covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    Ikulu, Dodoma: IMF kusaidia Tanzania kupata fedha kukabiliana na athari za COVID-19

    IKULU, DODOMA: Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) Abebe Selassie amesema Shirika hilo litasaidia Tanzania kupata fedha kwa ajili ya kuimairisha sekta zilizoathiriwa na COVID19 ikiwemo Afya, Utalii na Maji Ameeleza hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais...
  2. Analogia Malenga

    Kuchanganya chanjo za COVID-19 kunaongeza ufanisi

    Njia ya kuchanganya chanjo za Covid -19 kwa kutumia chapa mbalimbali za chanjo ya Covid kwa dozi ya kwanza na ya pili - inatoa kinga nzuri dhidi ya virusi vya janga hilo, utafiti wa Uingereza umebaini. Majaribio yalitazama ufanisi wa dozi mbili za Pfizer, AstraZeneca na Mchanganyiko wote...
  3. beth

    Zambia yafunga baa na casino kupunguza kasi ya maambukizi ya COVID-19

    Zambia ambayo inakabiliwa na wimbi la tatu la Virusi vya Corona imesema maeneo ya starehe ikiwemo baa na casino zitafungwa kwa siku 14, ili kupunguza kasi ya maambukizi ya Ugonjwa huo. Wiki iliyopita, Shule zilifungwa kwa siku 21 ili kuruhusu Tawala kuchukua tahadhari za kuhakikisha usalama...
  4. chase amante

    Siku 100 za Rais Samia na janga la Covid-19

    Habarini za asubuhi wanaJF. Namshukuru mungu kwa kutupa uzima kuiona siku ya leo. Siku miamoja za rais Samia amejitahidi kuonesha mwanga zaidi, kuhusu namna ya kupambana na ugonjwa wa corona. Nikiri wazi kua, Tanzania tuna bahati ya kupata viongozi wazuri, wenye maono na wanaoendana na Nyakati...
  5. beth

    Japan: Tokyo yahofia uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la mlipuko wa COVID-19

    Ongezeko la maambukizi #Tokyo limesababisha hofu ya uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la Virusi vya Corona, ikiwa ni takriban mwezi mmoja kabla ya michezo ya Olimpiki. Ishara kuwa visa vimeongezeka zilionekana siku chache baada ya Serikali kuondoa hali ya hatari Tokyo na Mikoa mingine 9, licha...
  6. beth

    COVID-19: Afrika Kusini yapiga marufuku mikusanyiko na mauzo ya pombe kutokana na mwenendo wa mlipuko

    Afrika Kusini imetangaza masharti mapya yanayolenga kudhibiti ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo mikusanyiko yote ya ndani na nje itapigwa marufuku kwa siku 14 Aidha, Rais Cyril Ramaphosa amesema katika siku hizo mauzo ya pombe na safari kuelekea au kutoka maeneo yaliyoathiriwa...
  7. Shujaa Mwendazake

    Zanzibar inasubiri idhini ya Samia kuagiza chanjo ya COVID-19

    Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui alisema afya sio jambo la muungano ila kwa suala la chanjo inabidi wafanye kazi kama #jamhuri kwa kuwa mashirika ya kimataifa yanatambua #Tanzania Bara na #Zanzibar kama nchi moja, kwa hivyo hawawezi kupata chanjo kwa kutengwa. My Take: Bado naona...
  8. Shujaa Mwendazake

    Rais Samia: Tanzania tuna wagonjwa wa Wimbi la Tatu la Corona

    “Tanzania tuna wagonjwa wa wimbi la Tatu la Corona. Hili jambo bado lipo, tuchukue hadhari zote na tunawaomba viongozi wa dini mseme hili kwa sauti kubwa" Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza na baraza la maaskofu katoliki (TEC) #Tanzania #COVID19 ========= Rais Samia Suluhu...
  9. Analogia Malenga

    Tafiti: COVID-19 ilisambaa miezi miwili kabla ya kutangazwa rasmi

    Tafiti mpya imeonesha kuwa Virusi vya Corona vilisambaa miezi miwili kabla ya kugundua maambukizi ya kwanza ambayo yaliripotiwa Wuhan. Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Kenti cha Uingereza wameonesha kuwa maambukizi yalianza Novemba 17, 2019 ambapo Januari 2020 yalisambaa duniani. China iliripoti...
  10. N'yadikwa

    Idadi ya Watu baada ya COVID-19 itapungua?

