda huu kwa kisingizio kwamba ni marafiki wa Kinshasa?

Jambo ambalo ni la kujiliwaza nalo na ambalo ni baraka kiana ni kwamba janga hili halijawaathiri waafrika kama walivotabiri au kama lilovowaathiri wao. Ila sio kisingizio cha kutoibua hoja kama hii na bara hili linafaa liwe kwenye mstari wa mbele. Maanake ukizingatia kwamba nchi za Afrika bado hazijakomaa kiuchumi, athari za janga hili zitabaki kuwa donda sugu kwa bara hili kwa muda mrefu ujao.

Mwisho wa siku 'responsibility' ya hasara kama ya janga hili na mengine mengi ambayo huwa yanaiathiri zaidi bara la Afrika(kwa mfano 'climate change'), huwa ipo kwa nchi kama China na wenzake.
 
Na nafikiri hata boda kakausha kwa ajiri ya msiba waingereza wamemkalia kooni na tamko lao tujiandae na boda kufungwa
 
Wewe fikiria Ebola, kirusi ambacho ni hatari zaidi ya COVID, kisambae kwa kasi kutoka DRC ambao hawana mifumo dhabiti kama China na nchi zingine '1st World'. Kisha kifike kwenye nchi hizo na kisababishe maafa na hasara kama janga hili. Hapa Afrika kutakalika kweli? Si wanaweza wakawavamia hadi wengine ukanda huu kwa kisingizio kwamba ni marafiki wa Kinshasa?

Jambo ambalo ni la kujiliwaza nalo na ambalo ni baraka kiana ni kwamba janga hili halijawaathiri waafrika kama walivotabiri. Ila sio kisingizio cha kutoibua hoja kama hii na bara hili linafaa liwe kwenye mstari wa mbele.Maanake ukizingatia kwamba nchi za Afrika bado hazijakomaa kiuchumi, athari za janga hili zitabaki kuwa donda sugu kwa bara hili kwa muda mrefu ujao.

Mwisho wa siku 'responsibility' ya hasara kama ya janga hili na mengine mengi ambayo huwa yanayaathiri zaidi bara la Afrika(kwa mfano 'climate change'), huwa ipo kwa nchi kama China na wenzake.
Tushkuru sana hali ya bara letu haijakuwa kama ya bara ulaya na Asia sababu hata economy yenyewe ndio hiyo balaa, kazi shida, matibabu shida yaani Mungu katuonekania sana bara la Afrika, alijua hatuwezi kujitetea na hali hii pindi likiingia kwa kasi ya 5G
 
Hivi hadi sasa hivi hakuna mtu hata mmoja duniani ambaye ameibuka na charter, strategy, memorandum au jambo lolote lile? Ambalo litashirikisha mataifa yote duniani kuhakikisha kwamba China watalipa, kufidia au kuwekewa vikwazo vya aina yeyoye ile? Kama 'response' ya kimataifa dhidi yao kwa kuisababishia dunia usumbufu, dhiki, majonzi na hasara chungu nzima kupitia hii Kung-Flu virus yao?

Maanake kila mtu anajua kwamba huu ni mwanzo tu na kirusi hiki hakitakuwa cha mwisho. Inamaana kwamba duniani tunaishi mambumbumbu tu ambao hawana ubunifu wowote wala ujasiri? Nimekuwa nikiwaza kuhusu suala hili kwa muda na ninayo draft ambayo nimekuwa nikiiandaa kwa wiki mbili sasa.

UN wajiandae kusoma azimio langu kwenye kikao chao kijao. Haingii akilini kwamba Mjerumani alilipia vita vya pili vya dunia ambavyo vilisababishwa na mwendawazimu wao mmoja. Alafu eti janga hili la COVID-19 ndio tutalisahau tu bila kumlaumu wala kumnyoosha mchina ambaye kwa usiri na ukanjanja wake aliamua tufe wote pamoja.
Mkuu ulimwengu huu ni hadaa.....the way u navyoona vitu si kama vilivyo....
 
Shida ni kuwa kwanini corona inaanza kupamba moto kipindi karibu na matukio matakatifu ya kidini...??? Chrismas shida, pasaka shida, Ramadan shida... muwe makini na kile mchaguacho. Nendeni kanisani na misikitini mkamwombe mola wenu na atawasikia na kuliponya Taifa.
 
Na bado, kuna phase 4, 5, 6 hadi watu wote mtafungiwa ndani, mdogo mdogo mnazoeshwa hali.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom