Mapambano ya Corona yatekwa na wanasiasa kila mtu sasa ni msemaji na hii yote imesababishwa na Chadema

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
34,322
2,000
Sasa utaratibu wa taarifa na elimu kuhusu Corona ni kama vile umevurugika kwa sababu kila mwenye msuli anaongea na kutoa lawama kwa " mchawi" wake.

Alianza KUB Mbowe na wabunge wa Chadema kwenda karantini ilhali bungeni kuko shwari na maisha yanaendelea.

Sasa wamekuja wakuu wa mikoa huko mipakani kila mmoja ni msemaji na anatoa takwimu.

Cha ajabu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu yupo kimya kabisa na hata ile kamati yake hatuisikii tena. Hata yule waziri wa afya wa Zanzibar mh Hamad Rashid baada ya kututaarifu ujio wa mashine mpya huko visiwani ndio hatujamsikia tena.

Maendeleo hayana vyama!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom