Her concern equtermly was to share this little info and let us know' wapi makofi yako@ sky
Piga makofi,piga makofi tafadhali!President Teodoro Obiang of Equatorial Guinea's just confirmed that 9 out of 13 persons recovered fully from Corona Virus after taking Madagascar COVID-19 Organic treatment.
View attachment 1445556
Kidogo leo umetahidi.
Hujamuelewa Sky Eclat!
Kati ya watu 10 wanaougua Corona 8 hupona wenyewe. Sasa huyo Rais wa Guinea anafikiri dunia nzima kila mtu ni fala kama yeye!Mbona hapa Tanzania wapo zaidi ya 100 waliopona hata bila dawa yoyote? Kwa hiyo Jiwe atangazie dunia kuwa dawa ya COVID-19 ni kutokuwapa dawa yoyote (self-limiting). Uchunguzi wa dawa unahitaji sayansi - kulinganisha waliopewa na ambao hawakupewa dawa.
Kidogo leo umetahidi.