    Ukifuatilia mwenendo wa ukuaji wa idadi ya watu duniani kwenye tovuti ya Worldometer World Population Clock: 7.9 Billion People (2021) - Worldometer utagundua kwamba idadi ya watu katika karne za nyuma kuanzia Karne ya 19 ilisalia bila kuongezeka hadi karne ya Ishirini Idadi ya Watu ilipoanza...
  11. Tajiri wa kinyankole

    Ugonjwa wa COVID-19 unaonekana nchi za Afrika kuwa wakutisha kuliko Nchi za Magharibi

    Wadau kama niwafatiliaji wa michuano ya mpira uefa euro 2020 inayoendelea utaona kwamba wenzetu janga hili haliwagusi watu wamejazana uwanjani na hawana barakoa kulikoni sisi huku Afrika. Nini kinaendelea nyuma ya pazia kuhusiana na janga hili la corona? Sisi kama watanzania hili swala...
  12. Analogia Malenga

    COVID-19 yapelekea Bunge la Uganda kufungwa kwa wiki mbili

    Wabunge na wahudumu wa bunge waliopatikana na corona wameshauriwa kujitengaImage caption: Wabunge na wahudumu wa bunge waliopatikana na corona wameshauriwa kujitenga Taarifa iliyotolewa na Bunge inasemabunge hilo litafungwa kuanzia wiki ijayo tarehe 28 Juni , Jumapili hadi tarehe 11 Julai ili...
  13. 2019

    Kutahadharisha kuhusu wimbi la tatu la Covid-19 bila kuchukua hatua stahiki ni kumpigia mbuzi gitaa

    Kwa sasa wizara, mahospitali TVs na radio kelele ni kujikinga au kuchukua tahadhari za wimbi la tatu la Covid-19. Lakini tahadhari hizi sioni kama zina maana yeyote kwa mwananchi sababu watu wanaendelea na maisha kama kawaida inasaidia nini? Hutoi takwimu ili watu wajue kuwa mdudu kashaingia...
  14. Analogia Malenga

    Cuba yasema chanjo yake ya COVID-19 inayoitwa Abdala ina ufanisi wa 92.28%

    Mamlaka za Cuba zimesema majaribio ya Chanjo ya COVID-19 iitwayo Abdala yameonesha kuwa na ufanisi wa 92.28% Chanjo ya Abdala inakamilika baada ya mtu kupata jumla ya dozi tatu. Takriban Raia Milioni moja Nchini Cuba wameshapata Chanjo ====== Cuba said on Monday that its three-shot Abdala...
  15. Kafrican

    Covid-19 Africa: Takwimu za pamoja za mataifa yote yanavyoendelea kufikia sasa

    Hizi ni Takwimu za bara Africa kufikia jana/leo Source: https://www.worldometers.info/coronavirus/ Nimejaribu ku highlight nchi za Mashariki mwa Africa Hapa ni ranking ya cumulative cases za ujumla, Tangu corona ianze Hapa ni Active cases, Yani ukiondoa wale waliopona, ni wangapi ndo...
  16. beth

    Mamlaka Nchini Zambia zahofia ongezeko la vifo vya COVID-19

    Mamlaka za Afya Nchini Zambia zimeeleza wasiwasi wake juu ya ongezeko la vifo vitokanavyo na Virusi vya Corona wakati huu ambapo Taifa hilo linapambana na wimbi la Tatu la Maambukizi Waziri wa Afya, Dkt. Kennedy Malama amesema vifo 407 vimeripotiwa ndani ya wiki tatu za wimbi hilo. Jumla ya...
  17. stakehigh

    Dar records 8-year high coffee exports thanks to COVID-19

    Magufuli aliliona hili mapema ======== Dar records 8-year high coffee exports thanks to COVID-19 Tanzania has recorded an eight-year high coffee export this season thanks to lockdown which spiked coffee drinking rates due to the Covid-19 pandemic. The export in the 2020/21 season was...
  18. beth

    Rais wa Ufilipino atishia kuwafunga wananchi wanaokataa chanjo ya COVID-19

    Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino ametishia kuwafunga jela watu watakaokataa kupata Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 wakati Taifa hilo likipambana na mlipuko mbaya zaidi Barani Asia Kufuatia Ripoti za idadi ndogo ya wanaojitokeza katika Vituo mbalimbali vya Chanjo Jijini Manila, Rais amesema...
  19. L

    Chanjo ya COVID-19 kwa wafanyakazi wa Mashirika ya Kimataifa yaliyoko nchini iratibiwa na nani?

    Baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hasani kuruhusu chanjo ya COVID-19 nchini baada ya kushauriwa na watalaamu wetu, na kwamba mashirika ya kimataifa yalioko hapa nchini yanaruhusiwa kufanya chanjo hiyo kwa wafanyakazi wake. Sasa kitu ambacho sijakielewa/Sikifahamuni kuwa je ni hospitali gani...
  20. Analogia Malenga

    Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) waitaka serikali itoe takwimu za Covid-19

    Baada ya Wizara ya Afya kutoa tahadhari ya kuwepo kwa viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid 19, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Dk Shedrack Mwaibambe ameshauri Serikali kuweka wazi hali ya ugonjwa huo nchini. Akizungumza na Mwananchi jana Jumapili Juni 20, 2021 Dk Mwaibambe...
Back
Top Bottom