Afrika Kusini kulegeza masharti kukabiliana na Corona

mkiluvya

JF-Expert Member
May 23, 2019
702
1,000
1590473458381.png

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema maambukizi ya virusi vya Corona nchini mwake yanaendelea kuongezeka kama ilivyobashiriwa na wanasayansi. Katikati mwa wiki iliyopita wanasayansi nchini Afrika Kusini walionya kuwa huenda watu 50,000 wakapoteza maisha na wengine zaidi ya Milioni tatu, kuambukizwa virusi vya Corona kufikia mwisho wa mwaka huu.

Wizara ya afya nchini humo iliwaajiri Wanasayansi hao kutoa taswira ya maambukizi hayo, na kubainika kuwa huenda kati ya watu 35,000 na 50,000 wakapoteza maisha kufikia mwezi Novemba. Licha ya ongezeko hilo, kiongozi huyo amesema kuwa ifikapo tarehe 1 mwezi Juni, serikali itandoa masharti mengine ili maisha yaendelee kama kawaida.

Afrika Kusini kwa sasa ina visa vya maambukizi 22,583 baada ya visa vipya 1,240 kuthibitishwa. Wagonjwa 10,104 wamethibitishwa kupona ugonjwa wa Covid-19, ugonjwa ambao kufikia sasa umeua watu 429. Raia wa nchi hiyo wametakiwa kuanza kuzoea kuishi na virusi hivyo.

=======

South African president says lockdown to ease from June 1

JOHANNESBURG (Reuters) - President Cyril Ramaphosa announced on Sunday a further easing of South Africa’s coronavirus lockdown from June 1, allowing the vast majority of the economy to return to full capacity.

Africa’s most industrialised economy has been largely shut down since late March, when the government enforced severe restrictions to stem the spread of the novel coronavirus which has so far infected 22,583 people and killed 429.

Ramaphosa, who has been under pressure from rival political parties and a variety of industries to ease the restrictions, said following broad consultations the cabinet had decided to move the country to “level three” of its five-level lockdown system.

“This will result in the opening up of the economy and the removal of a number of restrictions on the movement of people while significantly expanding... our public health interventions,” he said in a televised address.

While Ramaphosa initially enjoyed broad support for the strict lockdown, which confined most people to their homes aside from essential trips and banned the sale of alcohol and cigarettes, that has given way to concerns about the impact on an already shrinking economy and on a mostly poor population.

Under level three, Ramaphosa said that aside from a few exceptions where risk of transmission is high, the economy could return to full capacity, a curfew and restriction on outdoor exercise would be lifted and alcohol could be sold for home consumption.

He warned though that this would result in a spike in the number of cases, which he said had only been delayed by the measures taken so far and given the country a chance to build up its public health capacity.

Any part of the country, such as coronavirus hotspots like the major cities of Johannesburg and Cape Town, could be returned to a stricter lockdown if the rise in cases and the impact on the health system became too severe, he added.

Reporting by Emma Rumney, Editing by Timothy Heritage and Emelia Sithole-Matarise
 

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
3,028
2,000
Wote tutaenda sawaa


Hakuna kutoa takwimu

Maisha yaendelea kama Tanzania

Siku si nying tutaongea lugha moja

Viva Magufuli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom