#COVID19 Tukubali chanjo, Covid-19 ipo na inaua

BRAIN BOX

Senior Member
Mar 10, 2021
171
203
Ni muhimu kwa watanzania na Serikali yake kukubali chanjo ya corona ili kuepusha vifo vingi vya watu ambavyo vingeweza kuzuiwa.

Toka Janga la Corona lilivoikumba dunia, serikali ta Tanzania iliamua kutumia mbinu zenye kuhatarisha maisha, kama kuruhusu mikusanyiko ya watu, kutokupima watu corona na hata kukosoa uvaaji wa barakoa.

Ni muhimu sasa serikali kubadilisha mtazamo kuhusu Corona ili watu wasiendelee kupoteza maisha, sana sana makundi maalumu kama wazee na wenye magonjwa sugu. Tusitegemee "natural herd immunity" bali tutumie chanjo kulimaliza hili janga hatari ulimwenguni.

6c6b964d2ef9c584b07a856114b9c5c4.jpg
 
Chanjo muhimu sana haikwepeki, wazungu watuue tuna nini cha maana? Kama wanataka kutuua si bado wanaweza wakatumaliza kwenye ARVs na chanjo nyingine? Tunamtegemea mzungu kila sehemu.
 
Eti chanjo sio salama! wewe nchi yako imetengeneza chanjo ipi? na umefanya tafiti gani kujua kwamba chanjo sio salama?
Mkuu,,fuatilia utakuja kugunduwa..

Huko marekani kuna video inazunguka mitandaoni

Kueleza nguvu kubwa inayotumika kulazimisha watu kuchanja chanjo.

Kuna jopo la madaktari linapinga hizo chanjo..

Wanasema ni makampuni ya kibiashara ndy yana mipango hyo kama ilivyokuwa barakoa.

Tena chanjo zinakufanya uwe tasa au dushe lisisimame kabisa.

Sasa wewe chanja hyo chanjo mabaharia tuje turuke na mkeo..

Mabaharia tutaruka hadi ukuta ,,tena bila vilainishi.***

Mtu usiye na taaluma hata ya kutengeneza pipi ya kijiti,,

Unapingana na jopo la madaktari,,linaloeneza habari za hatari ya chanjo ya corona.
 
Mkuu,,fuatilia utakuja kugunduwa..

Huko marekani kuna video inazunguka mitandaoni

Kueleza nguvu kubwa inayotumika kulazimisha watu kuchanja chanjo.

Kuna jopo la madaktari linapinga hizo chanjo..

Wanasema ni makampuni ya kibiashara ndy yana mipango hyo kama ilivyokuwa barakoa.

Tena chanjo zinakufanya uwe tasa au dushe lisisimame kabisa.

Sasa wewe chanja hyo chanjo mabaharia tuje turuke na mkeo.

Mabaharia tutaruka hadi ukuta ,,tena bila vilainishi.***

Mtu usiye na taaluma hata ya kutengeneza pipi ya kijiti,,

Unapingana na jopo la madaktari,,linaloeneza habari za hatari ya chanjo ya corona.
Mkuu katika ulimwengu wa tafiti kuna msemo unasema "tafiti inapingwa kwa tafiti"!

Mimi nikauliza tena kwa wema kabisa, JE UNASEMA CHANJO SIO SALAMA UMEFANYA TAFITI ILI UJUE SIO SALAMA?

Mbona ni swali rahisi sana mkuu?

Sasa badala ya kujibu umekuja na maneno yasiyo na kichwa wala miguu!
 
Mkuu katika ulimwengu wa tafiti kuna msemo unasema "tafiti inapingwa kwa tafiti"!

Mimi nikauliza tena kwa wema kabisa, JE UNASEMA CHANJO SIO SALAMA UMEFANYA TAFITI ILI UJUE SIO SALAMA?

Mbona ni swali rahisi sana mkuu?!

Sasa badala ya kujibu umekuja na maneno yasiyo na kichwa wala miguu!
Wewe umefanya tafiti na kuthibitisha kwamba hizo chanjo ni salama?
 
Mkuu katika ulimwengu wa tafiti kuna msemo unasema "tafiti inapingwa kwa tafiti"!

Mimi nikauliza tena kwa wema kabisa, JE UNASEMA CHANJO SIO SALAMA UMEFANYA TAFITI ILI UJUE SIO SALAMA?

Mbona ni swali rahisi sana mkuu?!

Sasa badala ya kujibu umekuja na maneno yasiyo na kichwa wala miguu!
Utafiti wangu hauhitaji hata uwe na digree kichwani.

Kama chanjo inasaidia ,

*Kwann waliochanja wanaendelea kufa? *

Na maambukizi bado wanapata?
 
Nitakuwa wa mwisho kukubali chanjo... Nitachukua tahadhari zote kuhusu huu ugonjwa... LAKINI SIO CHANJO
Mkuu ukiona video ya madaktari wa kimarekani,,

Tena wanazungumza public..
-- tunapinga chanjo sababu kuna udanganyifu mwingi.

-- kuendelea kuchukuwa tahadhari ni bora kuliko chanjo.

-- makampuni ya marekani ndy yanayonufaika na mradi wa chanjo.

--
 
Mkuu ni hatari tupu ,,

Chanjo inatia utasa,,

Pia ukichanja ukiwa na magonjwa mengine ni safari ya paradiso
Wabongo bana,hizi takataka mnazitoaga wapi?

Umeulizwa hapo juu,thibitisha hizo chanjo zina leta utasa na uhanithi

Unaishia kusema kuna video inasambaa....

Kwahio video ndio utafiti?
 
mwandende una uhakika lakini
Mkuu lisemwalo lipo..hiyo video itakufikia tu..

Mimi sichanji..

Hivi utajisikiaje siku ukiambiwa ,,

Wanaume wote waliochanja watafumuka makalio makubwa na dushe kutosimama milele?

Kwann tusisubiri 100% proved..?
 
Kama nakuumiza siku ingine nakupaka Vaseline..
Jibu hoja kama mtu mzima,unaleta uchoko wa Fb hapa

Thibitisha shutuma zako kuwa hizo chanjo zinaleta utasa tahira wewe?

Watu wanakufa halafu unaleta jokes za kijinga kwa watu wanaopoteza mda na pesa zao kufanya dunia iwe salama
 
Back
Top Bottom