Boris Johnson: Tujifunzeni kuishi na Corona tutakuwa nayo kwa muda mrefu

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema Dunia inaweza kuishi na virusi vya corona kwa miaka kadhaa na hawezi kutoa matumaini kwamba chanjo itapatikana siku za karibuni hivyo Watu wanapaswa kuzoea jinsi ya kuishi na virusi hivi na kuchukua tahadhari, kauli ya Boris inapingana na ile ya swahiba wake Donald Trump ambaye anaamini hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu chanjo itakuwa imepatikana.

Marekani inaongoza kwa vifo vingi vya corona Duniani ambapo mpaka sasa vimefikia 81,795 na Uingereza ni ya pili kwa kuwa na vifo vingi Duniani, ina vifo 32,065.
 
Wazir mkuu wa uingereza Borison amesema uingereza Corona ipo na bado inaua Sana Ila wamefikia hatua ya kufungua nch sababu Corona bado ipo na Wala haito isha ivi karibun pia amesisitiza kua watu lazima wakubal na wajifundishe kuish nayo Kwan Corona inaweza kudum mpaka miaka miwil. Pia kawa sisitiza watu kuchukua hatua muhim za kujikinga Kama kuvaa mask wakati wote na kunawa maji tiririka au kupaka sanitizer


Ikumbukwe kua Russian week inayo fuata baada ya wiki hii anafungua nch wakat riporting ya jana ya maambukiz na vifo imekua kubwa mpaka Russian dunian kawa wà pili kwa maambukizi kumshinda hata itali na spain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kenya na zambia wanasoma habari kama hizi? Au ndio kulilia misaada
Kwenye kushughulika na Corona Magufuli anashika nafasi ya kwanza akifuatiwa na Raisu Nkurunzinza wa Burundi sababu hawakufuta ibada mitaifa yote inayojitia kufuta ibada viongozi wake watakiona Cha mtema kuni kumtuhumu Mungu kuwa aweza wapa corona waumini wakiwa wanamuabudu kuwa Mungu Ni kirusi Cha corona . Viongozi wote wa serikali na dini waliofungia ibada au kutaka ibada zisiwepo wawe wa kisiasa au eneo lingine lolote au watu binafsi nk wajiandae mene mene tekeli na peresi kwao kiyama chaja Kwao Mungu atawashukia Kama mwewe muda si mrefu
 
Kwenye kushughulika na Corona Magufuli anashika nafasi ya keanza akifuatiwa na Nkurunzinza sababu hawakufuta ibada mitaifa yote inayojitia kufuta ibada viongozi wake watakiona Cha mtema kuni kumtuhumu Mungu kuwa aweza wapa corona waumini wakiwa wanamuabudu kuwa Mungu Ni kirusi Cha corona . Viongozi wote wa serikali na dini waliofungia ibada au kutaka ibada zisiwepo wawe wa kisiasa au eneo lingine lolote au watu binafsi nk wajiandae mene mene tekeli na peresi kwao kiyama chaja Kwao Mungu atawashukia Kama mwewe muda si mrefu
Mh
 
Yes Magufuli na Nkurunzinza ndio pekee wamejipambanua ulimwenguni kuwa NO corona fear here !!! na kuheshimu Mungu kuwa Mungu sio kirusi Cha corona kinachoweza mdaka mtu akiabudu nchi zote wanazojitia Ukristo au uislamu wanaujua kuliko watanzania sijui Kenya, south Afrika ,ulaya , marekani Uganda ,Canada uarabuni nk kote dini imewashinda Tanzania na burundi ndio tumeweza chini ya Marais wetu
 
Na uingereza je Ina watu wangapi? 55,977,178👈 na waliokufa mpaka ni 32, 065 👈

Huku kwanini hatupewi idadi ya kweli?
Kwani wewe una ndugu au jirani aliyekufa kwa Corona? Kama ndugu/ jirani zako ni wazima, je ndugu au jirani wa nani watakuwa wamekufa?
 
Back
Top Bottom