#COVID19 Nimepata chanjo ya COVID-19

Nov 13, 2018
72
125
Kwema wadau,

Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.

Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)

Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.

Johson & Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.

Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki-card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries.
 

mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
6,722
2,000
Watanzania wajuaji sana kumbe kichwani hamnazo.
Chanjo zingine ok.
Imefika hatua ya chanjo ya corona wameanza mara eeeh mzungu anataka kutuua
Chanjo ina faida gani kama anayechanjwa bado yupo hatarini kuambukizwa corona?

Mbaya zaidi ni majaribio

Hilo ni tatizo kubwa sana.

Mimi ni baharia tena nipo ughaibuni, kampuni imeaniambia nichaguwe kuchanjwa au kurudishwa nyumbani.

Nimewaambiya wanipe muda nafikiria.

Chanjo sio jambo rahisi kama unavyofikiria

Especially chanjo ambayo haina uhakika.

Unaweza ukawa unfit milele.
 

Ramo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
1,632
2,000
Mkuu chanjwa tu ili watoto wapate chochote kitu maana hata ukikataa mbeleni huko hutaweza kupata huduma yoyote bila chanjo..na itakulazimu tu kuchanjwa yaani.. SHETANI YUPO KAZINI...
Chanjo ina faida gani kama anayechanjwa bado yupo hatarini kuambukizwa corona?

Mbaya zaidi ni majaribio,,
Hilo ni tatizo kubwa sana.

Mimi ni baharia tena nipo ughaibuni,
,,kampuni imeaniambia nichaguwe kuchanjwa au kurudishwa nyumbani.

Nimewaambiya wanipe muda nafikiria.

Chanjo sio jambo rahisi kama unavyofikiria,,
Especially chanjo ambayo haina uhakika.
Unaweza ukawa unfit milele.
 

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,428
2,000
Kwema wadau,

Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya covid-19.

Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua johnson and johnson(sina uhakika na spellings)

Kwanini Johnson and Johson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana, ivyo ukichukua izo haina nyingine za chanjo lazima uchomwe mara 2 kumaliza dozi. Unachomwa alafu unasubri wiki 2 or 3 ukachomwe tena kumaliza dozi.

Johson and Johson unachomwa mara moja tu umemaliza, ila efficient yake n 66% wakati nyingine ni mpaka 90%.

Lengo kuu la mimi kupata hii chanjo, kwanza ni kupata kile ki card ili niwe huru kusafiri, tunapoelekea vitahitajika ukiwa una cross boundaries
 

mohame kholani

Senior Member
Jan 1, 2018
119
225
mkuu hiyo chanjo umeenda kuchomwa wapi hapa tanzania?
Gharama yake ipoje?
na je nikisha chomwa hiyo sindano naweza safiri safari ngapi?
 

mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
6,722
2,000
Mkuu chanjwa tu ili watoto wapate chochote kitu maana hata ukikataa mbeleni huko hutaweza kupata huduma yoyote bila chanjo..na itakulazimu tu kuchanjwa yaani.. SHETANI YUPO KAZINI...
Mkuu kila mtu anasema lake kuhusu chanjo.
Ni kweli nikikataa naweza ikawa ndy ticket ya kurudi nyumbani na watoto watakosa ugali.

Lakini vipi nikichanja na kuwa un fit milele ?
Hapo kuna kupata hata mkate kweli?

Mbaya zaidi nasikia hata dushe linalala milele ,maana yake vyombo havipigi mziki milele.

Ngoma bado ngumu mkuu...
 

copernicucci98

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
875
1,000
Chanjo ina faida gani kama anayechanjwa bado yupo hatarini kuambukizwa corona?

Mbaya zaidi ni majaribio

Hilo ni tatizo kubwa sana.

Mimi ni baharia tena nipo ughaibuni, kampuni imeaniambia nichaguwe kuchanjwa au kurudishwa nyumbani.

Nimewaambiya wanipe muda nafikiria.

Chanjo sio jambo rahisi kama unavyofikiria

Especially chanjo ambayo haina uhakika.

Unaweza ukawa unfit milele.
Nimesoma paragraph yako ya kwanza tu.. Nimejua wewe ni layman kwenye eneo hilo..
Sijaendelea na story yako.

Unajua kwanini watu wanapata kifua kikuu wakati walishachomwa chanjo??

Au labda, unajua faida kuu ya chanjo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom