Ndugu zangu hayo ni mapendekezo yangu binafsi baada ya kuwa nimekaa kwa muda mrefu nikifuatilia utendaji kazi wa mh Rais Samia na kufikiria namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea na kukabidhiwa nchi yetu Katikati ya wingu zito la majonzi na simanzi kubwa ya kuondokewa na Rais wetu Hayati...
Wasaidizi wa sasa wa Mheshimiwa Rais mnafeli mno, na hata wewe CDF mpya umefeli. Kwanini kuruhusu Mama kuzungumzia Siasa Jeshini? Ni hatari mno, na wenye akili kuwazidi tulidhani mngeliona hili na kumzuia asilijadili huko kwenu. Bali ajikite zaidi katika mada za kimedani (kijeshi), hasa...
Nimemaliza chuo narudi kijijini nakutana na yaleyale, nikaacha kazi na kuingia kwenye tech nikiamini tech itatatua matatizo haya mpaka kilimo, nakutana na tech Ecosystems yenye maneno mengi, nikafeli, nikaamua kurudi kijijini.
Nikakuta matatizo ni yaleyale, nimekaa vijijini na kushuhudia...
Samahan kwa wenye ujuzi nafanyaje make nilirudia kuomba second selection chuo cha mzumbe Sasa leo metumiwa sms kuwa niingie kwenye account Kuna information za kuwork on sa nilivoingia sijaelewa nafanyaje meandikiwa hivi
Tanzania inaweza kuwa na Chuo cha Kivita ambacho kitakuwa kinafundisha masuala ya kivita kwa maafisa wakuu wa jeshi.
Kwa sasa Tanzania inapeleka wanajeshi wake nje ya nchi kwa ajili ya kujifunza masuala ya kivita lakini kutokana na umuhimu wa vita Tanzania itakuwa na War Collage
Hayo yamesemwa...
Nimemaliza diploma kutoka college ja ndoto zangu ziko in computer science najua programming languages kadhaa inshort najua field hii inataka nini.
Ila changamoto ni chuo kipi kitanifaa kwa level yangu na kunipa chance ya kula explore deeper in the field.
Katika karne hii ya sayansi na teknolojia imekuwa karne ya mapinduzi mengi ya kimaendeleo na maisha ya binadamu vijana mojawapo ya kundi tegemewa sana kwenye karne hii, kwa wakati huu pia ndio tumeshuhudia mapinduzi makubwa ya kielimu hasa katika nchi zetu zinazoendelea ikiwemo Tanzania...
Kinana aishukuru serikali ya China kufanikisha ujenzi wa VETA Kagera
Na mwandishi wetu, Kagera
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ameishukuru serikali ya China kwa kufanikisha ujenzi wa Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi...
Siri kuu saba zilizonifanya kuanzisha kiwanda baada ta kufukuzwa chuo.
Moja kati ya shughuli za kiuchumi zenye kuleta mageuzi makubwa Kwa uchumi wa nchi yoyote ni kuanzisha viwanda. Kuanzisha na kuendesha viwanda ni rahisi sana kwa mtu binafsi hasa ukipewa Siri yake. Hapa kuna siri kuu saba...
Kuna uwezekano mkubwa kwa wanafunzi wa CBE Dar es salaam wa mwaka 2022 waliofaulu kujiunga na vyuo vikuu hawatapata fursa hiyo. Tafadhali wenye taarifa kamili tujuzeni.
Wazazi tumelipia watoto ada miaka miwili Ili kuwapatia watoto fursa za kujiendeleza kielimu ila tunashangazwa na mwenendo wa...
Habari wana jamvi, ni Chuo gani hapa kwetu chenye unafuu wa Ada kwa level ya Masters, hasahasa Masters of Business Administration.
Na kwa wenye uzoefu kozi hii inaugumu wowote katika usomaji kama kwenye Degree ulisoma kozi ingime tofauti na hii.
Nawasilisha kwa mrejesho zaidi.
Wakuu habari za muda huu, mimi ni muhitimu wa diploma mwaka huu nahitaji kuendelea na elimu ya juu.
Nilikuwa naomba kufahamishwa je nilazima ukiwa unaomba mkopo wa elimu ya juu uwe umedahiliwa na university, ama unaweza omba tu mkopo hata kama hujapata chuo.
Maana yake naona kama muda ni...
Baada ya kuhitimu chuo kwa ngazi ya shahada nilipata sehemu ya kujishikiza kufundisha chuo ambacho kimsingi hakikuwa na kipato kikubwa sana kwa hivyo nilikuwa kama najitolea kwa muda wa miaka mitano.
Lakini badae tulianzisha programu ya kuwanufaisha wakufunzi kupitia kuleta wanafunzi kwa maana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara mkoani Tanga, siku ya Jumapili Agosti 14 Mwaka huu.
Katika ziara yake mkoani Tanga Rais Samia Suluhu anatarajiwa kuzindua Chuo cha Jeshi la uhamiaji cha Taifa pamoja na kufunga mafunzo ya askari 818 wa Jeshi...
Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko.
Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa...
KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA
"Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia na kulelewa ndani ya TANU na leo CCM.
Mzee Kinana ni mwana majumui (panafricanist) mtiifu na mwadilifu sana ,Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze...
Wakati nafanya application steps zote nimeletewa mpaka ku submit, lakini hatua ya malipo sijaletewa.
Sijaelewa kama ndio ipo hivyo kwa wote au ni mimi tu. Maombi yameenda bila malipo.
Ukiwa kama mzazi naomba usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike.
Nilipokuwa chuonI UDSM, niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba. Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo.
Nikiwa pale nilijifunza usagaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.