content

Free content, libre content, or free information is any kind of functional work, work of art, or other creative content that meets the definition of a free cultural work.

View More On Wikipedia.org
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Ni wana JF gani huwa wanajaribu sana kuandika mara kwa mara ila contents zao asilimia kubwa ni chaii

    Nitaanza na hawa Manfried na Covax
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nisapoti.com Mkombozi kwa Content Creators Tanzania

    So kila siku nimekua nikipata zile “bro unajua sana” nakukubali sana , bro unajua blah blah… Lakini ukweli ni kwamba it takes a lot kuwa consistent kushare #MadiniYaGaby. Na si mimi tu — hii story ni ya kila creator anayejaribu kusukuma content consistently. Wazungu kwenye YouTube na socials...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naombeni content ya kipekee isiyoboa kama vile drip check ya msanuaji

    Kuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila siku unaweza kuisikiliza.sasa Mimi sio comedian na sipendi zile pranks sasa kuna sehemu naenda hivi nje...
  4. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Inspirational African Silhouettes

  5. Alagwa

    JamiiForums Tanzania Vigezo Vipya vya YouTube na Athari Zake kwa Watu Wanaotumia A.I kwa Kutengeneza Content

    YouTube kila wakati inaboresha kanuni zake na vigezo vya kufuatilia ili kuhakikisha watumiaji wanapata content bora na salama. Hivi karibuni, YouTube imezindua vigezo vipya vinavyohusu matumizi ya Artificial Intelligence (A.I) katika kutengeneza video na content. Je, mabadiliko haya yanaathiri...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Director of Policy and Planning Visits Pavilion on Behalf of Deputy Permanent Secretary as Fourth Local Content Compliance Forum Concludes in Mwanza

    The Fourth Local Content Compliance Forum (LCCF) in the Mining Sector concluded today in Mwanza, having brought together a wide range of stakeholders committed to enhancing Tanzanian participation in the mineral sector. Representing the Deputy Permanent Secretary of the Ministry of Minerals...
  7. Feisal2020

    JamiiForums Tanzania TAFADHALI NIKUTANISHE NA SEO CONTENT WRITER WA BEI YA KITANZANIA

    UPDATE: Wakuu samahani sana, niliandika tangazo limekamilika pamoja na mawasiliano kisha nikapost hapa, na wakati huohuo kuna mtu mwingine akanitafuta kwamba anaweza kufanya kazi hivyo nilirudi humu kufuta content ya tangazo ili nisitafutwe tena... samahani kwa usumbufu nikipata uhitaji tena...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Content creators, wasanii, wanamuziki na comedians wanakwenda kuathirika kiuchumi kutokana na hashtag ya NO REFORM NO ELECTION

    Baada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo. Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo 1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara...
  9. innongailojr

    JamiiForums Tanzania TUNATAFUTA: Videographer / Content Creator

    TUNATAFUTA: Videographer / Content Creator Location: Mwenge,Dar es salaam Aina ya Kazi: Part-time (Kuwa Flexible ila deliver Kazi) Tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kupiga, ku-edit, na kutengeneza video za kwa ajili ya Instagram & TikTok. Lazima uwe mbunifu, uelewe vibe ya content ya sasa, na uwe...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mbinu hii itakupa viewers wengi kwenye content yako. Pesa ipo mtandaoni vijana.

    Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja. Nina account Instagram ila hata...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na camera za kukodi kwa sababu siku hizi kila mtu kawa content creator

    Kwenye events zako bora utumie smart phone kuliko camera ya kukodi kwa Sababu siku hizi kila mtu kawa content creator. Unamualika mtu wa camera aje achukue matukio kwenye harusi yako kumbe mwenzako yupo busy kutafuta content. Atachukua matukio halafu wakati wa editing anaangalia vituko au Nani...
  12. Fateema

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kufanya content YouTube. Kipi bora nipromote video mimi mwenyewe ama nimlipe mtu apromote

    Na ili niweze kuwa na access ya kupromote hiyo video natakiwa kuwa na vitu gani? With much thanks in advance
  13. Martha Amosi Mwakalibule

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya marketing au sales, vitu ninavyoweza, ku offer katika kazi ni pamoja na kuwa na idea za ubunifu kukuza biashara, kutengeneza content,

    Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
  14. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Jinsi content creator walivyoniharibia simu yangu.

    Ilikuwa hivi. Niliingia instagram jamaa akasema zima vitu vifuatavyo kwenye simu yako kuimarisha ulinzi wa taarifa zako. Ingiza settings Zima Google password manager Nikazima. Nikaenda settings nikazima payment method Nikaenda privacy and policy Access payments method ni kazima. Baadae...
  15. refan

    JamiiForums Tanzania Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    Wakuu salama? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilitaka sana kua youtuber, hivyo nikasema lazima nijaribu nikifeli ni sawa. Basi nikafungua gmail hatimae channel, safari ya gaming content ikaanza Octoba 2022, Sina ujuzi wowote, muda kidogo nikapigwa strike kadhaa, Nikajifunza...
  16. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa sijaona online outlet hapa TZ ilio bora katika uandaaji wa content na habari hadimu zaidi hawa wanaitwa "The Chanzo". Tunasubiria TV chanel.

    https://youtu.be/oOR7rZHenKg?si=3XnIsvujJ8Er5PQp
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania TikTok yashtushwa na kushangazwa na idadi ya wasukuma katika mtandao wao. Waongoza kwa kutengeneza content

    Hakika si kilimo tu, sasa wameingia katika dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa kasi kubwa.
  18. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Watengeneza maudhui huko x kumbe kuna muda wanachukua content humu jamii forum?

    Hilo nimelibaini katika pitapita zangu huko twitter. Na kingine na maana ubunifu wa kutengeneza maudhui umeisha hadi content nyingi ziwe zina relate tu na mambo ya uasherati na uzinzi🤔
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation

    Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation. Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet) Leo nitakupa sori na njia wanazotumia kupata hizo pesa Wengine wapo chuo, dropout Nimewashuhudia wakiwa...
  20. youngkato

    JamiiForums Tanzania UTAJIRI WA KUTENGENEZA CONTENT KWA BIASHARA ZA ONLINE

    Bila content, hakuna engagement na bila engagement, hakuna mauzo! Kwa Nini Content ni Muhimu? Inajenga Uaminifu na Brand Awareness – Wateja wanapokuona mara kwa mara na kupata elimu kuhusu bidhaa zako, wanajenga uaminifu kwa biashara yako. Inaongeza Engagement – Watu wanapenda maudhui ya...
Back
Top Bottom