chuo

  1. Nimesoma HGE nisome Degree gani?

    Nimesoma HGE kozi gani inanifaa pale SUA au ARDHI
  2. S

    Kujiajiri kwa vijana baada ya chuo

    Habari zenu JamiiForums. Kama kichwa cha habari kinavyosema, nahitaji mawazo mbali mbali ya kujiajiri kwa vijana waliomaliza chuo, wa kike na kiume, naimani uzi huu utasaidia wengi, kwahiyo sitegemei masuala ya una ujuzi gani, kama wewe una idea ya juzi wowote leta utasaidia mtu. Naomba...
  3. S

    Chuo cha Excellent ni cha ovyo sana. Vijana mnaotaka kusoma Clinical Medicine hapo, msiende

    Hiki chuo cha excellent kwanza hata usipo-apply unashangaa umetumiwa meseji kwamba umechaguliwa hapo wakati hata ku-apply huku apply. Hiki chuo ukiingia kusoma hakuna kuhama ukiomba uhamisho kwanza wanakukatalia kisha wanakufutia usajili kwamba hawakutambui hivyo unaanza upya kabisa...
  4. I

    Chuo gani (cha ndani au nje) ambacho unaweza kusoma masters online na cheti kikatambuliwa Tanzania?

    Kuna siku napataga muda mwingi wa free baada ya kumaliza mambo yangu. Ningependa nichukue mda huu kujiendeleza kimasomo kwa kusoma degree ya pili yaani masters ila iwe kwa njia ya mtandao. Je, kuna wenye uzoefu na suala hili wanishauri ni chuo gani kinachotoa huduma hii. Na kama kikiwa cha nje...
  5. Kitabu cha baba wa taifa katika mjadala Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam 26 Mei, 2022

    Kulia Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman Yahya, Dr. Ng’wanza Kamata katika mahojiano na Mohamed Said (out of sight) kuhusu Mwalimu Nyerere wakati wa utafiti wa kitabu chake.
  6. B

    Mfanyabiashara Mo Dewji atunukiwa Ph.D ya heshima ktk Chuo Kikuu cha Georgetown

    21 May 2022 Mohammed Dewji to Graduates: Recognize the Power in Community Two decades ago when Mohammed Dewji (B’98) crossed the stage at Georgetown University’s commencement ceremony, he asked himself an important question – ‘is the world ready for me?’ In many ways, the answer was yes...
  7. Vijana tafuteni pesa, wikiendi iliyopita binti wa chuo alichonifanyia kwa hotel Dar itabaki kuwa sehemu pendwa ya starehe

    Kwa ufupi kila nikisikia ile nyimbo ya kijana Diamond aliyoimba na Zuchu, mbo..00 inasimama ghafla. Vijana tafuteni pesa ili uzeeni mfurahie maisha, ni wewe kuchagua leo uwe na amina, mke wa khalfani n.K
  8. Ina maana kocha Mbwana Makata haruhusiwi kufundisha hata timu ya shule au chuo?

    Eti wakuu, TFF wanamiliki mpira wote wa miguu nchini? Maana huyu kapewa adhabu ya kutojihusisha na mpira wa miguu nchini kwa miaka mitano. Inamaana hata shule au chuo haruhusiwi kufanya ukocha?
  9. Nimechaguliwa kwenda Chuo cha Ufundi Arusha, naomba muongozo

    Habari zenu wakuu, Nimechaguliwa kwenda chuo Cha ufundi Arusha (ATC), sasa nilikuwa naomba muongozo nini cha kufanya kwasababu nimeingia kwenye website yao siielewi. Napiga simu haipokelewi. Nilikuwa naomba msaada wenu
  10. Z

    Naomba Ushauri: Binti yangu amepangiwa Chuo na huku alishaanza masomo ya Pre-Form 5

    Habari wakuu, Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private Kule...
  11. Msaada: Kubadili chuo kwenda Advance

    Habarini ndugu, Mdogo wangu alipata division 3 ya 21. CIV=C GEO=C BIO=C CHEM=C MATH=D HIST =D PHY=F KISW=B ENG=D kwenye machaguo alijaza comb ya CBG tu lkn amechaguliwa chuo coz ya ICT chuo cha CBE ILALA DAR nayeye anapenda kwenda advance afanye nini aweze kubadili kutoka chuo kwenda advance...
  12. Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba

    Ninawasalimu wadau wote mliomu humu ndani. Wadau ninaomba kufahamishwa kuhusu chuo tajwa hapo juu maana kijana wangu amechaguliwa kujiunga chuo hicho. Kwa anayefahamu kuhusu kozi zinazotelewa hapo chuoni ili nione kama zina tija ili...
  13. Inawezekana kubadili chuo kwenda Advance?

    Habari zenu wakuu! Kuna dogo alipata division 2 form 4 lkn post zilizotoka leo amepangiwa kujiumga na chuo cha CBE kozi ya Marketing. Dogo hataki kwenda huko chuo, anataka kwenda advance akapige PCM. Je inawezekana serikali kumbadilishia post akapige hiyo PCM au ni mpaka aende private school...
  14. TANGA: Chuo cha Ualimu hakina huduma ya Internet

    Chuo cha Ualimu Korogwe Mkoani Tanga, pamoja na kutoa mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), lakini chuo hicho hakina huduma ya internet, hivyo kuwafanya wanafunzi wanaojitunza kozi hiyo kuwa ngumu wakati wa kufanya mafunzo ya vitendo. Lakini pia, pamoja na Serikali kujenga...
  15. Z

    Idara husika na ajira Serikalini acheni ubaguzi wa kuhitaji GPA. TCU pia jirekebisheni utendaji wenu

    Kuna kilio kikubwa sana toka kwa watu ambao hawakusoma vyuo vya Tanzania yetu. Ajira za serikalini zinazoelekezwa katika vyuo vya elimu ya juu vinahitaji uwe na kiwango fulani cha GPA, nadhani iwe 3.8 kwenda juu. Hili ni hitaji sahihi lakini kuna tatizo la kukariri neno GPA hata kwa watu...
  16. A

    Naomba kujuzwa vigezo vya kujiunga na Chuo cha michezo cha Mallya

    Habarini wana jukwa, Naomba Mwenye ufahamu wa vigezo vinavyo hitajika kujunga na chuo cha michezo cha Mallya na cozi mbali mbali zitolewazo anisaidie nimetamani kufahamu.
  17. Serikali kusomesha chuo kikuu wanafunzi watakaofanya vizuri masomo ya sayansi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23 Wizara imetenga fedha kwa ajili ya kutoa ufadhili wa elimu ya juu (scholarships) kwa wanafunzi watakaofanya vizuri katika masomo ya Sayansi. Waziri Mkenda amesema hayo Jijini Dodoma...
  18. J

    Msaada wa kumwombea ajira mwalimu wa certificate ku-add taarifa za chuo

    Nisaidie
  19. A

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  20. A

    Changamoto ya system ya TAMISEMI juu ya chuo cha MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…