#COVID19 Nimepona corona baada ya kuugua 14 days

Soweto2006

Member
May 8, 2021
45
208
Leo kwa mara ya kwanza nahisi naishi duniani baada ya recovering ya corona.

Nimeugua sana kwa week mbili, ombi langu kwenu wote kama una magonjwa kidogo kama BP, Sugar, TB, HIV nakadhalika, jitahidi kwa nguvu zote kuiepuka Covid19.

Yaani hakikisha haikupati ndugu yangu
 
Pole sana mkuu, hasahasa ahimidiwe Mungu aliyekuongeza siku za kuishi kwa kuwa si kwa ujanja wetu wala kwa utalamu wa madaktari.
 
Heri wewe umepata nafasi ya kuleta mrejesho wengine sasa hivi majina yao yamebadilika kuwa waenda zao.
 
Back
Top Bottom